MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

Bila kuacha unafiki Watanzania tutaendelea kuteseka.
 
Dawa kiongozi wa hao wafanyabiashara akamatwe atiwe adabu
 
Wagalatia ni kirusi
 
Kuporwa pesa kwenye akaunti baada ya kusingiziwa kudaiwa kodi miaka mitano iliyopita ndiyo kulikuwa kuzuri! Acha kuongea uongo.
Wewe kijana acha ujinga! Nitajie nani aliyekuwa na biashara halali aliporwa hela zake?
Waulize wafanyabiashara Kariakoo kama walikuwa wanaasumbuliwa kama wanavyosumbuliqa saizi!
Magufuli wewe kama ni muuza vitu vya michongo hulipi kodi lazima serkali ikuulize hela hiyo umepata wapi na kwa biashara gani na kodi ya sekali ni ipi!,Hilo lipp dunia nzima sio kipindi cha Magufuli tu!
Samia ameshafeli na ataendelea kufeli maana kawaachia TRA kazi ya kukusanya hela kwa rushwa na usumbufu!
 
Mshale wa jicho
 
Changamoto zao ni zipi, wekeni hapa tuone nani hafanyi kazi yake na ujinga wa wahusika maana unaweza kukuta changamoto ni uchafu, parking, hakuna vyoo na wanakusanya kodi kila siku
Changamoto ya kwanza kabisa inayomsumbua mlipa kodi kwa sasa ni Vat na makusanyo yake.
Kiuhalisia hii kodi ni matokeo ya wasomi wetu ku copy kila kitu kutoka first class world bila kuangalia hali halisi ya mlipakodi wa kitanzania.
Vat haifanyi vizuri mwenye mifumo ya uchumi ambayo masikini na tajiri wanafanya biashara pamoja. Ndo mana kila siku ni malalamiko.
 
Acha chuki zako za kidini hujui kero za walipa kodi sasa hivi. BTW mimi nitafungua ofisi kama kawaida, hii si ya watu wa Kariakoo acha wapambane wenyewe.
 
Hili linaweza kupata solution, sheria za kodi sio Bible au msahafu, tunaweza kubadilisha kuondoa kero haraka sana, tatizo uongozi ndio maana matatizo yetu mengi ni uzembe tuu na tunayatengeneza wenyewe
 
Mkuu acha kuchekesha watu basi, yaan lile soko linalojengwa ubungo kama majengo ya hostel ndo unataka kuifananisha na kariakoo?
Mpaji,

Huwa ninafurahi sana mtu anakuambia hawana ubavu sababu biashara zao ni za mikopo. Na bado kuna mwingine atataka kuifananisha na ubungo.

Hawaelewi kwamba kariakoo ndio soko kubwa, hawataki kuelewa kwamba kariakoo ina athiri mzunguko wa fedha. Haielewi kwamba kariakoo inaweza ikasababisha athari za mikataba ya kimataifa ya kikodi.

Hawataki kusikiliza wanaendekeza siasa
 
Tatizo ni mshikamano mkuu. Wabongo tunaweza kuja na azimio moja na kulitekeleza wote kwa wakati huo huo?
Hatuwezi

Ukitaka kuthibitisha hilo we subiri siku ya uchunguzi, hao hao watu wanaoteseka na hawa viongozi ndio haohao wanaenda kuwapigia kura.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Kwa hiyo hao wafanya biashara wa Kariakoo hakuna waislamu?

Huu udini unawapofusha sana wanafiki, wadini na wajinga.

Kama Magu hakupingwa ni kwanini alituhumiwa kuua sana?
Je, Ben Saanane ni muislamu?
Je, Tundu Lissu aliyeponea chupuchupu kuuliwa ni muislamu?

Kuna baadhi ya madai ni ya msingi.
Kwa mfano, inasemekana kodi ya kontena la VITENGE ipo hivi:-
Zambia Tsh 22mil,
Zanzibar Tsh 33mil,
Kenya Tsh 35mil,
Ila Tanganyika ni Tsh 384mil..

Kwa hiyo nyie wadini mnataka wananchi waishi kama watumwa, waache kudai haki kisa dini ya rais?

Acheni kutetea udhalimu kwa kigezo cha udini.
 
Dola kutokuwa stable kuna waumiza sana wafanyabiashara.
 
Hatuwezi

Ukitaka kuthibitisha hilo we subiri siku ya uchunguzi, hao hao watu wanaoteseka na hawa viongozi ndio haohao wanaenda kuwapigia kura.
Scars,

Watu walishaichoka CCM hata kama watu wanawapa kura vyama pinzani. Huko ndani ya mifumo kila mtu ni CCM.

Ndio maana tunalia na tume Huru Na katiba.
Fikiria waandikishaji wa daftari la wapiga kura haupaswi kuwa kada wa chama cha siasa lakini nina marafiki walimu ambao wana mpaka kadi na ndio hao hao wanapewa nafasi kwa kiasi kikubwa na hao hao ndio hupata nafasi ya kusimamia uchaguzi.

Unategemea kupata uchaguzi wa huru na haki?
 
Hatuwezi

Ukitaka kuthibitisha hilo we subiri siku ya uchunguzi, hao hao watu wanaoteseka na hawa viongozi ndio haohao wanaenda kuwapigia kura.
Inasikitisha sana yaani mpaka mtu aguswe kwenye angle yake ndio anashtuka. Tatizo la wafanyabiashara waajiriwa wanaona haliwahusu, tatizo la wanafunzi basi hustlers wanaona haliwahusu. Hatujui kwamba mfumo wa kuwawajibisha viongozi ukiwa mbovu basi maumivu yatamfikia kila mmoja katika angle yake na kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ