covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Muhimu Ujumbe umefika ..Hivi hata kiswahili tunashindwa kuandika? Inakuwaje bango la kubandikwa kwenye kadamnasi kama Kariakoo mtu anaandika tumechoshwa na utitili wa kodi badala ya utitiri wa kodi? inamaana hawakuhakiki kabla ya kubandika?
Wafanyabiashara wengi kariakoo sio wasomi ni watu wenye elimu ya kawaida tu.