Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bado umeme sio wa uhakika huku unakata kata kila saaUmeme wa gesi unakwenda vyema, kuna kinyerezi 1 tayari imezinduliwa na hivi sasa tayari awamu ya pili ya kinyerezi 2 inaendelea kujengwa na kuna plans za kinyerezi 3 & 4 pia.
Uwe una tabia ya kufuatilia mambo kwanza ndugu kabla hujaandika.
NdotoWanaoibeza CCM sio muda mrefu wata aibika.Ndio,tuna makosa yetu,lakini under comrade Magufuli CCM has a new dawn. Naomba Mungu mradi huu uanze, ili wanao ibeza CCM waumbuke. This will be real big kick for JPM and CCM.
SGR kilometer 200? Sema ndege za chapu chapu bila business plan.Tanzania mpya.Hongera JPM , Huku Reli ya standard gauge, kule Mradi wa umeme hapa kati flyovers.Lazima wakae
'Mzigo mzito mupe Mnyamwezi, utafika'. Hii ni methali inayojulikana sana kanda ya pwani. Kwa hiyo wala usiwe na wasi wasi. Mzigo mzito tumeshampa muhusika utafika tu. Tafuta na mzigo mwingine uliotushinda tumpatie. Big up JPM, this is what we wanted, not those emergency private electric power suppliers like Richmond, Iptl, Dowans and so forth which have been draining our little financial resources and created a lot of mafisadi.All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
Bomberdier nazo zilianza kama hizi porojo, baada ya kufanya kweli mkageuza maneno, mara ndege zile mtumba, mara ndege kama basi la Kimbinyiko na mengineporojo tuu let see actions not words
Ni kweli usemacho ndugu ingawa kwa huku mikoani(hasa njombe niliko) tatizo la umeme kukata imekua nadra sana.Mkuu jiongeze, ni kipi kimeshindikana kwenye gas, mbona tuliambiwa hiyo gas ikifika tu Dar basi matatizo ya umeme yamekwisha, na bei itakuwa chee huku yeye akiwa waziri kwenye maamuzi hayo? Hiyo project ni hela nyingi, je kwa sasa ana hela hizo?
Huku kwetu mikoani tatizo la umeme kukata limepungua sana ndugu ila siwezi zungumzia huko kwenu sababu sijui.Mbona bado umeme sio wa uhakika huku unakata kata kila saa
Ficha uzezeta wako.porojo tuu let see actions not words
Najua right inside your heart you know that Stieglers Gorge is not a dream, ila una jikaza tu.Pole mkuu.Bwawa litajengwa mkuu, take my word. JPM is a man of action,not of empty words.Ndoto
Duh!! Yaani mnavyopenda kutoa lighter conclusion kwenye tough issues!!!'Mzigo mzito mupe Mnyamwezi, utafika'. Hii ni methali inayojulikana sana kanda ya pwani. Kwa hiyo wala usiwe na wasi wasi. Mzigo mzito tumeshampa muhusika utafika tu. Tafuta na mzigo mwingine uliotushinda tumpatie. Big up JPM, this is what we wanted, not those emergency private electric power suppliers like Richmond, Iptl, Dowans and so forth which have been draining our little financial resources and created a lot of mafisadi.
Kwahiyo wewe unaona ni sawa mwanamke kubakwa kisa tu amevaa nguo ambayo inamfanya atamanike?! Usisahau kwamba ubakaji ni unyama na waweza kumkuta yeyote hata yule anayekuhusu kwa karibu sana. Hebu fikiria labda binti yako au hata mama yako afanyiwe kitu kama hicho wewe utajisikiaje? Ubakaji ni wa kupigwa vita kwa nguvu zote na haufai kutafutiwa sababu yoyote ya kuuhalalisha.Kubakwa ni natural maana wengine wanakutwa porini wakiwa na nguo za kiuchokozi wamejificha peke yao, waume zao wameanza mbele, askari utamwambia nn hapo, kula kichwa tu!
President Magufuli is a man of action he mean it he can make it!! Big up my president!!!!
Ninachokiona hapa ni shift between energy sources kati ya JK na JPM!!!Tanzania tumelogwa au? Wiki iliyopita nilikua namsikiliza mkurugenzi mtendaji wa Tanesco akizungumzia kuhusu Kinyerezi i na ii pamoja na extension ya kinyerezi one. Cha ajabu hadi sasa bomba la gas limetumika asilimia saba tu ya uwezo wake.
maaana yake hatujaweza kutumia gas ipasavyo kuzalisha umeme hadi kufiki June Mwakani tutazalisha 180Megawats K1 plus 240megawats K2. ambayo ni sawa sawa na matumizi ya bomba la gas asilimia kumi na moja. Mimi nilitegemea tungewekeza kwenye gas massively ikiwekeana tutumie uwezo wa bomba by asilimia themanini ndio tuangalie vyanzo vingine.
Kama kinyerezi kumejaa tuchepushe Bomba tujenge kule mkuranga, au liwe exetnded to Kibaha tujenge kinyerezi ingine kibaha.
Poor Tanzania, vipaumbele hakuna
Itabidi wajifiche pale mtaa wa Ufipa.Tanzania mpya.Hongera JPM , Huku Reli ya standard gauge, kule Mradi wa umeme hapa kati flyovers.Lazima wakae
Ulitaka reli ipige kelele?pesa anayo maana reli ya umeme mpaka leo kimya