Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

nakumbuka yale ya gesi ya ntwara

japo sidhani kama yatajirudia ktk utawala huu maake jamaa kama kadhamiria vile na kwa hilo nampongeza
 
Umeme wa gesi unakwenda vyema, kuna kinyerezi 1 tayari imezinduliwa na hivi sasa tayari awamu ya pili ya kinyerezi 2 inaendelea kujengwa na kuna plans za kinyerezi 3 & 4 pia.
Uwe una tabia ya kufuatilia mambo kwanza ndugu kabla hujaandika.
Mbona bado umeme sio wa uhakika huku unakata kata kila saa
 
Wanaoibeza CCM sio muda mrefu wata aibika.Ndio,tuna makosa yetu,lakini under comrade Magufuli CCM has a new dawn. Naomba Mungu mradi huu uanze, ili wanao ibeza CCM waumbuke. This will be real big kick for JPM and CCM.
Ndoto
 
All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
'Mzigo mzito mupe Mnyamwezi, utafika'. Hii ni methali inayojulikana sana kanda ya pwani. Kwa hiyo wala usiwe na wasi wasi. Mzigo mzito tumeshampa muhusika utafika tu. Tafuta na mzigo mwingine uliotushinda tumpatie. Big up JPM, this is what we wanted, not those emergency private electric power suppliers like Richmond, Iptl, Dowans and so forth which have been draining our little financial resources and created a lot of mafisadi.
 
Mkuu jiongeze, ni kipi kimeshindikana kwenye gas, mbona tuliambiwa hiyo gas ikifika tu Dar basi matatizo ya umeme yamekwisha, na bei itakuwa chee huku yeye akiwa waziri kwenye maamuzi hayo? Hiyo project ni hela nyingi, je kwa sasa ana hela hizo?
Ni kweli usemacho ndugu ingawa kwa huku mikoani(hasa njombe niliko) tatizo la umeme kukata imekua nadra sana.

Kinyerezi ni mradi mzuri ambao umetekelezwa na unaendelea kutekelezwa ingawa haujawa "mkubwa" kama vile ambavyo tuliaminishwa na wanasiasa.
 
Tanzania tumelogwa au? Wiki iliyopita nilikua namsikiliza mkurugenzi mtendaji wa Tanesco akizungumzia kuhusu Kinyerezi i na ii pamoja na extension ya kinyerezi one. Cha ajabu hadi sasa bomba la gas limetumika asilimia saba tu ya uwezo wake.

maaana yake hatujaweza kutumia gas ipasavyo kuzalisha umeme hadi kufiki June Mwakani tutazalisha 180Megawats K1 plus 240megawats K2. ambayo ni sawa sawa na matumizi ya bomba la gas asilimia kumi na moja. Mimi nilitegemea tungewekeza kwenye gas massively ikiwekeana tutumie uwezo wa bomba by asilimia themanini ndio tuangalie vyanzo vingine.

Kama kinyerezi kumejaa tuchepushe Bomba tujenge kule mkuranga, au liwe exetnded to Kibaha tujenge kinyerezi ingine kibaha.

Poor Tanzania, vipaumbele hakuna
 
Najua right inside your heart you know that Stieglers Gorge is not a dream, ila una jikaza tu.Pole mkuu.Bwawa litajengwa mkuu, take my word. JPM is a man of action,not of empty words.
 
'Mzigo mzito mupe Mnyamwezi, utafika'. Hii ni methali inayojulikana sana kanda ya pwani. Kwa hiyo wala usiwe na wasi wasi. Mzigo mzito tumeshampa muhusika utafika tu. Tafuta na mzigo mwingine uliotushinda tumpatie. Big up JPM, this is what we wanted, not those emergency private electric power suppliers like Richmond, Iptl, Dowans and so forth which have been draining our little financial resources and created a lot of mafisadi.
Duh!! Yaani mnavyopenda kutoa lighter conclusion kwenye tough issues!!!
 
Kubakwa ni natural maana wengine wanakutwa porini wakiwa na nguo za kiuchokozi wamejificha peke yao, waume zao wameanza mbele, askari utamwambia nn hapo, kula kichwa tu!
Kwahiyo wewe unaona ni sawa mwanamke kubakwa kisa tu amevaa nguo ambayo inamfanya atamanike?! Usisahau kwamba ubakaji ni unyama na waweza kumkuta yeyote hata yule anayekuhusu kwa karibu sana. Hebu fikiria labda binti yako au hata mama yako afanyiwe kitu kama hicho wewe utajisikiaje? Ubakaji ni wa kupigwa vita kwa nguvu zote na haufai kutafutiwa sababu yoyote ya kuuhalalisha.
 
Hii nchi ya kijinga sana Dah !!

Majuzi tu walipozindua mradi wa gesi asilia kule Mtwara,walituambia tunaachana na umeme wa maji,leo hii tumeshaisahau gesi turudi kulekule....

Ama kweli Kwa style hii maendeleo tutayasoma kwe mitandao ya kijamii tu
 
President Magufuli is a man of action he mean it he can make it!! Big up my president!!!!

Sidhani kama atatufikisha anakotamani tufike.
Tatizo lake kubwa ni kukosa priorities,ndicho kitakachomuangusha.
Anatamani kufanya Kila Kitu
 
Tanzania tumelogwa au? Wiki iliyopita nilikua namsikiliza mkurugenzi mtendaji wa Tanesco akizungumzia kuhusu Kinyerezi i na ii pamoja na extension ya kinyerezi one. Cha ajabu hadi sasa bomba la gas limetumika asilimia saba tu ya uwezo wake.

maaana yake hatujaweza kutumia gas ipasavyo kuzalisha umeme hadi kufiki June Mwakani tutazalisha 180Megawats K1 plus 240megawats K2. ambayo ni sawa sawa na matumizi ya bomba la gas asilimia kumi na moja. Mimi nilitegemea tungewekeza kwenye gas massively ikiwekeana tutumie uwezo wa bomba by asilimia themanini ndio tuangalie vyanzo vingine.

Kama kinyerezi kumejaa tuchepushe Bomba tujenge kule mkuranga, au liwe exetnded to Kibaha tujenge kinyerezi ingine kibaha.

Poor Tanzania, vipaumbele hakuna
Ninachokiona hapa ni shift between energy sources kati ya JK na JPM!!!

JK nae alifanya attempt ya kufufua Stiegler's Gorge project soon alipoingia madarakani ambapo total project cost kwa makadirio ya 2006 ilikuwa $2 Billion.

Mwaka 2010 alipokuja Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil akaahidi ku-finance ile project lakini mradi haukuwa effected... mtegemea cha ndugu!!! Na hata JK mwenyewe alionekana amesha-shift kutoka kwenye kutaka umeme wa maji na kugeukia umeme wa gas na hapo ndipo lilipozaliwa suala la Bomba la Gas from Mtwara to Kinyerezi!!!

JPM nae naona ni kama anataka kuachana kwenye ku-concentrate umeme wa gas na kurudi tena kwenye umeme wa maji na ndio maana haishangazi hata suala la gas lenyewe hivi sasa limeshapoteza mvuto!!!

In short, ni utaratibu ule ule wa kila anayeingia madarakani anakuja na lake!!
 
pesa anayo maana reli ya umeme mpaka leo kimya
 
Mi naomba afufue uhamisho wa watumishi tu!!!! Hilo tu!!!!
 
Back
Top Bottom