Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Shida yenyewe 90% ya viongozi wetu kuanzia kwa rahisi wametoka familia hizo hizo ‘hoe hae’, sasa sijui nani anamuandaa mwenzake kumtumikisha.N
Nchi karibu zote za Africa kuondoa Egypt, Morocco Libya na Tunisia may be, wana sera za makusudi kuwafanya wananchi mafukara wakubwa ili wawatawale kwa urahisi. Ufukara kwa wananchi ni nyenzo muhimu kuwasaidia kutawala bila bughudha au kero. Maskini hawezi kununua silaha, kuendesha mgomo au kudai haki anaogopa kufa njaa. Inabidi akubali kulamba viatu vya mkubwa, kusifu kuabudu ili aweze kuishi.
Kwani ninazungumzia pesa za mkeo! The money is ours.Wivu unakutesa.
Jamii Forums imepoteza Great Thinkers, sijahoji saini ninachohoji ni "kwa wakati sahihi na si kufurahisha roho ya mtu".Wivu utakuua. Mbona karibu mawaziri wote wa fedha waliopita waliweka saini zao kwenye noti zetu na hakuna aliyelalamika?
Acha chuki we dogo, kila mtu na bahati yake
Endelea kusikia.Nasikia kumewekwa nembo ya singida black stars,Gsm na klabu ya yanga!
Vp kama hitaji hilo la msingi limekuja wakati akiwa madarakani hvy n kama bahati na ndoto yake ikakamilika hapo?Kama lilikuwepo hitaji la lazima naomba msemee, yeye alisema amefurahi kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa na saini yake kwenye noti, hakutaja hitaji ulijualo wewe.
Kwa ujinga wako unafikiri wakati sahihi ni lini?Jamii Forums imepoteza Great Thinkers, sijahoji saini ninachohoji ni "kwa wakati sahihi na si kufurahisha roho ya mtu".
Wapumbavu kama wewe ndio mnaifanya nchi isisonge mbele, kwako kila kitu ni sawa mpaka mmesababisha tuwe na wabunge wasio na chama kinyume na katiba.Kwa ujinga wako unafikiri wakati sahihi ni lini?
Samia 25-30. Mapopoma mtakoma kuringaWapumbavu kama wewe ndio mnaifanya nchi isisonge mbele, kwako kila kitu ni sawa mpaka mmesababisha tuwe na wabunge wasio na chama kinyume na katiba.
Mi nilidhani kuna noti mpya kweli, kumbe ni nakala ya fedha zile zile za zamani, tofauti yake ni sahihi tu!Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari
Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Anatembeza bakuli la omba omba kwa mlango wa nyuma, au inatafsiri upigaji?
Ana mabakuri mawili hapo maana yake bakuri kubwa la serikali na bakuri dogo la kwakeAnatembeza bakuli la omba omba kwa mlango wa nyuma, au inatafsiri upigaji?
Akili kubwa, unajua namna ya kutafsiri mambo.Ana mabakuri mawili hapo maana yake bakuri kubwa la serikali na bakuri dogo la kwake
Kwahiyo akipewa elfu 15 kumi anawapa serikali na elfu tano inabaki kwake
Wivu utakuua. Mbona karibu mawaziri wote wa fedha waliopita waliweka saini zao kwenye noti zetu na hakuna aliyelalamika?
Acha chuki we dogo, kila mtu na bahati yake
Japo simkubali Madilu System ila kwenye hili sio yeye mwenye maamuzi, ni jambo lipo kisheriaBaada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!
Soma, Pia: Hii ndio sahihi ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwenye noti mpya zilizoanza kutumika Februari
Ni vipi Tanzania tunaweza kugharamia uchapishaji wa noti mpya ili mwananchi mmoja atimize ndoto yake ya utotoni huku wananchi wote tukifurahia ndoto hiyo!
Ninamalizia kwa kumuomba Trump na Musk watusaidie kwa hili kutufafanulia kutokana na ujuzi wao kwenye uchumi, Mr. President welcome aboard flight 2025 ATCL, destination unknown.
Ni utoto mtupu, anaona ni fahari kusaini notiilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania!