Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

Pasco tafadhali Mkuu!

Hapo hakuna cha Uke wala nini? Acha wamtandike mpaka atie akili mu-kichwa! Kwani alilazimishwa na nani kuwa Supika? Kila siku akinamama wanaimba wanawake tunaweza, sasa atudhihirishie hilo kwa vitendo (ingawa ameshashindwa tayari), si ameshawezeshwa kuwa Spika kazi ni kwake!!

Hakuna kitu kibaya kama kuvaa kiatu cha mtangulizi wako halafu kikakupwaya kiasi kile yaani ni aibu! Nilimwona mzee wa standards and speed akicheki kwa pembeni mama anavyosulubiwa!! Yaani kama kuna kuombwa apewe tena awamu ijayo naamini ataitema hiyo nafasi. Wote wamepwaya vibaya.

 
Sasa bila hoja kuna raha gan ya kuangalia bunge? Bora hy rasilimal yetu itumike kwingine
 
Pasco,


Mi nadhani wabunge waendelee kumvua nguo Makinda na Ndugai ili dunia ione kwanini sisi ni masikini.

Hayo ni matusi, si wenye busara waandikayo hayo.

Umaskini aliotuwachia Nyerere utafananisha na leo?
 
Video mojawapo ya jinsi Madam Speaker na Naibu wake wanavyosulubishwa mpaka kuchanganyikiwa na huku kiongozi wa wabunge wa CCM bungeni William Lukuvi na mwanasheria mkuu wa serikali ya CCMjaji Fredrick Werema wakichanganyikiwa 'live'' :

Source: m.m. mwanakijiji wa youtube

Bunge limelazimika kusitisha shughuli zake hadi kesho....

Source: ITV TANZANIA ya youtube
 
Last edited by a moderator:
hayo ndo madhara ya kuweka mtu acyekuwa na uwezo wa kuongoza bunge,siyo siri mi huwa naona kichefuchefu hata kumwangalia huyo mother akiwa anaongoza bunge.
 
Nitarudi hapa weekend na nondo zangu. CCM wamejisahau bado wanafikiri wapo kwenye sera ya chama kimoja. ... .. . hii inatokana na ulafi na ufisadi walioukumbatia na sasa unawatokea puani.
 
yaani huyo ---- kigangwala yaaani amenipa hasila pum*** zake sijui ni ujinga au kalogwa yaani nashindwa kuelewa kama

anaakili au huwa unatumia masaburi au sijui siyo riziki yaani naona km anatabia hizo **** zake.shit!..


Tundu Lissu ameonesha madhaifu ya kiti! Worse enough Kingwangala akataka ku 'pre-empty' hoja kwa kuongea ujinga.
 


nyie hebu geuzeni macho muisome hii story mtaelewa Pasco anamaanisha nini
 
 
huenda utabiri wa mwanahalisi ukatimia... maana kuna toleo moja la mwanahalisi lilisema hatamaliza mika2 akiwa spika japo hiyo miaka naona imeisha.... ngoja tuone safari bado ni ndefu kufika 2015
 
Mabere Marando akizungumzia umuhimu wa kuchagua Spika bora mwenye kuelewa Bunge ni mhimili huru katika mfumo wa utawala wa nchi , mwenye uwezo na taaluma itakayomwezesha kuongoza Bunge vizuri bila kuegemea chama tawala kiushabiki:

Makinda na Marando wakiomba Uspika November 2010

Source: m.m mwanakijiji wa youtube


Ahadi za Spika wa Bunge baada ya uchaguzi kuwa Spika atafuata kanuni bila upendeleo hiyo ilikuwa November 2010

Spika wa Bunge mwanamama- ANNE MAKINDA

Source: Tangibovu wa youtube
 
Last edited by a moderator:
ai donti noo ! bati duu yuu thinki injastis wil pasisti foreva......? leti mii weit endi sii the guud or bad end ov zis jane.. yangu macho.
 
Kiukweli watanzania wote tunaolipenda taifa letu, tuhakikishe 2015 bungeni angalau tunapeleka wabunge 150 wa chadema. Makinda alidhulumu nafasi ya samweli sitta. Binafsi nampongeza sana lissu!
 
Video mojawapo ya jinsi Madam Speaker na Naibu wake wanavyosulubishwa mpaka kuchanganyikiwa na huku kiongozi wa wabunge wa CCM bungeni William Lukuvi na mwanasheria mkuu wa serikali ya CCMjaji Fredrick Werema wakichanganyikiwa 'live'' :

Kiwanda at work.

Unakujuwa kuchanganyikiwa au unajiongelea tu? mradi upo kiwandani?
 

Pasco!! Huruma ya nini? Hili ni Bunge, Kwani "Wanatongozana"?
 
Last edited by a moderator:
Kama Ndugai halali usiku, muda mwingi ni ku chat na shetani, his best friend!
 
Wabunge watano wa Chadema ni sawa na Wabunge 200 wa CCM kiakili na kwa-hoja
 
Ushauri wako ni mzuri lakini unawafaa watu waadilifu na wanaokerwa na uovu na umaskini wa Nchi hii lakini sio Mbunge toka CCM.

:becky::becky: haoni mwenzie Lowasa anavyo jingea heshima makanisani na kwenye mahafali kila kukicha yupo busy na jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…