RIP Jenister MhagamaWaTanzania kwa kuchomana
Hii imenikumbusha movii ya sarafina...Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.
Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.
Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.
Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.😎😎😎Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.
Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.
Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.
Ni uvccm chawaWaTanzania kwa kuchomana
Kuna mwaka Kuna mwamba alinipitia na Costa tupu twende dar nkimwuuuliza gari lote hili wawili? Akaniambia tunapitia waheshimiwa Dodoma wanaenda kwenye uapisho wa rais flani dar next week hapo hata kura hazijapigwa Bado🤣🤣Uvccm ndiye alirekodi
Hili litakuwa taifa la wajinga. Lecture room ndio sehemu pekee ambapo wanafunzi wanaweza kujadili jambo kwa mtazamo hasi au chanya kwa uhuru. Wakianza kukamatwa walimu darasani basi tutatengeneza wahalifu wengi nchini. Wakina karl Max waliandika sana revolution sikuona vitabu vyao vinachomwa moto na serikali za ulaya kwa ajili ya uchocheziRIP Jenister Mhagama
Serikali ya CCM ni ya kipumbavu. Inasigina mpaka academic freedom!Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla ya kuachiwa kwa dhamana.
Mhadhiri huyo anatuhumiwa kujadili maandamano hayo ya D9 siku ya Desemba 8 kuanzia saa 4:30 asubuhi hadi saa 7:30 mchana, ambapo alidawia kuwachochea wanafunzi kushiriki katika maandamano yaliyofanyika Desemba 9.
Inadaiwa kuwa kauli hizo zilirekodiwa kwa siri darasani na mtu aliyedaiwa kuwa mpelelezi, kisha kupelekwa kwa mamlaka za juu zilizotoa agizo la kukamatwa kwake.
Wale Wanachuo wa zamani wenye hoja za maana na waliokuwa wanapinga hadharani Madhaifu ya Serikali Hawapo TENAWanafunzi wanakuwa masnitch. Tunapotea.
Hili litakuwa taifa la wajinga. Lecture room ndio sehemu pekee ambapo wanafunzi wanaweza kujadili jambo kwa mtazamo hasi au chanya kwa uhuru. Wakianza kukamatwa walimu darasani basi tutatengeneza wahalifu wengi nchini. Wakina karl Max waliandika sana revolution sikuona vitabu vyao vinachomwa moto na serikali za ulaya kwa ajili ya uchochezi
huyo lecturer naye ni zamwamwa hajui kama TISS wapo kwenye vyuo vikuu vyote hapa nchini....Wanafunzi wanakuwa masnitch. Tunapotea.
huyo ni afisa kipenyo...huwa wanaingizwa wengi vyuoni kila mwaka...Sio kila unayemuona chuoni ni mwanafunzi.WaTanzania kwa kuchomana