Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

Angeeleza sababu muhimu za kuchapisha noti hizo badala ya ndoto yake ambayo si muhimu kwetu Uzi huu usingekuwepo.
hiyo ya kueleza ndoto yake ni kibwagizo tu kutokana furaha aliyokuwa nayo katika maelezo yake
 
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania! Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.

Tanzania inaundwa na Nchi mbili.
Tanganyika na Zanzibar.

Zanzibar ni nchi
Tanzania ni nchi mbili .
Zanzibar ina Rais
Tanganyika haipo kisheria na haina rais.
Rais wa Tanzania(Tanganyika ) ni Mzanzibari .
Rais wa Zanzibar ni Mzanzibari..
Tanganyika haina wenyewe ni shamba la bibi.

Pesa inayobadilika badilika kama kinyonga haiwezi kamwe kuingia kwenye soko la nje ikakubalika maana ina expiring date kama matembele na soda .
Tanzania baada ya kufa kwa azimio la Arusha na Wazanzibari kuleta Azimio la Zanzibar basi nchi haina pesa ya kudumu tena.

Sh. 100 haina hata miaka 20 imechakaa na kuyeyuka kama biskuti ndani ya maji ukilinganisha na hellery ya mjerumani iliyotengenzewa miaka 100 iliyopita .

Mjerumani alikua mgeni lakini mzalendo kuliko hawa wageni tulioungana kwa maslahi ya kisiasa zaidi
 
Hakuna waziri wa fedha wa fedha, hapo wala mchumi, ukisimskiliza Mwigulu.

Ni watu tu ambao wamepitia succession planning za CCM toka wakiwa vyuoni. Wakapewa nafasi serikalini kwanza wasio na uwezo (Mwigulu kafanya kazi BoT) kabla ya kurudi kwenye siasa za CCM.

Lakini Mwigulu hana uelewa wa banking, corporate finance wala uchumi kwa kina.

Ni watu wanaopewa nafasi kupewa formuła za kuendesha mambo na wazungu na kuzifuata.

Lakini hawana technical knowledge ya post zao.

Sio Mwigulu tu, mawaziri wote ni sampuli hiyo. Ukimuuliza Mwigulu akwambie banks assets na liabilities hawezi kukujibu miaka 800 na kafanya kazi bank kuu.

Ukienda muuliza fragility ya bank economy na aina yake za asset na liability walizonazo; ashawishi njia ya kutengeneza ajira hawezi toa maelezo ya maana,

Ndio maana kwenye vikao vyao vya banking huko BoT wanatumia muda mwingi wakipewa mike utaona wanatumia muda mwingi kwa kuongea namuona mwalimu wangu Dr. Sijui nani alikuwa Mwalimu wangu and other nonsense.

Sasa kibongo-bongo ni ngumu kuelewa kwa sababu mtu anaitwa Dr. supposedly ni expert pia.

Tanzania ni nchi yenye succession planning ya hovyo mno, hiyo nchi kutoboa ni ngumu sana.

Asilimia kubwa ya mawaziri, senior politician and worst senior civil servants hawana uwezo.

Hata michango ya JF on serious topics 95% lack technical understanding ni vitu tu watu wanatoa kichwani kwao.

Someone has to tell you lots the truth, shida kubwa ni uwezo ndio maana tu maskini.
Point tupu umeandika comrade, Mwigulu hawezi kuitisha mdahalo hata na wanafunzi wa diploma II pale CBE, muda wao mwingi mawaziri wengi ni Samia kaleta mvua, sijui kaupiga mwingi hakuna point ya maana hata moja kama msomi kwenda hapo Mzumbe akafanya mdahalo na wasomi juu ya uendeshaji wa nchi kama alivyokuwa anafanya Nyerere na mawaziri wake. Kichwani hana kitu zaidi ya ushirikina tupu na wizi wa mali za umma.
 
Tanzania inaundwa na Nchi mbili.
Tanganyika na Zanzibar.

Zanzibar ni nchi
Tanzania ni nchi mbili .
Zanzibar ina Rais
Tanganyika haipo kisheria na haina rais.
Rais wa Tanzania(Tanganyika ) ni Mzanzibari .
Rais wa Zanzibar ni Mzanzibari..
Tanganyika haina wenyewe ni shamba la bibi.

Pesa inayobadilika badilika kama kinyonga haiwezi kamwe kuingia kwenye soko la nje ikakubalika maana ina expiring date kama matembele na soda .
Tanzania baada ya kufa kwa azimio la Arusha na Wazanzibari kuleta Azimio la Zanzibar basi nchi haina pesa ya kudumu tena.

Sh. 100 haina hata miaka 20 imechakaa na kuyeyuka kama biskuti ndani ya maji ukilinganisha na hellery ya mjerumani iliyotengenzewa miaka 100 iliyopita .

Mjerumani alikua mgeni lakini mzalendo kuliko hawa wageni tulioungana kwa maslahi ya kisiasa zaidi
Well said
 
Point tupu umeandika comrade, Mwigulu hawezi kuitisha mdahalo hata na wanafunzi wa diploma II pale CBE, muda wao mwingi mawaziri wengi ni Samia kaleta mvua, sijui kaupiga mwingi hakuna point ya maana hata moja kama msomi kwenda hapo Mzumbe akafanya mdahalo na wasomi juu ya uendeshaji wa nchi kama alivyokuwa anafanya Nyerere na mawaziri wake. Kichwani hana kitu zaidi ya ushirikina tupu na wizi wa mali za umma.
Huo uwezo Mwigulu hana, wala huyu Tutuba governor wa BoT.

Kilichopo serikalini kuna framework za ufanyaji kazi kutokana na nafasi wanazopewa na frameworks za wazungu. Wao ni kuchezea tu data kuwafurahisha wazungu ukiwasikiliza na ndio idea yao ya uelewa.

Sisi sio maskini kwa bahati mbaya; ukiwa wasikiliza hawa watu wanaotuongoza hawana technical knowledge ya maswala usika.

Swali la mfano; kuna uhusiano gani wa money cycle, kati ya ukuaji wa uchumi kwenye kutengeneza ajira, majukumu ya commercial banks na central banks katika kutatua changamoto za ajira; serikali iingilie vipi.

Hakuna member wa JF mwenye uwezo wa kutoa maelezo ya kitaalamu kwenye hilo swali. Ndio tulipo.

Mjomba hizo nchi za wenzetu senior civil servants uwezo wao sio wa mzaha-mzaha. nchi zilizoendelea hazipo walipo kwa kuajiri watu wanaongea technical issues kwa kubuni kutoka vichwani mwao.

Mwigulu uwezo wake na nafasi yake ni mdogo mno.
 
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!

Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari

Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!

Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Nasikia kumewekwa nembo ya singida black stars,Gsm na klabu ya yanga!
 
Kuna madhara gani kwenye hilo? Alilazimisha hilo litokee au jambo hilo limekuja kwa kuwa kulikuwa na hitaji la msingi kuchapisha noti mpya?
Hitaji gani la msingi!? Kwani noti ya 10,000 inayotumika kwasasa Ina shida gani wkt bado thamani yake ni Ile Ile!?
 
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!

Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari

Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!

Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
shida ya mtu mweusi kama wewe ni wivu na chuki tu bila sababu ya msingi
 
Wivu utakuua. Mbona karibu mawaziri wote wa fedha waliopita waliweka saini zao kwenye noti zetu na hakuna aliyelalamika?
Acha chuki we dogo, kila mtu na bahati yake
 
Trump alishasema kama wananchi wa ufaransa waliweza wafurusha viongozi wabovu madarakani nyie waafrika mnashindwa nini?
Yule anafurahia kuongeza mabus
 
Huo uwezo Mwigulu hana, wala huyu Tutuba governor wa BoT.

Kilichopo serikalini kuna framework za ufanyaji kazi kutokana na nafasi wanazopewa na frameworks za wazungu. Wao ni kuchezea tu data kuwafurahisha wazungu ukiwasikiliza na ndio idea yao ya uelewa.

Sisi sio maskini kwa bahati mbaya; ukiwa wasikiliza hawa watu wanaotuongoza hawana technical knowledge ya maswala usika.

Swali la mfano; kuna uhusiano gani wa money cycle, kati ya ukuaji wa uchumi kwenye kutengeneza ajira, majukumu ya commercial banks na central banks katika kutatua changamoto za ajira; serikali iingilie vipi.

Hakuna member wa JF mwenye uwezo wa kutoa maelezo ya kitaalamu kwenye hilo swali. Ndio tulipo.

Mjomba hizo nchi za wenzetu senior civil servants uwezo wao sio wa mzaha-mzaha. nchi zilizoendelea hazipo walipo kwa kuajiri watu wanaongea technical issues kwa kubuni kutoka vichwani mwao.

Mwigulu uwezo wake na nafasi yake ni mdogo mno.
Nafasi sisi zinapatikana kwa rushwa za kujuana, ushirikina na koo zetu na siyo uwezo wa mtu, ndiyo maana tunaongozwa na watu wa hovyo kabisa sababu hatuna akili.
 
Wivu utakuua. Mbona karibu mawaziri wote wa fedha waliopita waliweka saini zao kwenye noti zetu na hakuna aliyelalamika?
Acha chuki we dogo, kila mtu na bahati yake

Elimu, Elimu , Elimu unaweza kunipa au kupiga picha pesa yenye saini ya waziri kabla ya mwigulu????
 
Nafasi sisi zinapatikana kwa rushwa za kujuana, ushirikina na koo zetu na siyo uwezo wa mtu, ndiyo maana tunaongozwa na watu wa hovyo kabisa sababu hatuna akili.
Ni shida, supposedly; Mwigulu kasoma special school Ilboru, kaenda top university in Tanzania (UDSM). huko kasoma uchumi, ajira yake ya kwanza BoT as a research assistant, kafanya kazi za uhasibu sijui nini za maswala ya uchumi ndani ya CCM.

Politically mlezi wake wa siasa ni mlinzi wa chama, ndio wakampa jimbo. Huyu poyoyo kapitia succession planning za serikali na chama hadi kufikia hapo.

Mwigulu hayupo hapo kwa bahati mbaya na atakuwepo serikalini kwa muda mrefu, ni moja ya watu ambao serikali na chama imetumia muda wake kumtengeneza kushika nyadhifa kubwa nchini (kuna mawaziri kadhaa hawapo hapo kwa bahati) wameandaliwa.

Sasa cha kujiuliza kwa uwezo wa Mwigulu as a case study na taaluma yake, ndio wameandaa kitu gani; maana uwezo wake na maswala ya uchumi ni mdogo sana despite exposure waliyompa na mafunzo ya uongozi aliyopewa.

Tunaposema, usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili tunatokea mbali. Huwezi kutumia muda mwingi ku-train kiongozi halafu mwisho wa siku uwezo wake mdogo. Sio Mwigulu karibu wote Bashungwa and other nonsenses ndio hao hao.

Sio kila waziri yupo hapo kwa Kudra za mungu, kama robo hapo wameandaliwa kufika hapo. Ndio maana unaona kuna mawaziri vijana wapo kimya na kuna waropokaji hovyo (hasa waliofika kwa Kudra).
 
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!

Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari

Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!

Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Wivu unakutesa.
 
Ukiangalia kwa umakini ni wizi na utakatishaji pesa tu ndiyo umefanyika

Kuanzia miaka ya 1985 kati ya vitu ilivyosababisha serikali kubadili pesa ni pamoja kuwa na kuwa na fedha nyingi za wizi au utakatishaji wa pesa, Sasa kipindi linapotoka tangazo la kubadilisha pesa mafisadi na wafanyabiasha wengi pesa zilikufa mikononi mwao maana wanakiasi kikubwa Cha pesa ambacho kukitakatisha linahitaji muda kama kujenga majumba, mashamba, viwanda nk, Sasa linapotoka tangazo linakuwa halimpi muda yule fisadi ambaye fedha zake kafungia ndani kuzibadilisha,

Hapa ndipo mpaka muda wa mabadiliko ya pesa unapita mtu Bado anapesa ndani na akisema apeleke bank kiasi kikubwa Cha pesa ataulizwa chanzo Cha pesa hizo kama za kifusadi inakuwa ngumu kwa hiyo wengine zinawafia mkononi

Sasa kinachonishangaza Sasa awamu hii ubadilishaji wa pesa umetoa nafasi hata wale waliokuwa na kiwango kikubwa Cha pesa za wizi na wakashindwa kubadilishwa wamepewa nafasi wa kuzibadilisha, ndiyo maana napata ukakasi wa hili zoezi la safari hii

Labda kama nitakuwa Sina taarifa sahihi lakini kinachoenda kufanyika Sasa ni kutoa noti za zamani kwenye makaratasi mapya na labda kidogo kutakuwa na mabadiliko kwenye sahihi na picha ya rais ( hili la picha Sina uhakika nalo)

Sasa ukiangalia hivyo vigezo vya kubadilisha pesa na mabadiliko yanayofanyika ni kama tunapoteza pesa tu
 
Ni shida, supposedly; Mwigulu kasoma special school Ilboru, kaenda top university in Tanzania (UDSM). huko kasoma uchumi, ajira yake ya kwanza BoT as a research assistant, kafanya kazi za uhasibu sijui nini za maswala ya uchumi ndani ya CCM.

Politically mlezi wake wa siasa ni mlinzi wa chama, ndio wakampa jimbo. Huyu poyoyo kapitia succession planning za serikali na chama hadi kufikia hapo.

Mwigulu hayupo hapo kwa bahati mbaya na atakuwepo serikalini kwa muda mrefu, ni moja ya watu ambao serikali na chama imetumia muda wake kumtengeneza kushika nyadhifa kubwa nchini (kuna mawaziri kadhaa hawapo hapo kwa bahati) wameandaliwa.

Sasa cha kujiuliza kwa uwezo wa Mwigulu as a case study na taaluma yake, ndio wameandaa kitu gani; maana uwezo wake na maswala ya uchumi ni mdogo sana despite exposure waliyompa na mafunzo ya uongozi aliyopewa.

Tunaposema, usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili tunatokea mbali. Huwezi kutumia muda mwingi ku-train kiongozi halafu mwisho wa siku uwezo wake mdogo. Sio Mwigulu karibu wote Bashungwa and other nonsenses ndio hao hao.

Sio kila waziri yupo hapo kwa Kudra za mungu, kama robo hapo wameandaliwa kufika hapo. Ndio maana unaona kuna mawaziri vijana wapo kimya na kuna waropokaji hovyo (hasa waliofika kwa Kudra).
Mifumo ya nchi hii imeoza mkuu
 
N

Nchi karibu zote za Africa kuondoa Egypt, Morocco Libya na Tunisia may be, wana sera za makusudi kuwafanya wananchi mafukara wakubwa ili wawatawale kwa urahisi. Ufukara kwa wananchi ni nyenzo muhimu kuwasaidia kutawala bila bughudha au kero. Maskini hawezi kununua silaha, kuendesha mgomo au kudai haki anaogopa kufa njaa. Inabidi akubali kulamba viatu vya mkubwa, kusifu kuabudu ili aweze kuishi.
 
Back
Top Bottom