Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Ila jamani naomba tukubaliane jambo moja. Tanzania kila sekta imeoza. Yaani uozo unaokutana nao kwa ma-dr hospital ndiyo huo huo utakaokutana nao kwa wanasiasa, mapolisi, mainjinia, walimu nk. Ni kwa sababu imekuwa tu kwamba makosa au ukilaza wa ma-dr una impact inayoonekana mara nyingi kuliko sehemu nyingine. Hata hili tatizo la dr tunalolalamikia hapa ni matokeo ya uongozi mbovu wa wanasiasa.
 
Mabadiliko ya sector ya afya yanakuja by reinforcing institutions to follow practice procedures.

Sector ya afya is heavily regulated hakuna ubunifu wa ivyo health procedures, intervention and management misingi yake ni WHO regulations nchi zina adapt tu kwa mtindo wao jinsi watakavyo implement.

Usimamizi pia unataka supervisory body ya kwenda kukagua kama vituo vya afya vina implement and adhere to existing regulations and policies kwenye ufanyaji wao wa kazi, ku-record medical errors, kujua vyanzo za errors, badili tabia au kupunguza errors sugu and so forth.

Unajua wengi wenu mlikuwa mkimuona Dr Gwajima kutokana na anavyoongea na alivyo alivyo kama anajiropokea tu. Lakini ungekuwa na ufahamu wa health management uka analyse technically anachoongea in relation to regulations ata za nchi nyingine kwenye usimamizi wa sehemu hiyo hiyo ndio utaelewa level zake ni zingine.

Nyie msicheze Dr Gwajima kwenye health management.
 
Ndio maana ya referal mkuu. Kuliko dr angekaa naya kumtibu moyo kutokana na kile alichokiona aliamua kumpeleka kwa wataalam wakubwa zaidi kwa uchunguzi zaidi. Shukuru kwamba hakukutwa na shida huko
 
Hapo ushapoteza hela zako chungumzima 😠
 
We jamaa upo vizuri...
 
Kaka tuache kushitaki madaktari sio sawa wale ni Miungu wa maisha yetu hapa duniani
We unasema hayajakukuta, juzi kati kuna mtoto wa dada yangu, mkewe alifanyiwa upasuajo, kumbe walitoboa utumbo, wakashona mtu vinyesi vinavujia ndani tu, kuja kumkimbiza hospital, dk chache kavuta.

Hii ni kama vile tunaposema usipige mwizi, halafu kuna mtu anatokea na kukwambia bado hujaibiwa wewe😂
 
Duuh! poleni sana,na leo nilikua namhadithia jamaa yangu kesi kama hiyohiyo,ila jamaa alipona maana alipelekwa hospitali nyingine baada ya kuzidiwa.Kinyesi kilikua kinanuka hatari.Jamaa alipona kwa gharama kubwa sana.Hawa watu wa medical,wapikwe haswa ili wawe mahiri,kuepusha ya kuepukika.
 
Makalio yameingiaje hapo Mkuu🤣🤣
 
Hujui chochote unachoongea
 
S
Italeta nidhamu,sio madaktari pekee,pia ofisi ya DPP unamuweka ndani mahabusu mtu miaka then unamuachia hana kesi ulimkamatia nini sasa
Uzembe kama mahospitalini hauna tofauti na ule wa Polisi na mahakama. Unamfunga mtu 10 yrs then unamwachia unasema hakutenda kosa. Unajua umesababisha madhara kiasi gani kwenye maisha yake yoote?

Hii nchi bila katiba Mpya katiba Bora tutaendelea kuumizana sana
 
Hawa madokta wetu wa bongo ndio hawa hawa tunashinda nao huku kidimbwi tena maspeshalist kabisa wakimwagilia moyo mpaka kutembea hawajiwezi ...na bangi ndio hatari zaid yan Mungu tu atusimamieee kwa kweli
Sindio wengine wanasema hawawezi fanya operation mpk walewe....hivi ndio kweli chuoni wanafundishwa hivyo au wamejiongeza
 
Kuna tatizo kubwa kwa wataalamu wetu Madakatari Bingwa "ma specialists".

Sielewi ni ukosefu wa umakini? au kutokuiva vizuri katika taaluma zao?! au ni ukosefu wa maadili?! au ni uzembe?!

Mambo kama hayo yanatokea sana kwa wagonjwa wa maradhi mbalimbali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa nikuulize paracetamol ilikuwa inaenda kufanya kazi labda? Au kila mgonjwa anapewa paracetamol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…