Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026


Mfumo wa tiketi unamilikiwa na kuratibiwa na wenye mabasi?
 
Wengine wagonjwa wanaenda hosptali kubwa kama kcmc,muhimbil, bugando etc, kutoka mkoa flan hadi huko. Kukosa huduma ya mabus sio sawa. Serikali mjitahjdi mabus yaanze leo safari.
 
Wengine wagonjwa wanaenda hosptali kubwa kama kcmc,muhimbil, bugando etc, kutoka mkoa flan hadi huko. Kukosa huduma ya mabus sio sawa. Serikali mjitahjdi mabus yaanze leo safari.
na sa hiyo unaenda kwa ajili ya op ambayo mara nyingi unakua kwenye folen ya op
maaaba kuna baadhi ya clinics pia ni once kwa wiki
sasa ilitakiwa iwe leo.. au kesho aiseee
 
msando maamuzi yake ni ya hasira
 
wakala wa kukatisha ticket anasema ela ikishakatwa na mfumo had kod inakua automatic imekatwa kwa hiyo ni ngumu kurefund ni kuja kuitumia hiyo ticket wakati mwingine
 
🤣🤣🤣 na magenz woteee kama dudubaya anavyosema
 
Mfumo wa tiketi unamilikiwa na kuratibiwa na wenye mabasi?
Mwenye basi anafahamu kwamba abiria wake wanakata tiketi kwenye mtandao au hafahamu? Huo mfumo wa tikwki akiwa haumiliki nauli kutoka mfumo huo hazipokei?
 
Na wao warudishe nauli za watu, wanaendelea na mgomo lakini abilia wakiomba kurudishiwa nauli zao hawataki kirudisha ngoja waje wayachome moto hayo magari yenu akili ziwakae sawa yaani watz na utapeli ni damu damu.
Hali ikirudi kawaida mamlaka zifanye kazi kweli, uzembe kwenye sekta hii ya udereva umekua mkubwa
 
Ulaaniwe uzao wa Kikwete na Magufuli waliosababisha huyu mwanamke wa kizanzibari kuwa mkuu wa nchi yetu! Mwanamke tena mzanzibari mswahili kuwa mkuu wa nchi? Mara yuko kwenye siku zake mara yuko EDA km sahv haya yote ni kujitakia upuuzi. Sahv nchi haina kiongozi mkuu, serikali inadharauliwa na kila mtu, walioko chini yake km waziri mkuu wanaogopa kuchukua hatua maana PM ameshaonywa aache kiherehere Samia hataki mchapakazi mwenye misimamo ht RC wa Geita hatakaa muda mrefu. Mwangalieni Reuben Kwagilwa alimwondoa TAMISEMI haraka sana baada ya jamaa kuwapa kibano wazembe, wavivu, wala rushwa kule TAMISEMI. Ht pale mazingira waziri wake mzanzibari Hamad Masauni amemwonya hadharani aache kiherehere cha kufungia viwanda. Nani anaweza kufanya kazi na huyu mama mswahili wa Zanzibar? Ni aina ya Makame Mbarawa Mnyaa, Abdallah Ulega, Ashatu Kijaji, aina ya hao hawataguswa kwanza ni ndg ktk imani. Hii miaka 4 itakuwa sawa na miaka 40
 
Kinachotakiwa Sasa ni Kila kundi kweye jamii wagome, kuanzia walimu,manesi , Hadi bajaji kushinikiza uongozi mbovu wa nchi maana Raia huku chini wanateseka sana.
Hawana huruma na wananchi
Uko sawa ili Rais ajitokeze, Rais gani yuko km msukule? Nchi ni km haitawaliki lenyewe limejificha, km anajua kuna EDA si angeachana na urais wa nchi yetu? Yule mbwa wake MAKAME MBARAWA NAYE YUKO EDA?
 
Madereva jana wamegoma mfumo wa point , waziri katoa tamko, madereva bafo wanagoma kwa sababu ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…