Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

Uchaguzi ulitarajiwa kufanyika October 29, nyingi mlimkamata April..gap ya April to October ni kubwa sana, huo uhaini angeufanyaje peke yake huko gerezani??. Mm sioni hoja msingi hapo
 
Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.

Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na kimataifa kwa kiasi cha kupewa tuzo basi lazima akili pia kuwa maneno aliyosema kwenye hotuba yake ya no reforms no election, tutazuia uchaguzi , tutaasi na tutakinukisha vibaya sana Oct29 yaliwashawishi watu kufanya vurugu October 29 na baada ya Oct29 kwakuwa yalitolewa na mtu anaeheshimika sana ndani na nje ya nchi.

Watu wanaoheshimika sana kwenye jamii ni watu ambao hawapuuzwi kwenye kila kitu. Watu watamtii na watamuiga hata kuvaa, kusema, kutembea, kula na kunywa. Wataheshimu na kutekeleza bila kusita kile wanachoagizwa na kusemwa na mtu wanaemheshimu.

Sifa hii ya kuheshimika aliyojipa kwenye utetezi wake inaweza kumtia matatani kwenye kuwashawishi wale wanaomtii, mheshimu na muamini kufanya vurugu zile zilizotokea siku ile. Na kama uchaguzi wa Kikatiba ukivurugwa maana yake umevunja Katiba, umehujumu fedha zote zilizotumika kuandaa uchaguzi, ingesababisha viongozi walioko madarakani kuendelea kubaki madarakani kinyume na katiba au nchi ingebaki bila na Rais, wabunge na madiwani halali kwa mujibu wa katiba.

Ningekuwa mimi ningesema kuwa mimi ni raia tu wa kawaida kwenye jamii nisieweza kumshawishi mtu yeyoyote kufanya kama walichofanya.
Kuna Yule alishawishi Askari waue watu naye anaheshimika ndo maana wakatii na wakaua watu.
 
Alisema April wakatekeleza October. Kwani wosia unatekelezwa lini?
 
Kuna Yule alishawishi Askari waue watu naye anaheshimika ndo maana wakatii na wakaua watu.
Kila anaeheshimika kwenye jamii lazima audhibiti sana ulimi wake. Kauli yake ni sheria kwa watu wake.

Hebu ona, Lissu anaheshimika ndani na nje ya mipaka, alitamka kuwa kila mwanachama anaetaka kugombea asahau na kweli wakasahau kama alivyozema kabla ya kukamatwa. Pamoja kwamba Lissu alikuwa ndani lakini chadema haikushiriki uchaguzi
 
Mfano kwa mazingira yaliyopo hivi sasa ukalazimisha kwenda kwenye uchaguzi 2030 kwa katiba hii hii na sheria za uchaguzi hizi hizi halafu yakatokea yaliyotokea uchaguzi uliopita bado utamlaumu Lissu?

Jaribuni kuruhusu watu watoe madukuduku yao kwa uwazi bila kuwabughudi uone watakavyofunguka wala hawashikiwi akili na mtu yeyote bali wananchi wengi kwasasa wameshajitambua sana.

Binafsi ni mtu huru sijihusishi na chama chochote lakini huku mitaani tunapoishi watu wamechoshwa na maigizo ya chaguzi zetu wanataka uwanja uwe sawa ushindani uwe fair ili wakishinda chama tawala ama wapinzani basi waridhike.
Kama waandamamaji siku ile wangeandamana tu nchi nzima bila kuchoma masanduku ya kura, barabara, sheli na vituo vya polisi hakuna kifo hata kimoja kingetokea. Hata mm nisingekuwa naandika mada kama hizi humu, kwasababu kuandamana ni haki ya kila raia kutoa dukuduku lake. Kama kweli wewe unadhani unapendwa na watu wote nchi nzima waambie waandamane nchi nzima kuanzia kwenye kaya, vitongoji, vijiji, kata, tarafa, wilaya, mikoa mpaka kwenye majiji makuu uone kama kuna askari anaeweza kuzuia maandamano ya aina hiyo. Hiyo ndiyoinayoitwa nguvu ya umma. lakini sio ukusanye wahuni wavuta bange wachache mali zetu halafu uyaite hayo maandamano ya wananchi; watauliwa tu na wewe utakiona cha mtemakuni.
 
Soma threads zangu kuhusu Lissu kabla ya No reforms no election na kususia kutia saini kanuni za uchaguzi. Mimi simchukii mtanzania mwenzangu kwakuwa nimeshavuka huko. Hata sasa simchukii ila namchukia mtu yeyote anaetumia jinsia ya Rais Samia kumdharau na kumchukia bila sababu.

Kwa mahaba ya Samia kwa Lissu hakustahili kusumbuliwa na Lissu kama hivi anavyomsumbua na kumbeza.

Hata wewe mheshimiwa utakuwa hutendi haki kama utamfurahia mtu yeyote ambae anadai haki kwa kutuharibia miundombinu yetu inayotudumia ambayo iliyotugharimu sisi wote kuijenga
Tundu Lissu ameharibuje miundombinu yenu? Anamchukiaje Samia?
 
Kanuse kisididi Cha mama Yako .....
 
Nilijua ni kavulata kumbe ni kavulana. Ndo maana hoja yako ni dhaifu na mfu.
HAya ni maoni yangu tu na wewe unaweza kutoa yako ili kupinga maoni yangu kwa hoja.

Lissu kabla hajakamatwa alisema mambo 3 muhimu:
1. Aliwaambia hakuna kutia saini kanuni za uchaguzi na kweli wakamtii hawakusaini.
2. Aliwaambia hakuna kushiriki uchaguzi katika ngazi zote. Wakatii Ingawa yeye alikuwa ndani amekamatwa lakini hawakushiriki kwenye uchaguzi katika ngazi zote
3. Aliwaambia tutakinukisha, tutazuia uchaguzi, tutaasi kama njia ya kupata mabadiliko haraka. Wakamtii kwa mara nyingine, wakakinukisha vibaya sana kama vile alivyoagiza. Lakini kwenye hili tu Lissu anaiambia mahakama hawakunitii maana nilikuwa niko ndani.

Yaani yoote wametii kasoro hili tu?
 
Mliua harafu mnatafuta upenyo? Nchimbi alishapeleka ushahidi wa mauaji yenu na makaburi ya haraiki kashayaonesha yalipo, kwa ushauri nendeni mkafukue tena mpeleke sehemu nyingine msipoteze muda kuomba huruma
Sasa kama mnapafahamu si Heche aongoze msafara wa kwenda kuyafukua? Msisahau kwenda na BBC, CNN, DW, Al-Jazeela, Jambo TV waripoti live kitoka kwenye makaburi hayo.
 
Soma threads zangu kuhusu Lissu kabla ya No reforms no election na kususia kutia saini kanuni za uchaguzi. Mimi simchukii mtanzania mwenzangu kwakuwa nimeshavuka huko. Hata sasa simchukii ila namchukia mtu yeyote anaetumia jinsia ya Rais Samia kumdharau na kumchukia bila sababu.

Kwa mahaba ya Samia kwa Lissu hakustahili kusumbuliwa na Lissu kama hivi anavyomsumbua na kumbeza.

Hata wewe mheshimiwa utakuwa hutendi haki kama utamfurahia mtu yeyote ambae anadai haki kwa kutuharibia miundombinu yetu inayotudumia ambayo iliyotugharimu sisi wote kuijenga
Tuamini kuwa wewe ni sehemu ya hao mashetani, au umekosa akili ile ya kawaida ga kuweza kufanya tafakari?
Ni nani anayemchukia Samia kwa sababu ni mwanamke?
Mbona alipoanza watu wengi walimpwnda na kumwunga mkono, unaamini wakati huo alikuwa na jinsia tofauti na ya sasa?
Mtu anateka watu, anaua watu, anajipachika madarakani kwa kuua wananchi, bado ulitaka watu wamshangilie kwa sababu ni mwanamke! Hutakuwa mzima wewe!
 
Zitaje hizo sehem
Umesema majaji wote ni maCCM, ndiyo nimesema. Lete ushahidi: Sina, khaaa!

Umesema huna imani na mahakama: Ndiyo, lakini kwenye maswala ya uchaguzi tu!! Khaaa!!

Umesema kuna vipengele vya sheria ya Tume ya uchaguzi umeona havifai; Ndiyo. Mbona huvipeleka mahakamani kuvipinga? Holaa!
 
Alipoanza lini? Watu walimkataa tangu siku JPM amefariki; hawakutaka awe Rais, sasa hapo Samia kafanya nini kibaya? Kuna watu hawakupenda agombee 2025, hapo napo kakosea nini?

Katiba ya tangu 1977 kwanini Samia ndiye aiandike upya kwa nguvu na lazima? Tuliiandika watanganyika wenyewe wacha tuiandikwe upya watanganyika wenyewe pia, tumuache Mzanzibar wa watu amalize muda wake asepe.

Kwanini nguvu nyingi za Rais kikatiba zinahojiwa wakati marais wakiwa ni waislamu tu?
 
Sasa kama mnapafahamu si Heche aongoze msafara wa kwenda kuyafukua? Msisahau kwenda na BBC, CNN, DW, Al-Jazeela, Jambo TV waripoti live kitoka kwenye makaburi hayo.
Kuna unachoelewa basi wewe upo ili mradi unapumua! matumizi mabaya ya oksijeni
 
Umesema majaji wote ni maCCM, ndiyo nimesema. Lete ushahidi: Sina, khaaa!

Umesema huna imani na mahakama: Ndiyo, lakini kwenye maswala ya uchaguzi tu!! Khaaa!!

Umesema kuna vipengele vya sheria ya Tume ya uchaguzi umeona havifai; Ndiyo. Mbona huvipeleka mahakamani kuvipinga? Holaa!
Ndio sehemu ulizothibisha hizo?
 
Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.

Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na kimataifa kwa kiasi cha kupewa tuzo basi lazima akili pia kuwa maneno aliyosema kwenye hotuba yake ya no reforms no election, tutazuia uchaguzi , tutaasi na tutakinukisha vibaya sana Oct29 yaliwashawishi watu kufanya vurugu October 29 na baada ya Oct29 kwakuwa yalitolewa na mtu anaeheshimika sana ndani na nje ya nchi.

Watu wanaoheshimika sana kwenye jamii ni watu ambao hawapuuzwi kwenye kila kitu. Watu watamtii na watamuiga hata kuvaa, kusema, kutembea, kula na kunywa. Wataheshimu na kutekeleza bila kusita kile wanachoagizwa na kusemwa na mtu wanaemheshimu.

Sifa hii ya kuheshimika aliyojipa kwenye utetezi wake inaweza kumtia matatani kwenye kuwashawishi wale wanaomtii, mheshimu na muamini kufanya vurugu zile zilizotokea siku ile. Na kama uchaguzi wa Kikatiba ukivurugwa maana yake umevunja Katiba, umehujumu fedha zote zilizotumika kuandaa uchaguzi, ingesababisha viongozi walioko madarakani kuendelea kubaki madarakani kinyume na katiba au nchi ingebaki bila na Rais, wabunge na madiwani halali kwa mujibu wa katiba.

Ningekuwa mimi ningesema kuwa mimi ni raia tu wa kawaida kwenye jamii nisieweza kumshawishi mtu yeyoyote kufanya kama walichofanya.
Wewe sitakuuzia akili bali nitkugawia bure,nitafute chap chap nikupatie akili.
 
Back
Top Bottom