Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500


Imepita muda gani?
 
Kaka tuache kushitaki madaktari sio sawa wale ni Miungu wa maisha yetu hapa duniani
Uko kwa wenzetu wangekua na mawazo kama haya yakwako kamwe wasingefikia level walizozifika kwenye sekta zote wanazozifanya.
 
Mzee wangu alifanyiwa vipimo TMJ Hospitali....alikua na uvimbe kwenye koo....siku anapewa majibu aliambiwa "una kansa nenda Ocean Road" imagine mzee wa miaka sitini unampa black n white hivyo...mzee wangu alitoka pale na kigugumizi tukarudi home...sitokaa nisahau ile hospitali.
 

We ni mpuuzi kweli. Daktari ana immunity gani asishitakiwe?

Yaani afanye uzembe kwenye maisha ya watu, tumwachie Mungu?

Watanzania sample yenu hii, ndio inatufanya tuonekane wajinga & primitive.
 
Duh pole..anaendeleaje baba kwa sasa?
 
Ilitokea kwa mzee wangu flani yani alikuwa anaumwa akafanyiwa vipimo figo zilionekana zina shida ila sio kwamba ndo inahitahi abadilishwe zote eehe Dr si akamropokeaa mzee figo zimekufaa hizii inabdi ufanye mpango upelekqe India mzee alipanick pressure juu hakupona aiseee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Madaktari sometimes wanazingua sana
 
Madaktari wetu hawa hawa wanaokesha kidimbwi na kumwagilia moyo..[emoji119]

Kwakweli vijana wenye taaluma zao ni mzigo saivi
[emoji1787]

Unaenda kwa Dkt unamueleza tatizo yeye anachat kwenye simu.

Nawakubali professional waliokuwepo enzi za mkoloni, japo technology ilikuwa duni lakini walikuwa serious and meticulous na kazi zao.

Hii generation ya siku hizi ni majanga sio madaktari tu, hata wanasheria ( wavivu kusoma) wanagombezwa kila siku court kwa uzembe wao. Hali kadhalika na engineers, accountants etc so unprofessional [emoji706]
 
Mzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.
Pole mkuu...M/Mungu amrehemu baba yetu[emoji120]
 
Kheeeeeeeh poleeeeeh babuuu.
 
Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukatoka ndukiiiii.
 
Hakuna kazi ambayo haikosi makosa.siku mbaya kazini ipo kwa kila mtu na kila sekta.Kinachokumbushwa kwa madaktari sio ukamilifu wao bali umakini wao.Kuna visa vingi sana vya madaktari vinavyotokana na uzembe.Hili ndilo ambalo wananchi wengi wanalolipigia kelele.
 
Au anaambiwa huna malaria anasema bwana hii malaria tu malaria yangu mi naijua mimi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…