Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!

Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari

Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!

Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
 
FB_IMG_17421870959365114.jpg
 
Kuna madhara gani kwenye hilo? Alilazimisha hilo litokee au jambo hilo limekuja kwa kuwa kulikuwa na hitaji la msingi kuchapisha noti mpya?
Kama lilikuwepo hitaji la lazima naomba msemee, yeye alisema amefurahi kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa na saini yake kwenye noti, hakutaja hitaji ulijualo wewe.
 
Kwani kuna ubaya gani kuwaambia mimi LOTH mwananchi wa kawaida tu nimefanikiwa kutimiza jambo fulani la kitaifa nikiwa kiongozi mkuu kuwa ilikuwa ni ndoto yangu tangu nikiwa mtoto? unajua sisi watoto huwa tuna ndoto za kufanya mambo makubwa tukiwa watu wazima, jambo hilo likitimia ni furaha kuu. Huenda mhehishimiwa aliwazaga ipo siku atakuwa waziri wa fedha na sahihi yake kuwekwa kwenye noti alipokuwa mtoto mdogo na ikaja kutokea
 
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania! Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
kwamba sahihi ya waziri kwenye noti ya fedha za kiTanzania, inakusababishia ugonjwa wa moyo hivi hivi na kukuangamiza wewe mwenyewe gentleman?

dah!
chuki binafsi na choyo ni kitu mbaya sana ndrugu zango 🐒
 
Hakuna waziri wa fedha, hapo wala mchumi, ukisimskiliza Mwigulu.

Ni watu tu ambao wamepitia succession planning za CCM toka wakiwa vyuoni. Wakapewa nafasi serikalini kwanza na sio kwa kigezo cha uwezo (Mwigulu kafanya kazi BoT) kabla ya kurudi kwenye siasa za CCM.

Lakini Mwigulu hana uelewa wa banking, corporate finance wala uchumi kwa kina.

Ni watu tu wanaopewa formuła za kuendesha mambo na wazungu na kuzifuata ndio namna yao kuendesha uchumi, ubunifu wao wenyewe hakuna.

Hawana technical knowledge ya post zao.

Sio Mwigulu tu, mawaziri wote ni sampuli hiyo. Ukimuuliza Mwigulu akwambie banks assets na liabilities hawezi kukujibu miaka 800 na kafanya kazi bank kuu.

Ukienda muuliza fragility ya bank kwenye economy kutokana aina ya asset na liability walizonazo hati kuwa na majibu. Ukimwambia akupe sera za kushawishi banks njia z kutengeneza ajira hawezi toa maelezo ya maana,

Ndio maana kwenye vikao vyao vya banking huko BoT wakipewa mike utaona wanatumia muda mwingi kwa kuongea namuona mwalimu wangu Dr. Sijui nani and other nonsense no content za maana.

Sasa kibongo-bongo ni ngumu kuelewa kwa sababu mtu anaitwa Dr. supposedly ni expert pia.

Tanzania ni nchi yenye succession planning ya hovyo mno, hiyo nchi kutoboa ni ngumu sana.

Asilimia kubwa ya mawaziri, senior politician and worst senior civil servants hawana uwezo.

Hata michango ya JF on serious topics 95% lack technical understanding ni vitu tu watu wanatoa kichwani kwao.

Someone has to tell you lots the truth, shida kubwa ni uwezo ndio maana tu maskini.
 
Kwani kuna ubaya gani kuwaambia mimi LOTH mwananchi wa kawaida tu nimefanikiwa kutimiza jambo fulani la kitaifa nikiwa kiongozi mkuu kuwa ilikuwa ni ndoto yangu tangu nikiwa mtoto? unajua sisi watoto huwa tuna ndoto za kufanya mambo makubwa tukiwa watu wazima, jambo hilo likitimia ni furaha kuu. Huenda mhehishimiwa aliwazaga ipo siku atakuwa waziri wa fedha na sahihi yake kuwekwa kwenye noti alipokuwa mtoto mdogo na ikaja kutokea
Angeeleza sababu muhimu za kuchapisha noti hizo badala ya ndoto yake ambayo si muhimu kwetu Uzi huu usingekuwepo.
 
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania! Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Eti msomi hata hajui kitu anaropoka TU!
 
Back
Top Bottom