Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.

Huwa ni hand to mouth.
Hujui kuwa uchumi wa nchi nao utasimama kwa hizo siku tatu,na wewe unaesema ungewaacha pia hujui kuwa utaathirika.....
 
Rc chalamila kama mkuu wa mkoa ili swala ilibidi kuita wafanyabiashara wote kukaa nao kikao ila unatumia ubabe ambao umeulizwa na mmoja kati ya wananchi umeshindwa kujibu.


Your browser is not able to display this video.
 
Namna bora kabisa ya ccm kutatua tatizo lolote lile ni kuliona,kisha kujifanya halipo.

Kisha kwenda kumweleza mwenyekiti kwamba hajuna tatizo kabisa.
 
Viongozi wetu hawana weledi wa kujibu hoja
 
Mwenye kiti mwenyewe anapiga misele TU!!




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.

Huwa ni hand to mouth.
Unajua Dar es Salaam inachangia asilimia 75 ya mapato ya serikali na Kariakoo inachangia kiasi gani?
Serikali imeshindwa kupunguza Kodi zao sababu inazihitaji wakati huu fedha za ukarabari na ujenzi wa barabara hazitoshi kabisa sasa anasikika punguani mmoja anataka za Kariakoo zisiwepo kabisa.
 
Inaweza kuhamishwa through paradox of thrift. Siyo lazima.dar tu peke yale. Serikali inaweza kuhamisha hata lindo ndo kuwe kunatokea mapato makunwa. Serikali haishindwi kitu
 
Kwa jinsi maisha yalivyo magumu kupitia ujinga wako watu wameamua kupunguza stress zao kupitia ujinga wako kwa kukupa ukweli wa akili yako ulivyo Sasa na Mimi lazima nitumie nafasi hii kupunguza hasira zangu .

Wewe ni mjinga kaka
 
Gen Z ngoja tuone, siwezi kuwapongeza, sasa hivi watageukana baa ya kutishwa.........
 
Hiyo Serikali utaiendesha bila kodi ya wafanyabiashara hata kama kidogo? Au utategemea misaada ya wahisani na kutembeza bakuri? 😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…