Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Wana bahati wangefanya huo mgomo kipindi cha mwenda zake, sasa hivi tungekua tuna hesabu maiti za viongozi wa hilo soko.
Kipindi cha Magu
TRA walikua hawaji kariakoo jion kutafuta Rushwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana bahati wangefanya huo mgomo kipindi cha mwenda zake, sasa hivi tungekua tuna hesabu maiti za viongozi wa hilo soko.
Kodii ni nyingiii mno...mlolongo na kamata kamata imekua nyingi sana...na Hilo la kuorodhesha stooo ni upuuzi WA kiwango Cha juu ...kama mtu ana gari Bora kueka stoo nyumbanLeo asubuhi nimefika kariakoo kwenye biashara zangu lakini nimekutana na mgomo wa maduka kutofunguliwa
Nilikuwa bungeni kwa wiki kadhaa hivyo sikufuatilia sana mambo ya biashara nikiwaachia vijana
Maduka yamefungwa ingawa baadhi ya wamachinga wanaouza matunda wanaendelea
Sijajua sababu ya msingi zaidi ya ile ya TRA kututaka tuorodheshe store zetu tunazohifadhia mali
Hakuna mfanyabiashara ambaye yupo tayari kwa jambo hilo ,Jambo lilihitaji mjadala mpana
Hakuna fujo ingawa polisi ni wengi wanatembea tembea bila uelekeo
View attachment 2622352
Upo. Hulu kiongozi japo naona kama hujitambui kwamba mpaka Leo unaona ni Bora kuendelea kuongozwa na CCM? Kweliiiii????
Unadhani kinachoendelea upinzani watu hawakijui? Ndio maana imefika mahali wakaona ni bora waendelee tu na liccm japo linatukausha damu kuliko kuside na upinzani ambao bado hawajakomaa kiakili.
Walipungua sanaKipindi cha Magu
TRA walikua hawaji kariakoo jion kutafuta Rushwa
Kasome tena risiti yako ya SheriMafuta hayana VAT
Generated income.10% kwenye nini?
TRA wapo kila biashara inakofanyika. Kama hutaki kulipa kodi hapo Kariakoo unakouzia vitanda kisa mbao zishalipiwa kodi, nenda kauze mbao ulipe kodi ya mbao. Sheria ya kodi inaenda hivyo, as long as umeongeza thamani ya bidhaa yako na umeongeza bei basi unalipa kodi. Unless unanunua kwa 5000 na unauza kwa 5000, ukichaaTRA huko si wapo pia?
Huyu ndo aliharibu kabisaaaa. Tena kariakoo wangegima kila siku ila ukigima tu kesho unakutwa kwenye kiroba coco beachMtanikumbuka
Imagine ....unanunua kitu china 10000....unalipa kwa kitu kile kile nauli karibu robo tatu au sawa na bei ya manunuzi....ukiwauliza maagent wanakwambia wanapata ndogo kama nauli robo tatu ya malipo inaenda traTRA ni mamlaka inayokubali kutumika kifisadi kwaajiri ya kuwaridhisha na kuwapa hawa ma'CCM pesa za kirahisi rahisi...
Kodi lazima mlipe mnatabia ya kuficha Mali kwenye stoo harafu mnapeleka kiduchu dukani Ili mkadiriwe Kodi..
Mkigoma tunawafutia leseni na wote waliogoma hayo maduka tunayafunga marufuku kufungua.
Very simple hii mbona.Tanzania ni kubwa hapo Kariakoo ni sehemu.ndogo sana mapato yake kwa.mwka hayafiki hata Bil.500
Ni maamuzi ya serikali ya CCM wasiojali maslahi ya wananchiUkiingiza siasa tayari uneshaharibu,
otherwise umetumwa kuuvuruga. haya ni madai ya Wafanyabiashara dhidi ya Serikali na pengine kwa chini chini kuna mkono wa watu wa CCM kuhakikisha Serikali inasikiliza madai yao tupunguze ujuaji
Washinde Kwa lipi we ropo ropo,Hawa wamelelewa kizembe na Serikali,angekuwa Mwendazake hapo angeshafuta leseni na kuwaondoa huko Kariakoo..Mkuu unaropoka hujui unachoongea [emoji23] nakwambia hii ngoma wafanya biashara wanashinda mchana kweupeee
Kama wenye mastoo ni wachache wenyewe wanaumwa nn kugoma sababu ya kuregister stoo.Kariakoo maduka yote ya vitu vya aina unayouza dukani kwako yndiyo stoo yako, hakuna duka utakwenda ukahitaji kitu ukaambiwa hakuna, unaambiwa subiri uletewe kutoka stoo, kinafatwa duka lingine unaletewa.
Simpo. Wenye mastoo ni wachache sana.
Upo. Hulu kiongozi japo naona kama hujitambui kwamba mpaka Leo unaona ni Bora kuendelea kuongozwa na CCM? Kweliiiii