Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Hitimisho
Ma-doctor bingwa tunao wengi hapa Tz lakini pia madocta wa michongo wapo ,sifa na vyeti wanavyo lakini unamuelezea tatizo lako anakujibu Kama kasomea Arts, ukiona hivi nenda Hospital nyingine
 
Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
Unataka tusome, au tusisome braza

Kwa nini usichukulie ku'gugo' ni sehemu ya kusoma yenyewe.

Mtu mahiri pia anahitaji kupata vihint viwili vitatu ili kurefresh kile anachokijua tayari.

Baiolojia ni paaaaaaaana sana
 
Walijua atakufa soon ndo maana walimpa njoo rudi kibao.

Sasa karma imepindua meza.

Wamlipe zaidi ya hapo
 
Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
Kugoogle sio tatizo(shida labda source je ni ya kweli?) kumbuka Dr anatakiwa kusoma muda wote hasa kwa mambo yanayomtatiza ndo maana kuna miongozo pia ya kutibu nk yote imewekwa kumfanya daktari atibu kwa usahihi.
 
Unataka tusome, au tusisome braza

Kwa nini usichukulie ku'gugo' ni sehemu ya kusoma yenyewe.

Mtu mahiri pia anahitaji kupata vihint viwili vitatu ili kurefresh kile anachokijua tayari.

Baiolojia ni paaaaaaaana sana
Googling ni shortcuts. Acha kutetea uozo. Kwa hiyo bailojia ya google ndio ina upana mkuu?
 
Hapa mkuu mi sijaelewa hitimisho la huyu bwana. Sababu nimesoma maelezo yake yote hajaandika kua anaumwa goita sasa mwisho kahitimisha alikua anaumwa goita na upusuaji alijua anafanyiwa goita.

Wajuzi mnisaidie pengine mm ndio cjaelewa
Kuna namna ataelimishwa kuwa goita ni hiyohiyo tezi ikikua kubwa.

Hapo tunarudi kwenye suala la uelewa wa mgonjwa kuhusu ugonjwa wake.

Kesi inaweza kurudi kuwa ya kutokutoa ilee fomu ya makubaliano ya operesheni, na kama sasa ndio mtindo wetu wa kusaini bila kusoma tutarudi palepale tena. Hata hivyo tusitoe matokeo wakati kesi ikiwa mahakamani lazima watapitia kila kipengele na HAKI itatendeka.
 
Halafu sasa wanajifanya ni wajanja na wataalam kupita maelezo. Ulaya ukienda hospital manafanya discussion na dr na anakuuliza mapendekezo yako lakini Bongo dr wana viburi na wanajiona ni wataalam mno.
Kupata taarifa na kuuliza maswali ni haki yako yajibiwe na mtaalamu.

Hata hivyo usidharau tabia mojawapo ya wabongo ambapo ipo sana tu. Unakuta mtaalamu unataka kutoa maelekezo na elimu halafu mgonjwa anakukatisha kwa kauli 'We bwana maelezo meeengi ya nini?, we nipe dawa nisepe..... sisi tuliwapeleka shule nyinyi msome muelewe muje mtupatie dawa sasa si tungeenda wote kusoma udokita'!!

Ikitokea mara mbili tatu, unachoka unaanza kuokoa muda lakini haiondoi kujibu maswali atakayouliza mgonjwa
 
Mimi pia hapo hindu mandal nilishaandikiwa madawa nikawa nameza tu
Kuja kuonana na prof mmoja muhimbili kumueleza ttz langu baada ya xrays kumbe tiba ni water therapy tu maumiv kwisha
Nikaapa nikiwa mkubwa nitajitahidi nipate pesa ili kama sio kutibiwa nje angalau hata mafua niwe na uwezo wa kuonana na maprof tuu 😀😀😀😀
 
Duuh hawa ndio wale ukienda kupata huduma anagoogle kwanza.

Mungu atunusuru tu.
Watakataa hapa mimi kipindi bwana mdogo nilikua nasumbuliwa sana na (pumbu) scrotal nini sijui huko wanajua wenyewe basi nikafika nikajieleza weee huku chozi linalilenga lenga enheee inaitwa scrotal torsion balaa hiyo basi dokta akanisikiliza weee ghafla paap akafuta simu janja na kuanza kugoogle khah jibu akapata eti nifunge kwanza pumbu na rubber band au mpira maumivu yakizidi yaa yaaaw
 
Au anaambiwa huna malaria anasema bwana hii malaria tu malaria yangu mi naijua mimi[emoji16]
 
Hizo hospital zikipigwa fine ya 100+ million ni lazima umakini utaongezeka tu. Sisi waafrika tunataka mkono wa chuma na mjeledi ili twende sawa. Shida iko wapi hata sijui.
 
Kuna rafiki yangu kwa mambo hayo hayo ya uzembe wazazi wakatengana na hadi leo jamaa anaulemavu wa kudumu na anatibiwa bure hapo hadi afariki

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
3D
ndivyo wanavyofanya hapo TMJ tunapoamrishwa tufuate vipimo,
Tena ukiwa mbishi wanakuchukua mpaka kwenye Computer yao, wanagoogle mbele yako ili kukuthibitishia usasahihi wa majibu yao!
Watakataa ila ndio uhalisia.
 
Googling ni shortcuts. Acha kutetea uozo. Kwa hiyo bailojia ya google ndio ina upana mkuu?
Hapana google inasaidia kurefreshi baiolojia paaana ili kichwani kwake.

Kuna msaada fulani fulani wa vitaarifa fulani huwezi hifadhi kichwani muda wote mfano kujua kama dawa mbili hazipatani.

Na kingine intaneti upo ya leoleo [updated] tofauti na elimu ya mwaka 47 iliyo kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…