MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

Umeongea madudu tu Zambia,Zimbabwe,SA au Botswana tunanunua mizigo hatukamatwi kama wanavyokamatwa kariakoo ni vile hampo kwenye biashara ndio maana unaweza kuongea chochote hapa Jozi unaweza kushusha kontena hautapata usumbufu kama kutuma box tatu Tanzania...maana hakuna kontena au mzigo utafika bila kulipiwa ni vile Watanzania wengi wamedumaa wanakua na maamuzi ya kuua Biashara kwa Nchi iliyo na Bandari ila Watanzania wanafata mizigo Uganda na Kenya kama sio Ujinga huo ni nini?waweke mazingira mazuri kwa Wafanyabiashara na wanunuzi ili watu wapate bidhaa bora na kwa bei nafuu..
Kuna wakati nilikuwa nanunua mizigo cash and carry na jumbo stores, ukija beitbridge unajaza fomu ya vat refund, na utapata, huku kwetu kariakoo anakatwa mzambia hana ririti ya vat ilhali tra hawana taratibu za kurudisha vat.
 
Sijapenda hilo angalizo hapo chini, hapo ndio utaelewa democrasia ilivyo ngumu awamu ya tano sijui kama hichi kitu kingewezekana yaani wote tulikuwa na adabu aisee hakukuwa na kutishiana tishiana kama hivi yaani mtu anaandika tu kutishia mtu.
 
wafanyabiashara wameshaanza kuchezesha ukiona ivi ujue tra wameshapita kudai chao

acheni janjajanja bana lipeni kodi kiuhalisia

juzi nmenunua kitu cha 330k cha ajabu jamaa anangangana kunipa risiti ya 250k[emoji15] sa huu si ufala?
 
🚮🚮🚮
Kwa hiyo hao wafanya biashara wa Kariakoo hakuna waislamu?

Huu udini unawapofusha sana wanafiki, wadini na wajinga.

Kama Magu hakupingwa ni kwanini alituhumiwa kuua sana?
Je, Ben Saanane ni muislamu?
Je, Tundu Lissu aliyeponea chupuchupu kuuliwa ni muislamu?

Kuna baadhi ya madai ni ya msingi.
Kwa mfano, inasemekana kodi ya kontena la VITENGE ipo hivi:-
Zambia Tsh 22mil,
Zanzibar Tsh 33mil,
Kenya Tsh 35mil,
Ila Tanganyika ni Tsh 384mil..

Kwa hiyo nyie wadini mnataka wananchi waishi kama watumwa, waache kudai haki kisa dini ya rais?

Acheni kutetea udhalimu kwa kigezo cha udini.
Mkuu asante kwa mchango wako
 
Huu ni mkakati mahususi na umekuwa ukifanyika kila wakati kiongozi wa nchi anapokuwa Muislamu ili kuhakikisha utawala huo unakosa utulivu na kuleta chuki baina ya wananchi na utawala uliopo madarakani.
Wakati wa utawala wa Magufuli wafanyabiashara walionewa sana ikiwa ni pamoja kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi na kuporwa pesa kwenye akaunti zao benki lakini hatukushuhudia hata kunguni kuandamana au kugoma,
Huu ni unafiki na tukae tukijua kwa unafiki tulionao Watanzania hatutofanikiwa kujinasua kutoka kwenye makucha ya utawala dhalimu wa ccm.
Kuwa muislamu nimegundu ni UDHAIFU MKUBWA SANA AKILINI. WAISLAMU MIAKA YOTE DUNIA YOTE NI WALALAMISHI NA WANAPENDA KUONEWA HURUMA. KUJITUTUMUA.
 
Wewe hujui usemalo! Wafanya biashara waliokuwa hawafanyi magumashi kipindi ya Magufuli walifanya kazi vizuri sana!
Saizi Chini ya Samia ni TRA kuomba rusha na kufanya gharama za kuendesha biashara kuongezeka!
Samia na serkali yake hawatabiriki leo hiki kesho kile!
Comments reserved
 
Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa.

Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha, Ruvuma, Kagera na Rukwa mtaanza kufunga biashara zetu kuanzia siku ya Jumanne ya Juni 25, 2024 bila ukomo.

Kuanzia siku ya Jumatano ya Juni 26, 2024 wafanyabiashara wote nchini tutaungana kufunga biashara zetu hadi pale changamoto zetu zote zitakapopata ufumbuzi wa kudumu.

Kutakuwa na kikosi kazi cha kupitia ili kukagua ofisi au biashara ambazo hazijafungwa ili kuhakikisha wote tunaungana kupambana na udhalimu huu wa kodi kandamizi.

----
Pia soma
Tetesi: - Wafanyabiashara Kariakoo kugoma muda wowote kutokana na madai yao kupuuzwa

View attachment 3023083
Serikali hii ina mambo ya kikwuma sana
 
Back
Top Bottom