Huyo Mhubiri hamuogopi Hangaya??? Maana Hangaya alikataza viongozi wa dini kuongelea siasa.Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.
No bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.
Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇
![]()
Watanzania tusali sana: Kukamatwa na Kushtakiwa Tundu Lissu Kuelekea Pasaka ni tukio lingine lenye Unabii Mzito kwa Tanzania
Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya Uongo na Kutunga ya Uhaini pamoja na Uchochezi. Tundu Lissu ameshtakiwa kutenda makosa haya na...www.jamiiforums.com
Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.
Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.
Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.
Mtumishi huyu ya Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.
Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.
Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.
Muwe na usiku mwema
View attachment 3303384
Napenda sana mentality hii ya chadema sababu inarahisisha kazi.......inakuwa nuepesiiiiii. Wakati mnatafuta sifa kama hizi za kijinga humu (dini), Kuna watu wako serious nazo kweli kweli. Nchi hii hakuna atakayefanikiwa abadan kwa kulitenga na kulibagua kundi flani la kidini. Tujifunze hilo kutoka kwa Nyerere.Tundu Lissu anatajwa sana kama Mjumbe wa Mungu. Yule mama ni Mjumbe wa Waarabu wa Dubai
Kadiri mnavyomtaja kinafiki Mungu, ndivyo anavyozidi kuwapiga laana. Yaani Tundu lissu aliyejaa hila kibao ndani ya moyo wake umuhusoshe na Mungu?!!!! Aisee tuwe serious basi wakuu. Kufeli kwingine tunajitakia.Mtumishi huyu ya Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.
Dah kwa hiyo Tundu n nabiiUkisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.
No bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.
Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇
![]()
Watanzania tusali sana: Kukamatwa na Kushtakiwa Tundu Lissu Kuelekea Pasaka ni tukio lingine lenye Unabii Mzito kwa Tanzania
Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya Uongo na Kutunga ya Uhaini pamoja na Uchochezi. Tundu Lissu ameshtakiwa kutenda makosa haya na...www.jamiiforums.com
Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.
Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.
Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.
Mtumishi huyu ya Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.
Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.
Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.
Muwe na usiku mwema
View attachment 3303384
Nabii yupi amehubiri fujo? Fujo gani?Nabii anaye hubiri fujo
Nabii Mussa hakumuogopa Pharao, Nabii Eliya hakumuogopa Mfalme Ahab. Yesu pia hakuwaogopa Mfalme Herode na Pilato.Huyo Mhubiri hamuogopi Hangaya??? Maana Hangaya alikataza viongozi wa dini kuongelea siasa.
Kweli kabisa. Kwa watu wa kiroho Tundu Lissu ana viashiria vyote kuwa mtu wa kiroho na mjumbe wa Mungu kweli.Tundu Lissu anatajwa sana kama Mjumbe wa Mungu. Yule mama ni Mjumbe wa Waarabu wa Dubai
Nani kalibagua kundi gani? Kwani Sheikh Ponda anayemuonya Samia na Utawala wake kila siku ni Mkristo?Napenda sana mentality hii ya chadema sababu inarahisisha kazi.......inakuwa nuepesiiiiii. Wakati mnatafuta sifa kama hizi za kijinga humu (dini), Kuna watu wako serious nazo kweli kweli. Nchi hii hakuna atakayefanikiwa abadan kwa kulitenga na kulibagua kundi flani la kidini. Tujifunze hilo kutoka kwa Nyerere.
Labda ungerejea, vizuri kabisa, comment ya niliyemquote pamoja na comments nyiiingi tu za watu wa upande wako (nyumbu) Ili ujionee ukweli wa ninayoyasema. Ukweli ni kuwa Kuna udhalilishaji flani mkubwa tu wa viongozi wa dini ya Kiislamu katika comments zao. Ikitokea wameshambulia viongozi tofauti na WA dini ya Kiislamu, unaona kabisa heshima katika mashambuliai yao. Lina itikadi hilo lichama Kwakweli, halitufai Watanzania.Nani kalibagua kundi gani? Kwani Sheikh Ponda anayemuonya Samia na Utawala wake kila siku ni Mkristo?
Umewahi ona wapi Sheikh Ponda kadhalilishwa na wapenda Demokrasia? Au na Watetezi wa HakiLabda ungerejea, vizuri kabisa, comment ya niliyemquote pamoja na comments nyiiingi tu za watu wa upande wako (nyumbu) Ili ujionee ukweli wa ninayoyasema. Ukweli ni kuwa Kuna udhalilishaji flani mkubwa tu wa viongozi wa dini ya Kiislamu katika comments zao. Ikitokea wameshambulia viongozi tofauti na WA dini ya Kiislamu, unaona kabisa heshima katika mashambuliai yao. Lina itikadi hilo lichama Kwakweli, halitufai Watanzania.
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.
Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.
Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇
![]()
Watanzania tusali sana: Kukamatwa na Kushtakiwa Tundu Lissu Kuelekea Pasaka ni tukio lingine lenye Unabii Mzito kwa Tanzania
Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya Uongo na Kutunga ya Uhaini pamoja na Uchochezi. Tundu Lissu ameshtakiwa kutenda makosa haya na...www.jamiiforums.com
Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.
Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.
Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.
Mtumishi huyu wa Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.
Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.
Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.
Muwe na usiku mwema
View attachment 3303384
Ngoja akina Tlaatlaah waje kupinga. Lakini umewasilisha vema. Sijui ni kwa nini huko ccm hawapendi uchauguzi huu wa 2025 uwe huru, wa haki- free, fair and credible. Dhulumati hawezi fua dafu kila siku ya Mungu, 40 zake zinakuja tena mbio sana
Kama ilishakombolewa wapo wapi Ben Saanane, Mzee Kibao, Aphonce Mawazo, Deus Soka, Kipanya, Amani Manengelo?Tanzania ilisha kombolewa na Mwalimu Nyerere
Hawa nzi WA kijani hatari sanaMbeba maono hafi
Kwa Neema na Baraka za Mungu, kwasabb ya udhaifu wa kimwili na kiroho, kiburi na kukosa hekima, Tundu Lisu hawezi kua na mamlaka katika serikali za wanadamu ulimwenguni, ispokua ataendelea kua kiongozi wa genge la waropokaji, vibaya na matapeli wa kisiasa tu wenye kibali cha shetani.Ngoja akina Tlaatlaah waje kupinga. Lakini umewasilisha vema. Sijui ni kwa nini huko ccm hawapendi uchauguzi huu wa 2025 uwe huru, wa haki- free, fair and credible. Dhulumati hawezi fua dafu kila siku ya Mungu, 40 zake zinakuja tena mbio sana.
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.
Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.
Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇
![]()
Watanzania tusali sana: Kukamatwa na Kushtakiwa Tundu Lissu Kuelekea Pasaka ni tukio lingine lenye Unabii Mzito kwa Tanzania
Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya Uongo na Kutunga ya Uhaini pamoja na Uchochezi. Tundu Lissu ameshtakiwa kutenda makosa haya na...www.jamiiforums.com
Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.
Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.
Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.
Mtumishi huyu wa Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.
Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.
Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.
Muwe na usiku mwema
View attachment 3303384
Kwa kuwa umelewa uchama huwezi muelewa mtumishi wa Mungu. Kazi ya Watumishi wa kweli ya Mungu ni kufikisha ujumbe kama ulivyo.Lord denning achana na mchumia tumbo huyo, hakuna nabii hapo..mtu anayetumikia kusudi la Mungu hawezi kupotea, atasemaje tukimpoteza Lissu tutajuta, sisi ndio tuliomtuma Lissu.. au Mungu? tujutie nini km hatukumtuma..? hakuna nabii hapo, nyinyi mnadhani kazi ya Mungu ni mzaha, soma historia ya Mzee Kulola kwa mfano au Mwl. Mwakasege uone mtumishi wa Mungu mule anapita ktk kumtumikia Mungu, mtu hajulikani alizaliwa wapi, lini alianza kazi ya Mungu, ktk mazingira gani..ushuhuda wake kwa kifupi, ghafla tu mtu anajiita nabii ana kanisa tayari..peculiar! mbona haihitaji Roho kumtambua mtu wa aina hii..? Neno kuu kwa mtumishi wa Mungu ni watu waache DHAMBI! siyo kubashiri mambo ya uchaguzi na matukio ya kisiasa..ukiona wa hivyo jua huyo ni tapeli!