Kila ubaya utalipwaDk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.
Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.
Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba
Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.
“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.
Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.
“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Kila siku kabla ya kulala piga magoti nyosha mikono juu sema "serikali ya kipumbavu sana hii" mara tatu.
Polepole alikuwa na jeuri kulikoUzwazwa ni kutojua kitu
lkn unatoa maoni ya kutetea kitu usichojua‼️
🗑️Mnatafutaga majanga kisha mseme sijui Serikali mbayaa!!
Tukomeeni nchi zengine uko kwenye haki mpaka za Usodoma 👈
Wameshafanikiwa kwa shitaka hiliHapo unaona kabisa dhamira yao ni kumtesa na kumsumbua
Hivi hawa wapuuzi wanajua maana ya Ugaidi au Uhaini? Wasome ABCs za Sheria ,Mens rea and Actus reus!Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.
Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.
Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba
Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.
“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.
Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.
“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Maana hapo kuitoka huko mahaka ya mwanzo hadi mahala pake sahihi pa kuisikiliza ni hatua ya matesoWameshafanikiwa kwa shitaka hili
Mbona wanasema alikuwa anafundisha tu na ni mwalimu wa political science hapo UDOM.Mtumishi wa umma unatakiwa kuishi kwa kufuata maadili ya utumishi wa
umma
Ndio maana Sheria zinasema kama unataka kuingia katika shughuri za siasa unatakiwa kujiudhuru kazi za utumishi wa umma:
Mtumishi wa umma hatakiwi kujishughurisha katika shughuri za siasa au uwanaharakati;
Stay tuned
Wapi wanafunzi na walimu wso wa miaka hiyo... PUNCH....very sad!
Mbona wanasema alikuwa anafundisha tu na ni mwalimu wa political science hapo UDOM.
Kuhamasisha maandamano ni kosa la ugaidi kiongozi?
Kwani kosa lake lipi au wewe unajua zaidi ya wanasheria wake?Ww umeona wapi mashtaka yake???
Umejuaje ni kuhamashisha Maandamano ??
Kwani kosa lake lipi au wewe unajua zaidi ya wanasheria wake?
Ugaidi wake ni upi wewe mjuzi wa mambo