Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Ndio wasomi watz hao yani yeye akili yote ni kuajiliwa tu?
 
Umri wa miaka 25 sidhan kama kaa home muda mrefu baada ya kumaliza chuo. Hata miaka 3 hajafikisha
 
UDSM nani aliwaambia mkimaliza chuo tu hapohapo ajira? Mmejengewa mentality mbaya sana kuliko wale wa vyuo vingine
 
Jamaa amezingua sana aisee, sitaki kuamini ukoo wao mzima pia hakukua na wa kumsaidia nauli aende huko dar jiwe alipotuambia vijana tukaombe kazi
Siyo kila mtu ana ukoo muwage na akili sometimes wengine wanazaliwa na hovyoo to hawajui mama yuko wapi wala baba ni nani
 
Humu ndani kwa kufuata upepo,mnamlaumu kajiua,mlitaka aishi ale mawe?? You have never been in his shoes and understand his struggle,,,,,,,badala ya kuchangia tufanye nini Vifo km hivi visitokee mko tu this ,that...Nani asiyejua unemployment na unmet expectations zinavyoweza kusababisha depression ambapo suicidal thoughts ni common,,,tuichagize serikali i invest kwenye mental health wellbeing facilities and add self employment skills kwenye course zinazotolewa shuleni,currently watu wamejaza matheories tu ,,,nilisema hapa course ambazo mtu anaweza kujiajiri fees iwe kidogo,watu watakua wengi watakaosoma hizi courses , I bet kila mtu akijiajiri na kuajiri mwingine mmoja au wawili uchumi wetu utapanda,this is how you invest in people na sio kununua mandege tuonekane kwa nje tumeanza kujenga ma flyover wakati people are worse off
 
Waweza kumuita hivyo ukipenda, lakini ugumu huu wa maisha alioupata kama yatima (kulingana na maelezo) angeweza kutafuta riziki kwa kuwa jambazi na siku moja akasimamisha gari la mumeo au baba yako na katika purukushani za kumpora akauwawa. Sidhani kama ungemuita mpuuzi kwa dharau hivyo badala ya majina mengine. Tumesema Ukosefu wa ajira ni bomu linalo subiri kulipuka tuu
KUMBE NI TANZANIA PEKEE NDIPO HAKUNA AJIRA LAKINI NCHI ZOTE DUNIANI KUNA AJIRA?

WANIGERIA,

WARWANDA,

WAZAMBIA,

WAAUMBIJI,

WAMALAWI,

WAKENYA WANAFANYA NINI HAPA TZ KAMA KATIKA NCHI ZAO KUNA AJIRA?

MAREHEMU HAKUWA NA PLANI "B" NA MAISHA HAYATAKAGI KABISA KUKARIRI, NDIYOMAANA HATA MFANYAKAZI HUJISHUGHULISHA NA VYANZO VINGINE VYA KUONGEZA MAPATO AKIJUA KUFUKUZWA NI SEHEMU YA KAZI.
 
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
NOT TRUE! alichokifanya ni kujichoma moto kwa sababu ya polisi lakini hasa kupigwa kofi na polisi wa kike. Sisitiza hilo, polisi wa kike. Kumbuka tabia ya waarabu juu wanawake.
 
inauma sana aisee ,kusema ukweli elimu yetu haimwezishi mhitimu kujiajili maana kila anayesoma anategemea kuajiliwa serikalin sasa anapo kutana na hali tofauti lazima msomi huyu achizike,,hata wengine humu tunatoa majibu ya kejeri huenda kazi tulizonazo tulisaidiwa na wazaz wetu kwa vile walikuwa kwenye system
 
Back
Top Bottom