- Thread starter
- #21
Ngoja mnyoshane mkuuzingatia maelezo bila mihemko wala kuweweseka gentleman š
Ngoja mnyoshane mkuuzingatia maelezo bila mihemko wala kuweweseka gentleman š
Alianza vizuri kweli,Mara ghafla akawa na jeuri kiburiAliingia madarakani katika kipindi kigumu sana, lakini ukweli ambao hauwezi kufichwa ni kwamba aliingia madarakani na mtaji mkubwa sana, wananchi wengi sana walimfurahia na kutamani kuona atafanya nini.
Mwanzoni alionekana kama anataka kurekebisha maovu yaliyofanyika hapo nyuma lakini ghafla alibadilika na kuwa mtu mwingine kabisa. Ni kama washauri wake wasiomtakia mema walimwambia aache wema.
Alikuwa na uwezo wa kufanya mambo ambayo leo hii watu wangemlilia na kumlazimisha achukue fomu na agombee tena. Lakini ndio hivyo tena, leo hii sijui kama ukiacha familia yake na wanufaika wachache na chawa, sidhani kama kuna mtu mwingine anayemtaka.
Wewe ujiandae kuamia Burundi ,mda mwalimu asema ,Bwanazingatia maelezo bila mihemko wala kuweweseka gentleman š
Nenda mwambie hakimuWabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
ramli na ushirikiana wako peleka huko kwa washirikina wenzio gentleman, not me šWewe ujiandae kuamia Burundi ,mda mwalimu asema ,Bwana
Aisee, changamoto sanaKwa sasa Nyumba haina Mwenyewe!-by Polepole.
Nchi hii watu hawajawahi kuimwagia damu na ndio maana hatuendelei. Katika nchi zenye maendeleo kuna mapambano ambayo damu zilimwajika. Kuanzia Marekani, Uingereza mpaka Ujerumani. Na historia tunazofundishwa za afrika zinatufanya tuwe wapole. Lakini kama tungesoma historia za first world countries tungejifunza mengi sana.Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Hapana.Tunataka tujifunze jinsi uhaini unavyotendeka na uendeshaji wa kesi hizo.Kumuachia bila hukumu ni ubabaishaji.Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Acha kesi iendelee hadi mwisho na haki itendekeWabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Daah!Acha kesi iendelee hadi mwisho na haki itendeke
Inaumiza sanaHapana.Tunataka tujifunze jinsi uhaini unavyotendeka na uendeshaji wa kesi hizo.Kumuachia bila hukumu ni ubabaishaji.
Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Lazima wachache waumie kwa maslahi mapana ya wengi.Inaumiza sana
Muache usimshtue muda ushaishaWabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.