Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Ulishawahi sikia kesi nyingi za Kontena za mitumba alafu ndani kuna Range Rover?
Sasa hiyo kazi zao bandarini msikimbizane mitaani nilitegemea kama wamekamata hivyo basi wawashike wale walio ruhusu mzigo kutoka
 
Hakuna mantiki yoyote ya kupiga Kodi dukani tena unapiga Kodi stoo kwenye bidhaa zile zile. Huo ni wizi siyo kodi

Ingekuwa awamu ya 5 waandaaji wa mgomo wangetekwa jana kabla ya mgomo kuanza leo..
Aya ya pili umeandika kwa chuki au umeweka kama nadharia mkuu..maana hiyo awamu ilikua na dhamana kama awamu hii na hicho ulichoandika utakiprove vipi kwa wakati huu mkuu
 
Tumchague nani sasa kama upinzani wenyewe hawaeleki kama 9 ukiigeuza inakuwa 6 ukiigeuza tena inakuwa 9?.
ACHA WAITAMBUE SAWASAWA.

KWENYE CHAGUZI SINDO WAO HUWA WANAVAA KIJANI NA KUJINADI KUIPENDA SISIEM.


KAMA WANA MAPENZI YA DHATI NA HII NCHI WASIWACHAGUE SISIEM NDO TUTAJUA HAWATANIIII
 
Una Ungumzia mafuta ya wapi? Au yale ya vichupa? Mafuta nenda sheli uone lisiti zinazo mwagika alafu usome kodi yako kwa mafuta uliyopimiwa

Nunua muda wa maongozi upate kuletewa kodi uliyolipa

Kodi Kila mtu ana takiwa kulipa kwa namna yoyote inayofaa na sio kuikwepa
Sina uhakika kama unanunua mafuta kujaza gari yako, weka risiti hapa yenye kodi ya VAT kituo chochote cha mafuta kwanini? sababu wameshakata meli ikifika na mzigo tu hautoki mpaka umelipiwa kodi zote
 
Una Ungumzia mafuta ya wapi? Au yale ya vichupa? Mafuta nenda sheli uone lisiti zinazo mwagika alafu usome kodi yako kwa mafuta uliyopimiwa

Nunua muda wa maongozi upate kuletewa kodi uliyolipa

Kodi Kila mtu ana takiwa kulipa kwa namna yoyote inayofaa na sio kuikwepa
Mafuta hayana VAT
 
Sasa hiyo kazi zao bandarini msikimbizane mitaani nilitegemea kama wamekamata hivyo basi wawashike wale walio ruhusu mzigo kutoka
Ina maana mtu akitoloka gerezani hatakiwi ku tafutwa mitaani?
 
Tunadanganywa sana kuhusu Demokrasia na mambo mengine mengi tu na madhara yake tunakua wakaidi bila sababu za msingi au?

Urasimu Bandarini:Kama hii ndio sababu wameweza kutoa mbadala upi-- kuwaelewesha Serikali au TRA kutatua kero hii?
Huo Urasimu umeanzia wapi? Katika mfumo huo wa Bandarini? Kero hii ilianza lini manake toka najua Bandarini na kujua mizigo inapitia bandarini nimekuwa nasikia kodi hailipwi na rushwa inatokea, ikiwa ina maana wafanya biashara ndio wanaofaidika na mchezo wote wa ukwepaji kodi na kuifanya Serikali kukosa mapato; na watu kunenepeana matumbo kwa rushwa wanayokula....huo ndi Urasimu?

Hakuna nchi iliyoendelea ambayo wananchi au wafanyabiashara wanagoma kulipa kodi kwa sababu ya Urasimu. Nipo tayari kusahihishwa.

Kamata Kamata au amata Kamata: Kwa vyovyote vile kuna sababu TRA wanatoa ikiwa wanafanya mazoezi hayo mitaani, swali la kujiuliza, kama una store, kwanini uuze tena mitaani? Yaani una leseni ya Duka na Uchuuzi at the same time? Sielewi hapa.Isitoshe hata kuhariri haukufanyika na unaonyesha , kwa maoni yangu, hawakujianda vizuri...naona kana Wachuuzi kufanya Siasa vile Haijalishi kwani sio kinachowakwaza, nafikiri.

Usajiri wa Stoo au Sheria mpya ya Usajiri wa Stoo. Hakika Wananchi tunataka kujua bidhaa zinatoka wapi, na kama ni bidhaa zinazohitaji kuwepo kwenye maeneo muhimu, kama vile firiji, chumba kisicho kuwa na joto kati ya nyuzi, mathalani 20°c na 28°c n.k au Chumba kisicho kuwa na mvuke au humidity, au Chumba kisichokuwa na bidhaa za kuulia panya ikachanganywa na Biskuti au pipi za Watoto, n.k yaani Usalama mzima wa Binadamu na Afya ya Jamii kwa Ujumla Watumiaji wa Bidhaa tunataka tujue!

Unakataa vipi?

Walakin, TRA inafanya ukaguzi wa Ubora wa Store? Sidhani....nani ni Mdhibiti wa au mratibu wa Bidhaa za Kibinadamu na Zingine km Vipuri vya magari .n.k? Je, TRA wangeweza pata anuani au taarifa zingine, labda kutoka TBS au Wizara ya Afya au hata kutoka Halmashauri? -Halafu wawafuatilie?
Sasa kwaavile sijui Sheria hiyo mpya Inataka nini, nitagota hapo....nilicho kidadavua ni kuwa kuna mchongo wa Kisiasa hapo, kwani katika Dhamira yao wametaja Rushwa. Inachekesha na inasikitisha kuwa wanakubali na kukiri kuwa Wanatoa rushwa wakati wakilipa Kodi Aisee

Kuna Mchongo, na kama kuna Chama au Vyama vya kisiasa au Uharakati vimetumika, Aisee ni lazima wapelekwe kwenye Uhujumu Uchumi.... tutajua TISS-Uchumi watafanya nini, labda?

Kuna wachafuzi wapya, washugulikiwe haraka.
Au geresha toto hili
Ngoja ninywe Uji kabisa...na safari.......
Ndio maana wamegoma ili wakasikilizane na Serikali.
Hayo yote utayapata vizuri baada ya wao kusikilizwa.
 
Ina maana mtu akitoloka gerezani hatakiwi ku tafutwa mitaani?
Kwanza andika akitoroka anyway sijui kama nilitakiwa ni kujibu lakini nitakujibu. Ukiona mfungwa katoroka basi ujue gereza lako haliko sawa nenda kazibe kufukuza mfungwa sio suluhisho ni matokeo ua uzembe weka nyumba yako sawa hakuna wa kutoroka. Kama unataka kusema container linatoroshwa bandarini basi nchi iko katika hatari kubwa sana.
 
Hivi hata kiswahili tunashindwa kuandika? Inakuwaje bango la kubandikwa kwenye kadamnasi kama Kariakoo mtu anaandika tumechoshwa na utitili wa kodi badala ya utitiri wa kodi? inamaana hawakuhakiki kabla ya kubandika?
Mkuu tujadili hoja za msingi za wafanyabiashara......

Pia Kaa ukijua utajiri na usomi ni maji na mafuta.....

Kiswahili chenyewe hata wewe mwenyewe unajisadifu kukijua hukijui......🤓🤓🤓🤓

Tujadili hoja sio makosa ya uandishi kwani wewe umekua MZEE KIFIMBO CHEZA🤣🤣🤣🤣😂😂😂

Hoja zijibiwe Kwa hoja,


Wasalaam
 
Hakuna mantiki yoyote ya kupiga Kodi dukani tena unapiga Kodi stoo kwenye bidhaa zile zile. Huo ni wizi siyo kodi

Ingekuwa awamu ya 5 waandaaji wa mgomo wangetekwa jana kabla ya mgomo kuanza leo..
Kwa jpm kodi hazikuwa kandamizi hivyo ndio maana biqshara zilienda vizur labda za magendo ndo zilikwama na wale ndo wapiga kelele sana
 
TRA naweza kusema wamevurugwa...
Uncle wangu ana hard ware hapo Morogoro, kila siku hawaishi kumuandama mara waje wapekue store sijui kama kuna vime expire.
Juzi kazi hapa aliuza nguruwe na mbuzi wake huko Mikese yule mteja pesa alimuwekea kwenye account yake, wakamdaka ikawa kila siku kesi TRA akawaletea mpaka ushahidi wa nyaraka wakati wanakabidhiana hawo nguruwe ndy kumuachia..

Ijumaa iliyopita umeme umeisha kila wakinunua wa Tshs 30000 unakataa, unataka 120,000 kwenda kuwauliza TANESCO wapo wewe case yako nenda TRA, Kufika wanasema ooh wewe kwakua nyumba yako ni ya ghorofa moja kwaiyo kodi ni tofauti, akahoji sasa mbona kila siku nanunua na hamjawahi kuniambia kwamba kuna hiyo 120K majibu hamna....

SHIDA SANA HAO TRA
 
Back
Top Bottom