Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

Soka alisema akapotea, Mdude alisema akapotea, Lissu alisema akawa mhaini, Chaula alichoma moto picha aliyoichora mwenyewe alifungwa na tulikua vicent akatoka hatimae amepotea.

Wagiriki wanasema usipoongea wewe ni maiti kwakua ukiwa hai ni lazima uongee ukiwa unasikia joto au baridi au njaa ikiwa imekukamata.

Rais wetu anataka aongoze maiti?
 
Na iwe hivyo
 
Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Dhambi kaisha zipata, alimkamata wa nini na kumpa likesi la ajabu, hivi yeye akikamatwa nakupewa likesi la kusingiziwa atajisikiaje, vyeo hupita na kesho yetu anajua Mungu ,binadamu tunajisahau sana aisee
 
Soka alisema akapotea, Mdude alisema akapotea, Lissu alisema akawa mhaini, Chaula alichoma moto picha aliyoichora mwenyewe alifungwa na tulikua vicent akatoka hatimae amepotea.

Wagiriki wanasema usipoongea wewe ni maiti kwakua ukiwa hai ni lazima uongee ukiwa unasikia joto au baridi au njaa ikiwa imekukamata.

Rais wetu anataka aingoze maiti?
Kwa kweli sijui amfunge nani kengele...hali siyo
 
Dhambi kaisha zipata, alimkamata wa nini na kumpa likesi la ajabu, hivi yeye akikamatwa nakupewa likesi la kusingiziwa atajisikiaje, vyeo hupita na kesho yetu anajua Mungu ,binadamu tunajisahau sana aisee
Na ndiyo maana nimesema asijitafutie dhambi za nyongeza maana tayari anazo mkuu
 
Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Maskini Lissu anateseka bure tu.
 
Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
uropokaji wake wa kilofa umsaidie kua free gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom