Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

Uchawa na kujipendekeza tu huko.
 
...Wanashindana Kuona nani ataimba Pambio Bora Zaidi ! [emoji35][emoji35]...
 
...Wameyafuta ??!! [emoji35]...
 
Kwa Vichekesho hivi na vingine vyote vifafanavyo na hivi usisite kutembelea www.ccmmaigizo.co.tz
 
...Hebu Wewe Jaribu Kutumia Ubongo wako Utuambie Raisi aliyepo anaweza Kumshinda Nyerere Kwa Rekodi ipi ???
Acha kukurupuka...

Uliyelisoma gazeti la Majira utuambie wamefananishwaje ?

Hebu tumia UBONGO wako unieleze.....
 
Hovyo sana mkuu, hawa waandishi hovyo kabisa. Inakera sana.
 
Mbona hujatuambia ni rekodi gani mkuu?!!!

Wewe ni msomi wa SAUT unanishangaza kwa kusimamia pekee CAPTION ya gazeti na si CONTENTS yake [emoji1787]
Kwa Genius yoyote yule Caption / Headline ya Gazeti lolote inatosha Kukuambia Upumbavu ulioko katika Content ya Taarifa husika na kutopoteza muda wa Kuisoma.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Gentamicin usiwalaumu waandishi baba. Njaaa kali bila ivyo ivyo watoto walishapatwa na kwashiorkor na wanaelekea kufa bila kuandika ivyo wanakufa na njaaa
For any Professional to accept being a Sycophant / Flateterer of the State ( Authority ) tantamounts to how Useless and dame Fool He / She is.

We have a very bogus media in TZA.
 
kumbe hata saa mbovu kuna wakati inaonesha muda sahihi
 
Mbona unajionesha una elimu ndogo...

Some titles are metaphorical presentations...

Thats IRONICAL...

Unakifaham kitabu cha Mfalme Juha..
 
Nawe unastahili Tuzo ya Heshima kwa kuendelea kusoma hivi vijarida vya ccm
 
Mbona unajionesha una elimu ndogo...

Some titles are metaphorical presentations...

Thats IRONICAL...

Unakifaham kitabu cha Mfalme Juha..
Rubbish and Nonsensical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…