Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Utoto huu kijana..nenda pm ukamuandikie haya.
 
Siku hizi unatafuta vitoto vitam unagonga unafuta namba na block juu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
alikuwa topper na mazawadi kibao plus ile sherehe inashuhudiwa na watu wengi .

Kuna managers wapo pale na mikataba watu wamachukuliwa moja kwa moja wale toppers kabisa
Ni ushamba tu wa huyo mwanamke. Angekuwa smart na inteligent asingechapwa ovyo. Sasa usismart halafu anachapwa ovyo, unatofauti gani na wadangaji?
 
Ni ushamba tu wa huyo mwanamke. Angekuwa smart na inteligent asingechapwa ovyo. Sasa usismart halafu anachapwa ovyo, unatofauti gani na wadangaji?
Hapana !!Asili ya mwanamke hata aweje ni zilezile elimu na pesa ni additional advantages ila anakuwa na madhaifu yote ya kike..

Haitaji kuwa mtu mzima sana kujielewa na kudeal na Maisha ,ila inahitaji akili za kiutu uzima ili kuishi kama mtu mzima wanawake wengi hata akiolewa au akiwa bado anatongozwa na kuhongwa anajion bado bado mdogo so hawez kutulia.

Kwa jamii ya Sasa katika ndoa au mahusiano inahitaji mwanamke aliyemaliza Tamaa za dunia kama pesa(utajiri) na mwanaume aliyemaliza Tamaa za kingono hapo itakuwa safi wote wanakuwa watu wazima wanaangalia maendeleo yao tu.
 

Wengi kukiri kuwa joan ni mzuri haiwafanyi wao kuwa ni washamba (nakubali), ila kujaribu kunilazimisha nimuone joan kama mwanamke mzuri ilihali nimekataa ni USHAMBA wa kizamani.

Kwako wewe na wenzako ni msichana mzuri kiasi cha kumpapatikia, ila kwangu ni mwanamke wa kawaida sana ikilinganishwa na wale ninaokutana nao kwenye harakati zangu za kimaisha.
 
Ukiweka mambo yako mazuri hadharani kwenye mitandao ya jamii ukapewa 'likes' uwe tayari mambo yako yakiharibika yawe hadharani na watu wa 'like' vile vile!

Wanaofurahia mazuri yako ndio hao hao wanaofurahia mabaya yako na pengine zaidi!

Kama hujaijua hii siri basi socia media hujaielewa. Ni sehemu ya kuondoa stress za aina mbali mbali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…