Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Wana bahati wangefanya huo mgomo kipindi cha mwenda zake, sasa hivi tungekua tuna hesabu maiti za viongozi wa hilo soko.
Raia gani alipigwa na kuuwawa kwa sababu ya mgomo kipindi Cha JPM?

Mkishindwa semeni msaidiwe. JPM alikuwa anashughulika na kelo za wananchi.
 
Na hiyo nfio sababu kubwa unakuta mtu ana ki fremu tu ukienda kununua mzigo anaenda store kuchukua!!Hao wengine wanatumika tu ilq matajiri ndio wameguswa!!serikali ishikilie hapo hapo,siku tatu ni nyingi watafungua wenyewe!tatizo sasa hivi wafanya biashara wa kariakoo wanajiona kama wao wanatakiwa kuwa treated tofauti na wengine!!
Pengine wewe upo ofisini unashika peni na karatasi hujui maisha ya mfanyabiashara alafu kama hujui kitu kaa kimya Tu.
Biashara itafanyika kimyakimya na serikali itakosa mapato haijawahi kutokea kumbuka Sisi tunafanya biashara na watu wa mikoani na nje ya nchi na kuna watu foreigners kibao wapo hapa hawaelewi waende wapi.
Mfanyabiashara hawezi kufa njaa hata sikumoja.

Leo risiti za efd hazitolewi na biashara zinafanyika
 
Kero ya kukamata mizigo imezidi sana, mtu uko mkoani umeagiza mzigo Dar muuzaji katoa risiti, na TRA hawajaridhishwa na risiti unashikiliwa mzigo wangu, na hiyo inaweza kuchukua hadi mwezi mzima kama hujatoa rushwa.
Ni kero kubwa Sana hiyo, sikuhizi ni shida Sana Kwa mizigo inayosafirishwa mikoani
 
Tusichukulie poa, mazingira ya biashara kwenye nchi yetu ni magumu sana yani kuna utitiri wa kodi kibao.
mfano mimi biashara yangu nauza samaki wabichi mtaji milioni 4 ...
kodi nazokumbana nazo kwa mwaka..
1. TRA NALIPA 370,000
2. LESENI NALIPA 41,000
3. LESENI YA FISHERIES NALIPA 100,000
4.TAKA NALIPA 60,000
5. FIRE NALIPA 150,000
6.TMDA NALIPA 150,000
7. SERVICE LEVY 50,000

Apo bado gharama zingine kama kupanga frame, na gharama za uendeshaji.

Kuna haja kubwa ya kuangalia hiz kodi ni nyingi lazma ukwepe tu ili uweze kupata chochote.
 
Na huo ndio ukweli mchungu ambao TRA inakwenda kuufanyia kazi🙏
Tukiachana na yote kkoo kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi. Watu wanafanyia biashara za mamilioni stoo.

kkoo wanaouza kwenye frem ni maskini tu wale wanaouzia kinyemela stoo ni matajiri wa kutupa sijui nani kasanua mchongo huu
 
Kama yule wa Madereva alivyouawa Ubungo
Yule alietoka kwenye kikao na serikali, akaenda najamaa kula nyama choma na ugali Ubungo,
Kulichofuatia akawahishwa mawinguni fasta,
Yani unaongoza mgomo na serkali, halafu anatokea mtu humjui vizuri, unakaa nae nae kula nae nyama choma na ugali?
 
Wana bahati wangefanya huo mgomo kipindi cha mwenda zake, sasa hivi tungekua tuna hesabu maiti za viongozi wa hilo soko.
Huyo ndiyo wanataka sasa kwa taarifa yako. Walikuwa wanafanya biashara zao kwa uhuru.
Sasa hivi kila kitu ni hovyohovyo kila mtu anajipigia tu na hao TRA kuwalimbikizia Kodi haina maana inapelekwa serikalini watu wanajipigia kwa urefu wa kamba zao.
 
Serikali ina malengo mengi, mikopo inagota makusanyo hayatoshi, hivyo wanatafuta mbinu nyingine ya kukamata zaidi.
Na ikumbukwe KKOO inachangia mapato mengi ya serikali
 
Enzi za mzee baba haya yote hayakujiri

anyway hope hakutokuwa na madhara kwa viongozi wa mgomo mara changamoto zitakapoisha
 
TRA. TRA. TRA
hata Kama serikali isiposikiliza madai yetu ni sawa ila tumeondoa sumu mioyoni mwetu
Wengi wetu tunafilisiwa kimya kimya na awa vijana waTRA. Kwa kutaka mafanikio ya haraka haraka. Mioyo yao imejaa tamaa na zulma
Bila huruma
Mim binafsi ni muhanga wa hili jambo
Na kama serikali wasiposikiliza malalamiko yetu tunayo plan B
Tutadeal nao kama majambazi personally
wao watatusumbua mchana sisi tutadeal nao nje ya ofisi
Wanacheza na maisha yetu familia zetu na sisi tutacheza na uhai wao
 
Back
Top Bottom