NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Chauma.Kwani Mnangagwa ni wa chama gani bro? Tuelimishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chauma.Kwani Mnangagwa ni wa chama gani bro? Tuelimishe
Wote hawapo ila Zimbabwe ipo tena chini ya Zanupf.
Tafsiri tu unavyoona wewe ila jua mwaka huu ndo mwisho wa utawala wa magufuli na Ccm TanzaniaHii ni HOJA au KIROJA? Au KIOJA?
Na hii ni "hoja" yako au ya nani!? Usiwasemee Watanzania. Labda umsemee Amsterdam wa Lissu!Toa maoni yako usitoe maoni ya watanzania. Sisi watanzania sio Wajinga, Tunamuhitaji Lissu atukomboe mikononi mwa wakoloni weusi
DUA LA KUKU HALIJAWAHI KUMPATA MWEWE!Tafsiri tu unavyoona wewe ila jua mwaka huu ndo mwisho wa utawala wa magufuli na Ccm Tanzania
mimi sizungumzii mashamba ya Zimbabwe,kwenye mashamba sipo huko.Hatimaye mashamba yaliyopewa wagombea Uhuru yanarudishwa kwa wazungu.Nani amefeli hapo?
Wanampa kiki ya bure!
Mnawaonyesha umma wa watanzania kwamba ni kwanini Lissu anatakiwa apewe kura za NDIYO na kushika URAIS WA TANZANIA 2020 hadi 2025.Safi sana, ...
Hapa Tanzania akuna shamba la mzungu lililochukuliwa na serikali.
mada yangu sio mashamba,nachosema mimi nyinyi mnahisi mabeberu watawasaidia endapo mtavunja sheria za nchi yetu kama walivyomsaidia Morgan wa Zimbabwe.
My friend sahau kabisa, hii ni Tanzania na Rais ni JPM mnapigwa spana na mabeberu wapo wanaona.
Jiandae tu ndugu kuwa mpinzani 2020-2025DUA LA KUKU HALIJAWAHI KUMPATA MWEWE!
Time will tell.NO! NO! NO! Lissu anamuhitaji sana Amsterdam kuliko sisi! Na sisi hatumhitaji Lissu kwa lolote lile, TANZANIA IS GREAT THAN LISSU!
OK!Time will tell.
Sawa kikubwa mtu usifikirie kutumika kuvuruga amani kwakuhisi utapewa msaada na mabeberu kisha ukafa ukaacha machafuko na maumivu kwa wengine.Basi kila nafsi itaonja mauti, na wote wanapokea haki sawa huko juu, tokana na matendo yao
cheap politics..tendo la kupiga miayo ni la kiafya..mwenzetu wewe labda bundi haupigi miayoUchovu na njaa unaifanya akili isite kufanya yaliyomema!
View attachment 1588098