The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nimeshangaa wafanyabishara ambao hawana shida na serikali wanashinikizwa wafunge kwa maslahi ya wengine.huu mgomo umejazwa matiushio kwa wanaotaka kufungua maduka, serikali iwachukulie hatua kali wachache wanaowatisha wengine wasifungue maduka
Kama yule wa Madereva alivyouawa UbungoHuyu ndo aliharibu kabisaaaa. Tena kariakoo wangegima kila siku ila ukigima tu kesho unakutwa kwenye kiroba coco beach
Sasa mnawatisha wakati ni kweli kodi iko juu kwani uongo?Tozo na kulipa Kodi vinahusianaje? Tozo na kukwepa Kodi vinahusianaje?
Hawa wamelelewa vibaya sana,kama huoni inachofanya basi endelea Kigoma utapata majibu Yako
In jpm's voiceKama yule wa Madereva alivyouawa Ubungo
Kodi gani ambayo Iko Juu? Lini Kodi iliwahi kuwa chini kiasi kwamba Leo ndio imekuwa Juu?Sasa mnawatisha wakati ni kweli kodi iko juu kwani uongo?
Imefikia kipindi TRA wamekuwa wamekuwa kama majambazi walioidhinishwa na serikali.
Na kingine hamuwez wafanya lolote sababu 90% ya maduka pale kalriakoo ni mali za watu binafsi na si serikali
Lipa Kodi Mzee achana na porojo zisizo na msingiWakati mashine zinaanza kutumika uku kukiwa na kod nyingine hawaku goma ili itolewe kod moja na kubaki moja? Au ulifahamu ilo? Mbona na ww unashabikia usajili wa store je una Maslai nayo??
Boss tusikuze mambo, Hakuna serikali unadhani ungekaa hapo salama bila kupopoliwa na wahuni?Nimeshangaa wafanyabishara ambao hawana shida na serikali wanashinikizwa wafunge kwa maslahi ya wengine.
Ukiona wafanyabishara wanakua na kiburi namna hiyo ujue hakuna serikali.
Wanalipa ndio maana wanatoa risiti lakini huwezi kusikia wamevamiwa sababu kila kitu kiko recorded na huko mitaani ilitakiwa kampeni ya muda mrefu mpaka iwe tabia nunua na pokea risiti hili ni changamoto nyingine lakini kama tumeweza kwenye vituo vya mafuta kwanini tushindwe lakini kwa vituo ni kwa sababu nadhani bei ni elekezi hakuna budi utalipa tu na risiti utapokea huko mitaani anakwambia kama unataka risiti bei hii kama hutaki bei hii mtu anaona bora a save lakini mfanya biashara anakuwa anakwepa mapato sasa hili litafutiwe solution. Solution yangu kata VAT hukohuko halafu VAT refund ije baada ya kuuza baina ya mfanya biashara na TRA sio mteja.Umezungumzia mafuta..niulize kuwa vituo vya mafuta hawalipi kodi??
TRA wahakikishe kodi inalipwa haki, pia wafanyabiashara walipe kodi stahiki, waache kukwepa Kodi.
Na hiyo nfio sababu kubwa unakuta mtu ana ki fremu tu ukienda kununua mzigo anaenda store kuchukua!!Hao wengine wanatumika tu ilq matajiri ndio wameguswa!!serikali ishikilie hapo hapo,siku tatu ni nyingi watafungua wenyewe!tatizo sasa hivi wafanya biashara wa kariakoo wanajiona kama wao wanatakiwa kuwa treated tofauti na wengine!!Kuna ubaya gani TRA kuwataka muorodheshe store zenu mnazohifadhia mali? mnaficha kitu gani? wanataka wazifahamu ili wawe wanazikagua, kwasababu huko Kariakoo kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi.
Hata kama hizo kodi zinatumika hovyo serikalini, vyema store zenu zifahamike, ili mkiwatoroka bandarini mkakutane nao store, anyway niwapongeze hao wafanyabiashara kwa uthubutu wao, hata kama sikubaliani na madai yao.
Mwendazake hakuwarundikia makodi namna hiyoWana bahati wangefanya huo mgomo kipindi cha mwenda zake, sasa hivi tungekua tuna hesabu maiti za viongozi wa hilo soko.
Kwahiyo mipakani TRA hawapo ila wapo bandarini tu?Sio kila bidhaa inayouzwa inapitia bandarini, nyingine zinapitia mipakani ambapo Tanzania inazungukwa na nchi nyingi. Nyingine zinazalishwa ndani ya nchi
Je ulishajiuliza hizo kodi za haki zinakwenda wap CAG ametoa report ya upotevu wa mabillion hakuna kiongoz aliechukuliwa hatua ila kila siku kuongeza kodi kwa wafanyabiasharaTRA wahakikishe kodi inalipwa kwa haki, pia wafanyabiashara walipe kodi stahiki, waache kukwepa Kodi.
Polisi nao wanaunga Mkono, Mgomo?WAFANYABIASHARA WAGOMA KUMFUATA
Your browser is not able to display this video.
Kipindi cha JPM si ndio maduka yalikuwa yanawekwa kofuli na biashara nyingi zikafungwa? Au upo kulinda legacy?Kipindi cha JPM wafanyabiashara halali walikuwa wanasikilizwa vizuri na kero zao zinatatuliwa. Lakin sasa serikali ya KULA KWA UREFU WA KAMBA TRA wanakula kwa urefu wa kamba zao na hakuna anayejali sawa