Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Maandamano yangeahirishwa kuheshimu waliopoteza maisha!!
Mtu mmoja kiongozi akifa mnasimama kazi kwenda kumuaga Leo watu takriban 25 wamepoteza maisha iweje ichukuliwe poa??
 
Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .

Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "

Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .

Ngoja tuone .
Mkuu

Inabidi ifunguliwe kesi ya Udhalilishaji Maiti....iweje maiti zimeharibika vibaya zije KUANIKWA uwanjani Huo ni Udhalilishaji...Tupinge kwa nguvu zote!!!!
 
Ingekuwa waliokufa ni familia ya Mbowe mngeandamana? Kama hamuwezi kujali roho za watu 25 kisa maandamano mkishika dola si mtaua maelfu? CCM isababishe ajali kisa maandamano ya nyumbu? Acheni mizaha na misiba. Kwa mlipofikia mmeishiwa hoja kabisa. Nyie kila siku hamjifunzi kabisa. Cha muhimu ni jeshi la polisi kutozuia maandamano yenu ili mkose kiki na kukutana na hasira za wananchi kwenye sanduku la kura. CHADEMA ni chama kilichojaa makatili wasiojali kabisa uhai wa binadamu ili kufanikisha agenda zao za kisiasa.
 
Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .

Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "

Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .

Ngoja tuone .
Hata mimi mnaamini ccm na serikali yake Wana mkono kwenye hiyo ajari. Inakuwaje raisi atangaze fidia na matibabu haraka wakati ajari nyingine hafanyi hivyo? Yaani hata polisi bado hawajafanya uchunguzi wa kujuwa chanzo. Insurance za za vyombo vilivyo husika kwenye ajari havijafanya tathimini ya maafa na uharibifu wa Mali. Tiyari raisi kaisha ahidi fidia na matibabu. Hizo hela za matibabu na fidia zinatoka kwenye budget ipi? Hivi Bima za vyombo vya usafiri ni za kazi gani kama watu wanao Pata ajari wanafidiwa na serikali? Au Bima ni njia za kuibia watu hela kisheria?
 
Acheni wafu wajizike wenyewe. Maandamano kama kawaida na yapitie hapo uwanjani.
Hata kama unaongea kuichafua chadema elewa unafanya ushetani.
Mfano mzazi wako wewe angepotea kwenye ajali hiyo ungeongea hayo uloongea!
Heshimu marehemu hatawewe utafiwa na wapendwa wako na utakufa pia. Pole kwakuwa naroho mbaya saana
 
Na Mwandishi wetu MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.

Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.

Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.

Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.

----

Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .

Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "

Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .

Ngoja tuone.

Soma:
Anapanga mwenyewe na madereva hewa kisha anapangua mwenyewe aonekane ana busara.
 
Acheni ujinga ninyi CHADEMA na akili zenu hizo za kihayawani na kinyumbu. Yaani watu wana simanzi na majonzi ya kupoteza wapendwa wao halafu ninyi mnaleta siasa? Hivi mna akili kweli ninyi?

Hivi ni laana au ujinga ndio unawasumbueni? Vipi angekuwa ni mama yako kapoteza maisha? Ungeleta huu ujinga uliouandika hapa? Ungeendelea kuhamasisha maandamano? Acheni ujinga na kuwa na akili za kitoto na kijinga utafikiri mashetani.

Yaani watu wamejaa majonzi na simanzi katika mioyo yao halafu ninyi mnaleta ujinga wenu.mnafahamu simanzi zilizopo katika mioyo ya wafiwa?

Kwahiyo hayo maandamano yenu ya kijinga yana thamani kuliko roho za watu zilizopotea? Kwahiyo miili iendelee kukaa mochwari kwa sababu ya maandamano yenu ya kijinga? Hamna akili kabisa ninyi na hamfai kuitwa binadamu.
Yaani CCM kuna lipi mnashindwa kufanya ili kulinda vitambi na matumbo yenu?

Kama mliweza kuua watu na kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa Bahari ya Hindi, mto Rufiji na mito mingine na maziwa, maporini na mkataka kumuua Tundu Lissu wetu, hili la kumtumia m - Kenya kuua ndugu zetu nani akisikia atashindwa kuamini?.

Na hivi Lucas mwashambwa na wenzako huko CCM ni nani atashindwa kuamini kuwa hiyo ajali ya kuwaua Watanzania wenzetu huko Arusha imepangwa na CCM ya "wasiojulikana" eti ili mpate cha kusema kujaribu kuingilia maandamano ya amani ya wananchi kudai haki zao ktk nchi yao?

Mmeua Watanzania wenzetu kwa eti ili tu mpate kufanya propaganda zenu za kijinga dhidi ya CHADEMA na kujaribu kuzuia maandamano? Really?

Hakika nyie ma-CCM na serikali yenu ni mahayawani mnaostahili adhabu kali sana hapa hapa duniani..!

Na hii adhabu ni lazima iwapate, iko juu yenu na watoto wenu na vya kwenu vyote...
 
Aisee huna utu kabisa, ila Kwa kifupi ni kwamba tutaenda kuzika ndugu zetu nyie endeleeni na maandamano yenu. Naona kauli ya mama imevunja vunja kabisa matarajio yenu.
Yani kabisa mnatarajia tutachagua maandamano badala ya kwenda kuwastiri wenzetu!!!
Fala wewe
 
Acheni ujinga ninyi CHADEMA na akili zenu hizo za kihayawani na kinyumbu. Yaani watu wana simanzi na majonzi ya kupoteza wapendwa wao halafu ninyi mnaleta siasa? Hivi mna akili kweli ninyi?

Hivi ni laana au ujinga ndio unawasumbueni? Vipi angekuwa ni mama yako kapoteza maisha? Ungeleta huu ujinga uliouandika hapa? Ungeendelea kuhamasisha maandamano? Acheni ujinga na kuwa na akili za kitoto na kijinga utafikiri mashetani.

Yaani watu wamejaa majonzi na simanzi katika mioyo yao halafu ninyi mnaleta ujinga wenu.mnafahamu simanzi zilizopo katika mioyo ya wafiwa?

Kwahiyo hayo maandamano yenu ya kijinga yana thamani kuliko roho za watu zilizopotea? Kwahiyo miili iendelee kukaa mochwari kwa sababu ya maandamano yenu ya kijinga? Hamna akili kabisa ninyi na hamfai kuitwa binadamu.
Jaribu kuheshimu watu,Usiwaite watanzania wenzako mahayawani

Wewe ungekuwa na Mama yako ana matatizo ya akili au Baba yako ungefurahi watu wamuite kichaa

Jaribu kuwa muungwana na mstaarabu,Wewe ni mtu mzima mwenye ndevu zako

Baba unaporopoka hovyo utaharibu watoto wako
 
Na Mwandishi wetu MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.

Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.

Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.

Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.

----

Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .

Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "

Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .

Ngoja tuone.

Soma:
Orodha ya majina Iko wapi?
 
Wewe ni hayawani. Haya nenda kashtaki
 
KWA HIYO UNATAKA KUSEMA AJALI ILIPANGWA? TUMIA AKILI AISEE.MAANDAMANO YENYEWE SIDHANI KAMA YANA TIJA KWA TAIFA.
 
ETI MAISHA MAGUMU ,HAHAHAHAHA

HIVI UNAAMINI KUWA WAKINA MBOWE WANAENDA KUANDAMANA BILA KUANDIKA PERDIEM?RUZUKU INATUMIKAJE BILA KUANDAA SHUGHULI YOYOTE KUONYESHA RUZUKU IMETUMIA?
 
Screenshot_2024-02-26-20-40-55-1.png
 
Maandamano yangeahirishwa kuheshimu waliopoteza maisha!!
Mtu mmoja kiongozi akifa mnasimama kazi kwenda kumuaga Leo watu takriban 25 wamepoteza maisha iweje ichukuliwe poa??
Watu wameshaaga na watakwenda kwenye mazishi wale wanaotaka, ama Kila mtu lazima ashiriki hiyo tarehe iliyopangwa na serekali? Na wale wazungu walioafariki pia watafanyiwa siasa hapo uwanjani?
 
Back
Top Bottom