Lissu hakujiandaa na mapinduzi kufeli. Alidhani atajiegesha tu gerezani na kutoka baadae baada ya mapinduzi kukamilika. Hii ya mahakamani imewachanganya sana. Anaweza kushinda/kuachiwa kwenye hii na kukamatwa tena kwa ushahidi kabambe wa matukio ya oct29.wewe utakua wakili wa serikali
Je,huo ni uhaini?Umemsikia shahidi Mnyika alivyovorunda mahakamani? Anaulizwa kama yuko raia ambae anaweza kuzuia uchaguzi wa kikatiba usifanyike, akajibu hakuna, isipokuwa kama uchaguzi huo sio huru na haki. Hebu angalia hapa, ni nani anapaswa kutamka kuwa uchaguzi sio huru na wahaki wakati hawakupeleka shauri lao mahakamani kuupinga uchaguzi huo ambao haukuwa huru na wa haki kwao? Je, namna uchaguzi ulivyofanyika ulivunja kifungu chochote cha Katiba ya 1977 au sheria nyingine? Je, chadema walikuwa na mamlaka ya kutangaza uchaguzi sio huru na haki? na Je, walikuwa na uhalali wa kushawishi watanzania wasusie uchaguzi wa kikatiba? Na je, walikuwa wanatambua matokeo ya kuuzuia uchaguzi usifanyike? Je, ni nchi gani chama na raia walishawahi kuzuia uchaguzi usifanyike kwa njia za kidemokrasia?
hiyo kitu hata mimi naona itakua hivyo ( kwenye bold)Lissu hakujiandaa na mapinduzi kufeli. Alidhani atajiegesha tu gerezani na kutoka baadae baada ya mapinduzi kukamilika. Hii ya mahakamani imewachanganya sana. Anaweza kushinda/kuachiwa kwenye hii na kukamatwa tena kwa ushahidi kabambe wa matukio ya oct29.
Binafsi yangu ni heri waombe maridhiano ya nje ya mahakama ili jamaa yetu akapunzike nyumbani kwake.
Usifikirie kirahisi namna hii katika jambo hili walikufa watu wengi sana na uharibifu wa mali mkubwa sana unaotugharimu hata sasa kurejesha miundombinu ile. Kaka yule alimaanisha kuipindua serikali, sio utani hata kidogo. Alipokuwa anasema watakwenda kuuzuia uchaguzi na kukinukisha vibaya sana hakuwa anatania na kusema mzaha.Je,huo ni uhaini?
Ni kundi la wadau wa aina mbalimbali, lakini mwamba ndiye analipa deni lote kwa sasa. Ndiyo maana hawapendi tume za uchunguzi wa tukio na matokeo ya tume mwanzo mwisho kwa kuweka mapingamizihiyo kitu hata mimi naona itakua hivyo ( kwenye bold)
Ni kesi muhimu sana kwa mustakabali wa Taifa. Majaji wawe fair sana kwaajili ya maslahi ya Taifa leo na siku zijazo. Loopholes za kisheria zitaliangamiza taifa huko mbeleni maana awamu za uongozi zitakuja nyingine na wachomaji wa mali za umma na wanaotamani mapinduzi wapo kwenye kila awamu na pengine wanazidi kuongezeka kwa ufadhili wa mataifa ya nje.Ni kesi ya uhaini au ni kesi ya uchaguzi na vurugu zake ?
Means anawashughulikia kupitia Mahakama ?Ni kesi muhimu sana kwa mustakabali wa Taifa. Majaji wawe fair sana kwaajili ya maslahi ya Taifa leo na siku zijazo. Loopholes za kisheria zitaliangamiza taifa huko mbeleni maana awamu za uongozi zitakuja nyingine na wachomaji wa mali za umma na wanaotamani mapinduzi wapo kwenye kila awamu na pengine wanazidi kuongezeka kwa ufadhili wa mataifa ya nje.
Hatukuwepo lakini tunasikia habari za akina Oscar na BIBI TITI, Rugakingila, G55, Masheikh, Sheikh Issa Ponda, Maharamia wa Kibiti na sasa kundi hili la watu kabambe ambalo limekutana na Rais mstaarabu ambae ameamua kutumia njia ya mahakama kwa mara ya kwanza kukabiliana na watu wa aina hiyo. Hivyo, ni jukumu la mahakama kuonyesha kuwa njia hii ndiyo bora na sahihi kuliko zile zilizokuwa zikitumiwa na awamu zilizopita (presidency)
Yeye anaheshimu UTU, hivyo natural justice ndiyo UTU wenyewe. Taifa linabahatika kusikiliza utetezi wake akipambana kutafuta loopholes zimsaidie kujitenga na tukio ambalo hata watoto wa shule wanajua kuwa anahusika nalo kwakuwa alitangaza mwenyewe hadharani kuwa atakwenda kulifanya na akafanya kweli kama alivyotangaza. Sasa uonevu uko wapi hapo?Means anawashughulikia kupitia Mahakama ?
Now he's too late.Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.
Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na kimataifa kwa kiasi cha kupewa tuzo basi lazima akili pia kuwa maneno aliyosema kwenye hotuba yake ya no reforms no election, tutazuia uchaguzi , tutaasi na tutakinukisha vibaya sana Oct29 yaliwashawishi watu kufanya vurugu October 29 na baada ya Oct29 kwakuwa yalitolewa na mtu anaeheshimika sana ndani na nje ya nchi.
Watu wanaoheshimika sana kwenye jamii ni watu ambao hawapuuzwi kwenye kila kitu. Watu watamtii na watamuiga hata kuvaa, kusema, kutembea, kula na kunywa. Wataheshimu na kutekeleza bila kusita kile wanachoagizwa na kusemwa na mtu wanaemheshimu.
Sifa hii ya kuheshimika aliyojipa kwenye utetezi wake inaweza kumtia matatani kwenye kuwashawishi wale wanaomtii, mheshimu na muamini kufanya vurugu zile zilizotokea siku ile. Na kama uchaguzi wa Kikatiba ukivurugwa maana yake umevunja Katiba, umehujumu fedha zote zilizotumika kuandaa uchaguzi, ingesababisha viongozi walioko madarakani kuendelea kubaki madarakani kinyume na katiba au nchi ingebaki bila na Rais, wabunge na madiwani halali kwa mujibu wa katiba.
Ningekuwa mimi ningesema kuwa mimi ni raia tu wa kawaida kwenye jamii nisieweza kumshawishi mtu yeyoyote kufanya kama walichofanya.
wapinzani wamezoea kujiropokea chochote sasa wanatakiwa wathibitishe mahakamaniMeans anawashughulikia kupitia Mahakama ?