HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wewe nawe kama lipumbavu! Hivi umemsikia mwenyekiti wa kijani jana anawaambia watu msipomchagua Silinde sileti maji hapa! Huko siyo kuvunja maadili ya uchaguzi? Tume iache double standard za kijinga!ila jamani tuache ushabiki huyu jamaa anafanya siasa za ugomvi hata hivo mi naona wamemvumilia sana ...
analazimisha ugomvi yaani
Ulichoandika hata wewe unajua kuwa ni UJINGAKwani hujui kusoma? Cha kujiuliza ni kwa nini CHADEMA wanasema hilo ni lake? Tunachukulia powa lakini huenda uongozi wa chama hauna mpango naye!
Lissu atatoa majibu ya ujeuri na kejeri tu, hana jibu la maana na atafanya hayo kama mwendelezo wa mkakati wa kuleta fujo na uasi kama wanavyo elekezwa na Asmsterdam and his GANG wanaotaka kuendesha GANGSTER POLITICS hapa nchini ili kuleta fujo. Ila kitu cha uhakika ni kwamba kikiwaka hata huyo Lissu HATOKI! hILO AWE NA UHAKIKA NALO NA Amsterdam hatakuwepo kumsaidi. Hawaijui nchi hii!?Wanaendelea kumpiga chura take!
No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia..
Haina shida Tundu Lissu apumzike akirudi apige spana mpaka jiwe liombe po. Wamemsaidia sana. Anastahili kupumzikaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Haijalishi ipoje kikubwa Zimbabwe na Zanupf zipo mpaka sasa ila Tshvangirai hayupo.Hiyo zimbabwe chini ya zanupf wazimbabwe wanaishi Kama mashetani kuzimu na ndio CCM wanataka kutupeleka huko!
NEC haijafungua malalamiko juu ya Lisu ni NRA na vyama vingine vya siasa Sasa mpaka hapo tuiache NEC iendelee na majukumu mengine ya kufanikisha uchaguzi mkuu Lissu akapambane na kamati ya maadili kwa sababu yeye mwenyewe alisaini na kutoa tamko la kuheshimu hayo maadili Sasa ameamua kuzivunja makusudi hapo asisukumie lawama NEC akapambane na hali yake tuone Kama Robert Amsterdam atamsaidiaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Mugabe Yuko wapi?Haijalishi ipoje kikubwa Zimbabwe na Zanupf zipo mpaka sasa ila Tshvangirai hayupo.
Pamoja na Tshivangirai kupewa kichwa na mabeberu lakini alipigwa spana
Inaangamia kwa kukosa maarifa!Wanampa kiki ya bure!
Atasikilizwa vipi wakati amegoma kusikilizwaUnamuhukumu vipi mtu bila kumsikiliza.
Hii siyo breaking news this is good newsUwezo huo wa kumfuta hamuna hata munganyisho pamoja na Mungu wenu wa chato hamuwezi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Tume na ccm walichokitegemea sicho sasa wanapambana kumzuia kumbe ndio wanampa kikiWanampa kiki ya bure!
Kauli ya kuropoka. Hasa sawaWanaendelea kumpiga chura take!
No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia...
Hivi huyu Tundu Lissu ni mzungu?hivi huyu mkurugenzi wa uchaguzi ni msukuma?