Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
 
hivi Lisu anaungwa mkono hata na mumama hata moja ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu pale chadema? :pedroP:

mdomo bana dah, ni muhimu sana kuutumia vizuri aise?:pedroP:
 
Kwa kweli, kwa unyenyekevu na bila hukumu wala nia ya kumkosea mtu yeyote mwenye maoni tofauti, nikisema ukweli kwa moyo mweupe na nia safi, nimekuwa na jambo moyoni kwa muda mrefu ambalo sikusema kwa sababu ya woga. Lakini leo, kwa ujasiri wote nilioupata, nataka kusema kuwa sina chochote cha kusema. Asante!
 
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
Safi
 
Back
Top Bottom