Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

Unaiba pesa kwenye benki flani kisha akaunti yako unafungua benki hyo hyo? Yani wewe kwa mfano ni signaturen wa kampuni flani yenye akaunti ya fedha benki flani unasaini pesa kutolewa benki ya akaunti ya kampuni kisha zinaingia kwenye akaunti yako kwenye benki hyohyo. Ata meneja wa benki atakuwa anausika kama hakutoa taharifa mapema kwenye uongozi wa kanisa.
 
Hii nchi ngumu sana. Hata kule KKKT usione akina Malasusa wanapang'ang'ania. Sio bure. Wanatumia hadi ndumba kuingia madarakani ili tu wapige hela? Hakuna cha kutumikia Mungu wala nini Watu wanatumikia matumbo yao.
Wala hujadanganya ... Msala ulishatokea viongozi wa Jimbo wakalengeshewa ajali wakafa kuanzia mwenyekiti katibu na mhazini siku moja pale kongowee kisa kugombea vyeo. Mwingine alipaswa na yeye asafiri nao Ila alitonywa asisafiri hiyo siku Kwan kuna bomu akatii Akapona.
Kama hakuna HeLa kwanini wauwane?
Ila Sisi tutoe kwa moyo tukijua tunamtolea Mungu wakiiba laana wabebe wao.
 
Hizi HeLa ni mfumo wa digital ulichezewa na insiders.
Tuliaminishwa tuhamie digital ndo juu kwa juu wakapiga. Ndo maana kuna afisa tehama na wahazini hapo. Na bado chain ni ndefu basi tu waliokutwa na hatia moja kwa moja ni hao
Endelea kutoa sadaka tukuombee pepo
 
Back
Top Bottom