Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

February 5, 2020
Kilosa, Tanzania

Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha

05 February 2024

RELI YA MGR TRC KILOSA MOROGORO MPWAPWA DODOMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=yNYS5b98fRo
David Mwakiposa Kihenzile aliye naibu waziri wa uchukuzi afika maeneo ya mikoa ya Morogoro na Dodoma kuona athari kubwa reli iliyo haribiwa na mvua za el nino, TRC inajitahidi kukabiliana na hali hiyo huku pia inafanya uchepushaji / reroute ya reli pia serikali imetenga pesa ili mkandarasi wa kampuni ya CCC kujenga daraja la mita 75 kwa gharama ya TShs. 33 bilioni kuondokana na adha hiyo isijirudie tena siku za usoni ..

Kipande Kilosa mjini hadi Gulwe Mpwapwa kimekuwa kikikumbwa na mafuruko kila mara nyakati za mvua hivyo kuathiri usafiri wa reli ya MGR kwenda Tabora, Kigoma, Mwanza pia kuelekea Dar es Salaam.
 
Nimejaribu kutafuta post zangu nikirarua upotoshaji wako kuhusu haya madhara (nina uhakika not less than. 3 months) Ila zimefutwa; vinginevyo ningekwambia I told you so with evidence.

Previous I said alichosema huyo engineer hakina uhusiano wowote na title ya mada yako ya upotoshaji. Isipokuwa alichosema matumizi ya MGR ina miaka 15 kabla ya ku switch into SGR completely,

Hiyo MGR yenyewe TRC hilo eneo korofi la Morogoro they can’t manage upkeep kipindi cha mvua Waturuki ndio walikuwa wanaenda wapa mbinu za kupunguza rail washment kipindi cha mvua cheaply.

Wao wenyewe kwa uelewa wa risk za eneo kwenye njia hiyo, reli ya SGR wameipitisha kwenye mbali na mto kwa kuchoronga njia,

Listen nyie watu inabidi mjifunze kusikiliza na kusema kile kinachokusudiwa na wataalamu kwenye kutoa taarifa. Huu ujinga wa kujenga hoja za kisiasa una madhara ya upotoshaji kwenye jamii na kulaumu watu wengine kwa accountability zisizo zao.

Huo upande wa reli auns uhusiano wowote na SGR ni mipango hafifu tu TRC kwenye railway upkeep.

This is why mnashindwa kesi rahisi kama za Indiana. Kipi bora kutafuta diaspora wenye ufahamu wa biashara kuwapa defensive lines za kesi au kulipa billioni 300 kwa kesi ya kushinda kisa kumpa lawama Magufuli tu. Wakati issue ni uwezo mdogo wa wanasheria.
 
HABARI ZA KIUCHUNGUZI KUTOKA VYANZO MBALIMBALI SEKTA PACHA YA RELI NA BANDARI

17 February 2024
Cape Town RSA

RELI MPYA KUTOKA KANDA ZA MACHIMNO YA SHABA ZAMBIA, UKANDA WA KUSINI MAJIMBO YA DR CONGO HADI BANDARI YA LOBITO ANGOLA KUFUNGUA FURSA MPYA


View: https://m.youtube.com/watch?v=rOxYGzf4tCQ
Reli ya bahari ya Atlantiki kupitia Lobito inaunganisha Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Bandari ya Lobito ya Angola.

Kusainiwa kwa mikataba yake miwili ya kwanza ya muda mrefu ya kibiashara kunaanzisha enzi mpya ya usafirishaji wa madini kutoka ukanda wa shaba wa Afrika hadi Port Lobito kwa mauzo ya nje.

Mpango Mkubwa wa DP WORLD
Kubinafsisha Bandari ya Lobito na Barabara ya Reli ya Benguela ni sehemu ya mpango mpana wa serikali ya Angola wa kuleta mseto wa uchumi wa nchi hiyo kwa ushirikishwajwi wa uwekezaji zaidi kupitia sekta binafsi. Kundi la Benki ya Dunia WB linaunga mkono wazo hilo.

João Fernandes, Mratibu wa Tume ya Kutathmini Bandari ya Lobito, anasema kuwa mpango mkuu wa Wizara ya Uchukuzi "unahusiana kwa karibu na Bandari ya Lobito na Ukanda wa Lobito" na wanatarajia kwa ushiriki wa wageni wanaweza kuboresha miundombinu na ufanisi kama vizuri.

Habari za Euro
João Fernandes, Mratibu Tume ya Kutathmini Bandari ya LobitoEuronews
Mabadiliko katika bandari ya Luanda
Uwekezaji wa kigeni tayari unafanyika katika bandari kubwa ya Angola, Luanda. DP World, kampuni ya usimamizi wa bandari ya Dubai, ilishinda zabuni yake mapema mwaka huu.

Francisco Pinzon ni Mkurugenzi Mtendaji wa DP World Luanda. Alielezea maendeleo ambayo tayari yamefanywa huko. Sasa ndani ya bandari kuna magari maalum 30 aina ya lori yatumikayo bandarini kupokea, kupanga na kuhamisha mizigo ndani ya bandari . Pia anatarajia kuongeza ufanisi zaidi kwa terminal ya makasha na crane za ziada zitembeazo zenye vifaa vya kisasa .

Pedro Neto ni Mkurugenzi Mtendaji wa EagleStone, kampuni ya ushauri ya benki ya uwekezaji na ameishi Angola kwa zaidi ya miaka 20. Anatuambia kuwa bandari ya Lobito ni fursa kubwa ya kuunda mtandao kwenye pwani ya bahari ya Atlantiki kuagiza na kuuza nje bidhaa na bidhaa kutoka Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hadi pwani. "Kwa kweli ni fursa ya kuunda njia mbadala kwa njia iendayo pwani ya Bahari ya Hindi", anaongeza.

Kwa Neto ni zaidi ya kuhamisha madini kama shaba, cobalt n.k kutoka migodini, anasema kuwa bandari ya Lobito Angola inaweza kutumika kuleta bidhaa ndani kwa kutumia bandari ya Lobito. Anafafanua kuwa kando ya ukanda wa reli ya Lobito kuna sekta kubwa muhimu za kilimo "na hiyo inaweza kuwa jambo kubwa katika kuendeleza bandari."


The Lobito Atlantic Railway connects Zambia and the Democratic Republic of Congo to Angola's Port of Lobito. The signing of its first two long-term commercial deals sets off a new era for the transport of minerals from Africa's copper belt to Port Lobito for export.


View: https://m.youtube.com/watch?v=VJj-J8qDLPk

The Big Plan in partnership with DP World Dubai​

Privatising the Port of Lobito and the Benguela Railroad is part of the Angolan government's wider plan to diversify the country's economy with the help of more private investment. The World Bank Group backs the idea.

João Fernandes, the Coordinator of the Lobito Port Evaluation Commission, says that the Ministry of Transport’s master plan "is closely linked to the Port of Lobito and the Lobito Corridor" and they expect with the participation of foreigners they can improve the infrastructure and efficiency as well.

Euronews
João Fernandes, Coordinator Lobito Port Evaluation Commission Euronews

Changes in the port of Luanda

Foreign investment is already happening in Angola's largest port, Luanda. DP World, the Dubai port management company, won the bidding for it early this year.

Francisco Pinzon is the CEO of DP World Luanda. He described the advances already made there. There are now 30 internal truck vehicles and they will shortly receive restackers and rehandlers. He also expects to give more efficiency to the terminal with an additional mobile hardware crane.

Pedro Neto is the CEO of EagleStone, an investment banking advisory firm and he has lived in Angola for over 20 years. He tells us that the port of Lobito is a serious opportunity to create a network on the Atlantic coast to import and export goods and products from Zambia and the Democratic Republic of the Congo to the coast. "It's really an opportunity to create an alternative to the Indian Ocean coast", he adds.

To Neto it is more than just about moving metal from mines, he says that Lobito could be used to bring goods to the interior using Lobito port. He explains that along Lobito's railway corridor there are huge important agricultural sectors "and that could be a huge point in favour of developing the port."
 
Na Mwandishi wetu MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.

Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.

Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.

Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.

----

Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .

Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "

Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .

Ngoja tuone.

Soma:
 
Na Mwandishi wetu MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.

Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.

Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.

Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.

Soma:
- UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25
 
Kwa hio mwanangu kisa maandamano yenu shughuli zote za kijamii zisimame? Kwahiyo miili ibaki mortuary kuongeza gharama, ndugu waendelee kupata majonzi kisa maandamano yenu?

Hapana aiseee, ninyi fanyeni yenye, na Wafiwa waage,
 
Acheni ujinga ninyi CHADEMA na akili zenu hizo za kihayawani na kinyumbu. Yaani watu wana simanzi na majonzi ya kupoteza wapendwa wao halafu ninyi mnaleta siasa? Hivi mna akili kweli ninyi?

Hivi ni laana au ujinga ndio unawasumbueni? Vipi angekuwa ni mama yako kapoteza maisha? Ungeleta huu ujinga uliouandika hapa? Ungeendelea kuhamasisha maandamano? Acheni ujinga na kuwa na akili za kitoto na kijinga utafikiri mashetani.

Yaani watu wamejaa majonzi na simanzi katika mioyo yao halafu ninyi mnaleta ujinga wenu.mnafahamu simanzi zilizopo katika mioyo ya wafiwa?

Kwahiyo hayo maandamano yenu ya kijinga yana thamani kuliko roho za watu zilizopotea? Kwahiyo miili iendelee kukaa mochwari kwa sababu ya maandamano yenu ya kijinga? Hamna akili kabisa ninyi na hamfai kuitwa binadamu.
 
Hii Nchi DHIKI iliyopo hata Maiti za Ajali zilikuwa zinasachiwa ili Watu angalao wapate hela za Mlo mmoja.

Hali ni mbaya mbaya kweli kweli.
 
Back
Top Bottom