Tuko mitaani na tutawajulisha kila kinachoendelea.
Je baada ya Mkwara wa Polisi na mipasho ya Chalamila hali ikoje?
PAMOJA TUNAJENGA TAIFA.
View attachment 3024305View attachment 3024306View attachment 3024307
Washawagawa tayari , ila serikali 🤣🤣
Watu wamechelewa mwendokasi kutoka Kimara kuja Karakoo kufungua maduka lakini siyo mgomo!Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa.
========
Pia, soma
MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa
- RC Chalamila: Wafanyabiashara wa Kariakoo wajitafakari, migomo siyo suluhisho
Ila, it makes sense.
Sasa imekuaje tena mbona mgomo umerindima?
Kuwa mpole!Watu wamechelewa mwendokasi kutoka Kimara kuja karakoo lakini si mgomo!
Machafuko ndiyo nini!!?chadema mnachokifikiria vichwani mwenu ni machafuko kila kukicha
hovyo kabisa
Sasa mbona hakuna aliyefungua?Washawagawa tayari , ila serikali 🤣🤣
Kufunga duka kunachafua nini?chadema mnachokifikiria vichwani mwenu ni machafuko kila kukicha
hovyo kabisa
Badala ya kutumia akili wao wanatumia nguvuTuko mitaani na tutawajulisha kila kinachoendelea.
Je baada ya Mkwara wa Polisi na mipasho ya Chalamila hali ikoje?
PAMOJA TUNAJENGA TAIFA.
View attachment 3024305View attachment 3024306View attachment 3024307
Ila aibu aisee, wakenya washatupiga bao tukiwa tumesimama.+254 tusaidieni tuunganishe nguvu.
Madai yao ya msingi ni yapi?
Kweli machinga wamefungua....mgomo huu hauwahusu.Robert
Tafuta machinga unayemjua muulize kafungua? Kama alikuambia, alikuambia kukufurahisha.
Hukuona zile siku tatu?