Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Mjinga gani anayeua mwanamke, ni kosa kubwa sana kuua wanawake na watoto. Kwa sababu hawana nguvu ya kujidefend wenyewe.
Me mwenyewe nmeumia sana kisa ni mwanamke tu why kwahyo wakamchoma na moto ili kukwepa ushaidi au , dah binaadamu
 
Huyo mdada wamemuonea Sana na possibly aliyechonga huo mchongo ni mwanamke mwenzake , au penzi lenye mgogoro , hvyo viwili hvyo
 
Shinyanga huu mkoa na mingine ya wasukuma ukatili umezidi!
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu sana.
 

Hapo watu watakuwa washapiga deal. Mare hemu anataka kusukumiwa lawama
 
Huyu Dada alienda Kibaha nia ilikuwa siku inayofuata amtambulishe Mchumba wake kwa Familia yake Kibaha,hivyo inaonekana kuna isu ya Mapenzi pengine huyo Mchumba wake alikuwa na Mchumba mwingine akamuacha akataka kumuoa huyu hivyo akaamua kumkomoa,nahisi hivyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…