Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

Kwa tabia hiz za watz hii nchi itaendelea kukopa kwa kutumi lasrimali zake. Kumaliza umasikin itakua ni ndoto isiyofika asubuhi.
 
Kwa Genius yoyote yule Caption / Headline ya Gazeti lolote inatosha Kukuambia Upumbavu ulioko katika Content ya Taarifa husika na kutopoteza muda wa Kuisoma.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Sawa "magenius" ni wachache na ni kweli hawapotezi muda baada ya CAPTIONS za magazeti....[emoji1787]

Je ni vipi kuhusu hadhira yetu isiyo ya kundi lako ?

Nasi tusizisome "contents" za magazeti kwani tunao muda wa kutosha? !!
 
Kwa tabia hiz za watz hii nchi itaendelea kukopa kwa kutumi lasrimali zake. Kumaliza umasikin itakua ni ndoto isiyofika asubuhi.
Kwa sasa Tanzania haina Kiongozi wa Kuuondoa Umasikini uliowakomaa Watanzania, ila una Viongozi Wanafiki na Mafisadi tupu.
 
Sawa "magenius" ni wachache na ni kweli hawapotezi muda baada ya CAPTIONS za magazeti....[emoji1787]

Je ni vipi kuhusu hadhira yetu isiyo ya kundi lako ?

Nasi tusizisome "contents" za magazeti kwani tunao muda wa kutosha? !!
Kuna unachokitafuta Kwangu endelea tu Mkuu sawa? Ila tusije Kulaumiana mbele ya Safari.
 
Leo kila mtu kakusifia nawe ukajiona bonge la mtu , "nyanoko veve naho"🀣🀣🀣
 
Inasikitisha sana na kuhuzunisha mtu aliyetawala miaka miwili kufikia rekodi ya mtu aliyetawala miaka 23!!?
hata kama uchawa umezidi this is too much.
Mama na yy watu waongo kama hawa awe anawaparua
 
Nyerere kaifanyia Tanzania makubwa gani,kuwatia watu ufukara?!..hakujenga shule yoyote ya sekondari na kuifanya jamii kubwa ya tz kuwa mbumbumbu
 
Umechemka mjomba, na wamechemka wote waliokusapoti, nyie ni wachache wa lugha,
Mwandishi ameeleza wazi kuwa ni kuhusu tuzo,
Mengine ni uzushi na chuki za udini tu
 
Niko kwenye foleni Namanga, nimeona bango limeandikwa mama anatoa billion 100 kila mwezi kushusha bei ya mafuta, nimecheka sana!

Tz bwana!
''Give the people what they want''.... Huu ni msemo unaweza kutumika kwa Tanzania. Kwanza nchi nyingi zaimeshagundua udhaifu wa viongozi wetu... wanapenda kuitwa ma-dokta. Hivyo mama wetu wa kambo kapewa anachokipenda. Na sisi wananchi tunapenda habari za kijinga kijinga namna hii. Gazeti la majira linawapa watu kitu wanachotaka. Misukule hoyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…