Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Kuna mdogo wangu mmoja nae alipitia kipindi kigumu sana cha kutokua na ajira, na pia yeye alikua pia na tatizo la kiafya ambalo lilikua linsumbua sana. Siku moja nimempigia naongea nae, analia machozi anasema yeye anataka kujiua.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Police wamesomba waliokuwa wanapiga picha.
Habari kamili inakuja. Picha zimekataa kuupload. Ila nimeattach kwenye comment no 6 na 7.
Nikapanga kesho kutwa nae nikaonana nae; Siku ya kwanza nikampitisha pale Ocean road hospital, tukazunguka mawodini, sikuongea neno lolote bali nilimwambia kuna jamaa yangu kalazwa hapo namtafuta, ila sijui yupo wodi gani. Hali za wagonjwa aliokutana nao mule ndani, alibaki mdomo wazi. Tukatoka pale, nikamwambia twende muhimbili, inaonekana jamaa wamemuhamishia muhimbili... Nikapita nae mule pia kama wodi mbili hivi... Halafu kutoka pale nikaagana nae, kila mtu akarudi kwake.
Kesho yake akanitumia meseji akaniambia kaka nimekuelewa sana, upuuzi wa kufikiria kujiua siwezi kufanya tena, nitapambana so long as ninaishi na nina uwezo wa kutafuta.
Anyways, aende kwa amani.