Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kama lilikuwepo hitaji la lazima naomba msemee, yeye alisema amefurahi kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa na saini yake kwenye noti, hakutaja hitaji ulijualo wewe.Kuna madhara gani kwenye hilo? Alilazimisha hilo litokee au jambo hilo limekuja kwa kuwa kulikuwa na hitaji la msingi kuchapisha noti mpya?
Hebu tafsiri kwa kikwenu ili nielewe swali lako, kiswahili chako kigumu.Mleta Mada hebu eleza unataka tuku saidie nini hasa!!??? Manake kama noti mpya ishalipiwa.. Unataka Nitumie cheo changu, nifa nyeje??!
Naona haujaelewa hoja ya mada, ukishafuturu isome upya uielewe kisha njoo na hoja yako.Noti za Tz siku zote zina saini ya waziri wa Fedha,
So nini cha ajabu Mwigulu akiweka saini yake humo?
Ulitaka tusichapishe noti mpya ? Wakati uchumi unakua ?
Anataka trump awelcome aboard atcl 2025Mleta Mada hebu eleza unataka tuku saidie nini hasa!!??? Manake kama noti mpya ishalipiwa.. Unataka Nitumie cheo changu, nifa nyeje??!
Madhara ni makubwa sn, gharama za kutengeneza noti mpya na note zamani kuchukuliwa na mafisadi.Kuna madhara gani kwenye hilo? Alilazimisha hilo litokee au jambo hilo limekuja kwa kuwa kulikuwa na hitaji la msingi kuchapisha noti mpya?
Majangili na mala rushwa lazima yasupport huu wiziHebu tafsiri kwa kikwenu ili nielewe swali lako, kiswahili chako kigumu.
kwamba sahihi ya waziri kwenye noti ya fedha za kiTanzania, inakusababishia ugonjwa wa moyo hivi hivi na kukuangamiza wewe mwenyewe gentleman?Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania! Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Kati ya Uzi huu na wachapisha noti bila kutoa sababu muhimu za uhitaji nani jangili!Majangili na mala rushwa lazima yasupport huu wizi
Angeeleza sababu muhimu za kuchapisha noti hizo badala ya ndoto yake ambayo si muhimu kwetu Uzi huu usingekuwepo.Kwani kuna ubaya gani kuwaambia mimi LOTH mwananchi wa kawaida tu nimefanikiwa kutimiza jambo fulani la kitaifa nikiwa kiongozi mkuu kuwa ilikuwa ni ndoto yangu tangu nikiwa mtoto? unajua sisi watoto huwa tuna ndoto za kufanya mambo makubwa tukiwa watu wazima, jambo hilo likitimia ni furaha kuu. Huenda mhehishimiwa aliwazaga ipo siku atakuwa waziri wa fedha na sahihi yake kuwekwa kwenye noti alipokuwa mtoto mdogo na ikaja kutokea
Eti msomi hata hajui kitu anaropoka TU!Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania! Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Waliochapa ndiyo wezi wanataka hela za kutoa rushwa kwenye uchaguziKati ya Uzi huu na wachapisha noti bila kutoa sababu muhimu za uhitaji nani jangili!