Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

ndo maana kafuta mapicha yotee yani hadi ya mtoto kashindwa kuvumilia kabisaa hili suala...!!
Sifurahii kilichompata namuonea huruma kinoma. Lakini mchizi naye alikua na ushamba sana. Mambo ya kumuanikaanika mwanamke wako ovyo unawapa mshawasha timu majaribio waone hasa kinachosifiwa. Na wanawake hawalazi damu ukienda round 2 akichomoa una mkosi ukaoge.
 
Ndo nani na nani hao?
 
Nafikiri tufike hatua tuanzishe mtindo mpya wa kujenga familia pasipo watu kuwekana ndani, si wanaume si wanawake wote wanaiangaika kutafuta furaha nje ya ndoa.

Sasa sijui kwa nini tunazitakq hizo ndoa
Ndoa za kiafrika zina tatizo sidhani kama wenzetu rangi nyeupe wanazo changamoto tunazopitia sisi sasa hivi ingawa nakubali matatizo watakuwa nayo.
Process ya ndoa kuanzia mahari na jinsi mwanamke anavyochukuliwa kama mke haviko sawa.
Ilikuwa sawa zamani ambapo watu hawakuwa na elimu hasa wanawake hawakusoma so walipelekeshwa tu.

Sasa hivi mtoto wa kike amesoma anatambua haki zake na elimu imempa ujasiri, hapo bado kuna 50/50, ndoa haziwezi zikawa kama zamani.

Lingine ni wanaume kuhalalisha michepuko wakitegemea wanawake wa kizazi hiki waelewe, hawataelewa hata iweje na madhara yake ndo haya na wao wanafanya kama wanaume ili kupooza mioyo yao iliyopondeka.

Tunahitaji marekebisho makubwa ikiwezekana ziwe ndoa za mikataba. Ila ndo hivyo watu wabishi kwahiyo tupambane na hali zetu.
 
Itakuwa tunalea sana watoto wa watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Media ya umbea mtu akienda kuishtaki mtamuona kama ni katili ila ndo dawa yao.

Ni kwamba sio kweli yule ni mwanae na ishu ya migogoro ni kitambo na mchizi alishastop mpango wa ndoa japo alimvisha Pete palikuwa na mawili demu alikuwa anasoma then akimaliza ndo wafunge ndoa .

Ila demu baada ya kumaliza na akawa kichwa mchunga haelewi ...Kumbuka jamaa ana project ya kukamilisha gorofa yake sio Muacheni arelax sio kesi Nikki still kichwa kinachaji na bado hata 40 hajagonga anaweza kufanya makubwa zaidi msimpe stress kumuandama mchizi.
 
Ukimpost mwanamke wako mitandaoni unakuwa na dhamira gani, unataka watu wamuone ili waje kumchukua, wakusifie au waone unamahusiano ya namna gani?!

Kama ni kumpenda unaweza mpenda mkiwa nyumbani na kwenye simu mkiwasiliana hiyo inatosha sana kuyafanya mahusiano yenu kuwa imara. Ila habari za kuhangaika kupost wanawake mitandaoni utadhani ni biashara matokeo yake unaanza kuvutia watu wenye nia mbaya waingie katika mahusiano yako na kuanza kuvuruga halafu unakuja anza lia lia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…