hiyo ya kueleza ndoto yake ni kibwagizo tu kutokana furaha aliyokuwa nayo katika maelezo yakeAngeeleza sababu muhimu za kuchapisha noti hizo badala ya ndoto yake ambayo si muhimu kwetu Uzi huu usingekuwepo.
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania! Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Point tupu umeandika comrade, Mwigulu hawezi kuitisha mdahalo hata na wanafunzi wa diploma II pale CBE, muda wao mwingi mawaziri wengi ni Samia kaleta mvua, sijui kaupiga mwingi hakuna point ya maana hata moja kama msomi kwenda hapo Mzumbe akafanya mdahalo na wasomi juu ya uendeshaji wa nchi kama alivyokuwa anafanya Nyerere na mawaziri wake. Kichwani hana kitu zaidi ya ushirikina tupu na wizi wa mali za umma.Hakuna waziri wa fedha wa fedha, hapo wala mchumi, ukisimskiliza Mwigulu.
Ni watu tu ambao wamepitia succession planning za CCM toka wakiwa vyuoni. Wakapewa nafasi serikalini kwanza wasio na uwezo (Mwigulu kafanya kazi BoT) kabla ya kurudi kwenye siasa za CCM.
Lakini Mwigulu hana uelewa wa banking, corporate finance wala uchumi kwa kina.
Ni watu wanaopewa nafasi kupewa formuła za kuendesha mambo na wazungu na kuzifuata.
Lakini hawana technical knowledge ya post zao.
Sio Mwigulu tu, mawaziri wote ni sampuli hiyo. Ukimuuliza Mwigulu akwambie banks assets na liabilities hawezi kukujibu miaka 800 na kafanya kazi bank kuu.
Ukienda muuliza fragility ya bank economy na aina yake za asset na liability walizonazo; ashawishi njia ya kutengeneza ajira hawezi toa maelezo ya maana,
Ndio maana kwenye vikao vyao vya banking huko BoT wanatumia muda mwingi wakipewa mike utaona wanatumia muda mwingi kwa kuongea namuona mwalimu wangu Dr. Sijui nani alikuwa Mwalimu wangu and other nonsense.
Sasa kibongo-bongo ni ngumu kuelewa kwa sababu mtu anaitwa Dr. supposedly ni expert pia.
Tanzania ni nchi yenye succession planning ya hovyo mno, hiyo nchi kutoboa ni ngumu sana.
Asilimia kubwa ya mawaziri, senior politician and worst senior civil servants hawana uwezo.
Hata michango ya JF on serious topics 95% lack technical understanding ni vitu tu watu wanatoa kichwani kwao.
Someone has to tell you lots the truth, shida kubwa ni uwezo ndio maana tu maskini.
Furaha gani kuweka saini kwenye noti? hapo furaha ilikuwa hizi za zamani atakavyozipigahiyo ya kueleza ndoto yake ni kibwagizo tu kutokana furaha aliyokuwa nayo katika maelezo yake
Well saidTanzania inaundwa na Nchi mbili.
Tanganyika na Zanzibar.
Zanzibar ni nchi
Tanzania ni nchi mbili .
Zanzibar ina Rais
Tanganyika haipo kisheria na haina rais.
Rais wa Tanzania(Tanganyika ) ni Mzanzibari .
Rais wa Zanzibar ni Mzanzibari..
Tanganyika haina wenyewe ni shamba la bibi.
Pesa inayobadilika badilika kama kinyonga haiwezi kamwe kuingia kwenye soko la nje ikakubalika maana ina expiring date kama matembele na soda .
Tanzania baada ya kufa kwa azimio la Arusha na Wazanzibari kuleta Azimio la Zanzibar basi nchi haina pesa ya kudumu tena.
Sh. 100 haina hata miaka 20 imechakaa na kuyeyuka kama biskuti ndani ya maji ukilinganisha na hellery ya mjerumani iliyotengenzewa miaka 100 iliyopita .
Mjerumani alikua mgeni lakini mzalendo kuliko hawa wageni tulioungana kwa maslahi ya kisiasa zaidi
Huo uwezo Mwigulu hana, wala huyu Tutuba governor wa BoT.Point tupu umeandika comrade, Mwigulu hawezi kuitisha mdahalo hata na wanafunzi wa diploma II pale CBE, muda wao mwingi mawaziri wengi ni Samia kaleta mvua, sijui kaupiga mwingi hakuna point ya maana hata moja kama msomi kwenda hapo Mzumbe akafanya mdahalo na wasomi juu ya uendeshaji wa nchi kama alivyokuwa anafanya Nyerere na mawaziri wake. Kichwani hana kitu zaidi ya ushirikina tupu na wizi wa mali za umma.
Nasikia kumewekwa nembo ya singida black stars,Gsm na klabu ya yanga!Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari
Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Hitaji gani la msingi!? Kwani noti ya 10,000 inayotumika kwasasa Ina shida gani wkt bado thamani yake ni Ile Ile!?Kuna madhara gani kwenye hilo? Alilazimisha hilo litokee au jambo hilo limekuja kwa kuwa kulikuwa na hitaji la msingi kuchapisha noti mpya?
shida ya mtu mweusi kama wewe ni wivu na chuki tu bila sababu ya msingiBaada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari
Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Wivu utakuua. Mbona karibu mawaziri wote wa fedha waliopita waliweka saini zao kwenye noti zetu na hakuna aliyelalamika?Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari
Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Nafasi sisi zinapatikana kwa rushwa za kujuana, ushirikina na koo zetu na siyo uwezo wa mtu, ndiyo maana tunaongozwa na watu wa hovyo kabisa sababu hatuna akili.Huo uwezo Mwigulu hana, wala huyu Tutuba governor wa BoT.
Kilichopo serikalini kuna framework za ufanyaji kazi kutokana na nafasi wanazopewa na frameworks za wazungu. Wao ni kuchezea tu data kuwafurahisha wazungu ukiwasikiliza na ndio idea yao ya uelewa.
Sisi sio maskini kwa bahati mbaya; ukiwa wasikiliza hawa watu wanaotuongoza hawana technical knowledge ya maswala usika.
Swali la mfano; kuna uhusiano gani wa money cycle, kati ya ukuaji wa uchumi kwenye kutengeneza ajira, majukumu ya commercial banks na central banks katika kutatua changamoto za ajira; serikali iingilie vipi.
Hakuna member wa JF mwenye uwezo wa kutoa maelezo ya kitaalamu kwenye hilo swali. Ndio tulipo.
Mjomba hizo nchi za wenzetu senior civil servants uwezo wao sio wa mzaha-mzaha. nchi zilizoendelea hazipo walipo kwa kuajiri watu wanaongea technical issues kwa kubuni kutoka vichwani mwao.
Mwigulu uwezo wake na nafasi yake ni mdogo mno.
Wivu utakuua. Mbona karibu mawaziri wote wa fedha waliopita waliweka saini zao kwenye noti zetu na hakuna aliyelalamika?
Acha chuki we dogo, kila mtu na bahati yake
Ni shida, supposedly; Mwigulu kasoma special school Ilboru, kaenda top university in Tanzania (UDSM). huko kasoma uchumi, ajira yake ya kwanza BoT as a research assistant, kafanya kazi za uhasibu sijui nini za maswala ya uchumi ndani ya CCM.Nafasi sisi zinapatikana kwa rushwa za kujuana, ushirikina na koo zetu na siyo uwezo wa mtu, ndiyo maana tunaongozwa na watu wa hovyo kabisa sababu hatuna akili.
Wivu unakutesa.Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari
Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Mifumo ya nchi hii imeoza mkuuNi shida, supposedly; Mwigulu kasoma special school Ilboru, kaenda top university in Tanzania (UDSM). huko kasoma uchumi, ajira yake ya kwanza BoT as a research assistant, kafanya kazi za uhasibu sijui nini za maswala ya uchumi ndani ya CCM.
Politically mlezi wake wa siasa ni mlinzi wa chama, ndio wakampa jimbo. Huyu poyoyo kapitia succession planning za serikali na chama hadi kufikia hapo.
Mwigulu hayupo hapo kwa bahati mbaya na atakuwepo serikalini kwa muda mrefu, ni moja ya watu ambao serikali na chama imetumia muda wake kumtengeneza kushika nyadhifa kubwa nchini (kuna mawaziri kadhaa hawapo hapo kwa bahati) wameandaliwa.
Sasa cha kujiuliza kwa uwezo wa Mwigulu as a case study na taaluma yake, ndio wameandaa kitu gani; maana uwezo wake na maswala ya uchumi ni mdogo sana despite exposure waliyompa na mafunzo ya uongozi aliyopewa.
Tunaposema, usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili tunatokea mbali. Huwezi kutumia muda mwingi ku-train kiongozi halafu mwisho wa siku uwezo wake mdogo. Sio Mwigulu karibu wote Bashungwa and other nonsenses ndio hao hao.
Sio kila waziri yupo hapo kwa Kudra za mungu, kama robo hapo wameandaliwa kufika hapo. Ndio maana unaona kuna mawaziri vijana wapo kimya na kuna waropokaji hovyo (hasa waliofika kwa Kudra).
Inamaanisha nini hii picha?
Nchi karibu zote za Africa kuondoa Egypt, Morocco Libya na Tunisia may be, wana sera za makusudi kuwafanya wananchi mafukara wakubwa ili wawatawale kwa urahisi. Ufukara kwa wananchi ni nyenzo muhimu kuwasaidia kutawala bila bughudha au kero. Maskini hawezi kununua silaha, kuendesha mgomo au kudai haki anaogopa kufa njaa. Inabidi akubali kulamba viatu vya mkubwa, kusifu kuabudu ili aweze kuishi.Ni shida, supposedly; Mwigulu kasoma special school Ilboru, kaenda top university in Tanzania (UDSM). huko kasoma uchumi, ajira yake ya kwanza BoT as a research assistant, kafanya kazi za uhasibu sijui nini za maswala ya uchumi ndani ya CCM.