Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

hasa branch manager na watu wauzaji wa madini
 
No. 6 inaweza kuwa sahihi, issue ya mapenzi naipa 15%, issue ya madini na deals za pesa naipa 85%, inawezekana bank walikwapua madini na yeye anajua kila kitu na alikuwa snitch wakaona wamwondoe kuepusha wasijulikane, wanawake wengi huwa Ni waoga sana kwenye issue za deal. Hivyo walijua atawataja.
 
Una hoja
 
Mwanangu nataka uwe muhasibu [emoji1]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko nje ya hiyo kada kabisa.
Japo nimesoma maths tangu chekechea had now.

Mie ntauwawa kabla ya kuanza kazi enyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko sawa na mie kimawazo.
 
Na mimi ni kariba ya watu wa kisasi,tena naweza nikakuacha kwa miaka kadhaa then nakufanyia pasipo kujua ni nani kafanya na kwa sababu zipi maana unakuwa umesahau ubaya ulipnifanyia.
 
Huyu sio binti wa Dr. Towo? Ila binadamu tuna roho mbaya sana! Hivi kweli unaamua kumuua mwenzako kwa kumwagia petrol na kuwasha kiberiti hadi afe?! Kosa alilofanya halikuwa na adhabu mbadala? Pole familia ya Towo. RIP dada yetu.
Ebu niambie rafiki yako wa muda mrefu alitembra na mume wako na kumwagia siri zako zingine za uongo, je?adhabu mbadala ni ipi hapo?
 
Mimi nikisema tuache unafiki tuanze kunyonga wauaji sijui naonekana katili?

Adhabu ya kunyongwa mpaka kufa ipo kwa mujibu wa sheria na ina umuhimu mkubwa sana katika kilinda uhai wa wengi.

Viongozi wetu waache uoga na waridhie utekelezwaji wa adhabu hiyo.
 
Ebu niambie rafiki yako wa muda mrefu alitembra na mume wako na kumwagia siri zako zingine za uongo, je?adhabu mbadala ni ipi hapo?

Ukifanyiwa hivyo unaua? Mnaachana urafiki tu mume kutembea na rafiki yako ni kosa la mme pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…