Kwa kweliSikio la kufa
Bora aiseeAtaachiwa soon..
Na iwe hivyoIle Drama imeisha. Kuachiliwa hivi karibuni
Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu. Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili...www.jamiiforums.com
Yupo katika kipindi kigumu sanaIkumbuke simulizi yake ya chura kiziwi, hakutambua kuwa maneno yanayotamkwa na mtu hadharani huumba "personality" yake yeye mwenyewe.
Dhambi kaisha zipata, alimkamata wa nini na kumpa likesi la ajabu, hivi yeye akikamatwa nakupewa likesi la kusingiziwa atajisikiaje, vyeo hupita na kesho yetu anajua Mungu ,binadamu tunajisahau sana aiseeWabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Kwa kweli sijui amfunge nani kengele...hali siyoSoka alisema akapotea, Mdude alisema akapotea, Lissu alisema akawa mhaini, Chaula alichoma moto picha aliyoichora mwenyewe alifungwa na tulikua vicent akatoka hatimae amepotea.
Wagiriki wanasema usipoongea wewe ni maiti kwakua ukiwa hai ni lazima uongee ukiwa unasikia joto au baridi au njaa ikiwa imekukamata.
Rais wetu anataka aingoze maiti?
Na ndiyo maana nimesema asijitafutie dhambi za nyongeza maana tayari anazo mkuuDhambi kaisha zipata, alimkamata wa nini na kumpa likesi la ajabu, hivi yeye akikamatwa nakupewa likesi la kusingiziwa atajisikiaje, vyeo hupita na kesho yetu anajua Mungu ,binadamu tunajisahau sana aisee
Moto anao aiseeMalipo ni hapa hapa duniani.
Maskini Lissu anateseka bure tu.Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
uropokaji wake wa kilofa umsaidie kua free gentleman πWabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Na nyie hamropoki,mbona mnashindwana sasauropokaji wake wa kilofa umsaidie kua free gentleman π
Yaan bure tu,maadui ni wao kwa waoMaskini Lissu anateseka bure tu.
zingatia maelezo bila mihemko wala kuweweseka gentleman πNa nyie hamropoki,mbona mnashindwana sasa