Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

Kwa kuwa umelewa uchama huwezi muelewa mtumishi wa Mungu. Kazi ya Watumishi wa kweli ya Mungu ni kufikisha ujumbe kama ulivyo.

Kama mnaona sio mtumishi kweli wa Mungu na kwa sababu Shetani kawapiga upofu muueni Lissu. Alafu Mtajua huyu sio mtumishi wa Mungu au la.

Nimekaa pale.
..fuatilia postings zake kwa umakini utafahamu kilicho nyuma yake huyo nabii wako, hana tofauti na shekhe yahya, wanamtumia kupre-empt matukio wamepanga kufanya wao wenyewe..likitokea mseme nabii alisema!
 
Kwa Neema na Baraka za Mungu, kwasabb ya udhaifu wa kimwili na kiroho, kiburi na kukosa hekima, Tundu Lisu hawezi kua na mamlaka katika serikali za wanadamu ulimwenguni, ispokua ataendelea kua kiongozi wa genge la waropokaji, vibaya na matapeli wa kisiasa tu wenye kibali cha shetani.

Kwa kifupi,
Lisu atakua kiongozi wa makhulukutabu daima, ndio maana ana hulka za akina kasongo yeye mobali nayooo,

huo ni ujumbe wa kinabii ajulishwe pia lisu mwenyewe 🐒

kwa sheria ipi gentleman?
 
..fuatilia postings zake kwa umakini utafahamu kilicho nyuma yake huyo nabii wako, hana tofauti na shekhe yahya, wanamtumia kupre-empt matukio wamepanga kufanya wao wenyewe..likitokea mseme nabii alisema!
Anatumiwa na nani? Nyie kila mtu anayesema ukweli dhidi yenu mnadai anatumika.

Nyie mpo hapa duniani kutimiza jukumu la shetani ndo mana hata Watumishi wa kweli wa Mungu mnawasingizia uongo.
 
Umejaribu kupitia video zake za nyuma? umeelewa mrengo wake..huyu wala si nabii, ni mtu anatumiwa na dola km tu walivyokuwa wanamtumia shekhe yahya kupre-empt matukio watafanya wao wenyewe ili kulaghai watu eti kuna nabii alitabiri..hakuna mtumishi wa Mungu wa kweli kazi yake ni kutabiri mambo ya siasa na uongozi, kazi ya mtumishi wa Mungu kwanza ni kukemea DHAMBI ulishamsikia huyo nabii anafanya hivyo..? msidanganywe kirahisi hivyo..huyu hana ushuhuda kabisa wa jinsi alianza kazi ya kuwa mtumishi wa Mungu..ni sawa na wewe kesho upewe hela ujenge kanisa au ukodi ukumbi halafu uanze kuhubiri, kawaida kabisa mtu huwa ana mahali ameanzia kwanza kama muumini, then anakuwa regular speaker kanisani anapoabudu..na kwa hatua anaweza kuamua kujitegemea na kuanzisha huduma yake...kazi ya Mungu si ya kusomea darasani ni practical lazima uanze pale unaabudu kutoa huduma kdg kdg unaimarika hadi unaanzisha huduma yako..muulize huyu ushuhuda wake kihuduma alianzia wapi..acheni kutapeliwa km watoto wadogo!
 
Tangu lini umekuwa Mungu kuwapangia cha kufanya watumishi wa Mungu?

Yohana alivyomlaumu Herode kwa kuchukua mke wa nduguye alikuwa anafanya kazi gani kama sio utumishi wa Mungu?

Nathan alivyokuwa anamuonya Mfalme Daudi alikuwa anafanya kazi gani kama sio utumishi wa Mungu

Ccm hamna tofauti yeyote na Shetani. Endeleeni kuwakebehi watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya Mungu na kiliwafikia cha kuwafikia tutakumbushana hapa.
 
Siku hizi ni ngumu sana kutifautisha Manabii na wapiga ramli.
 
Tangu lini umekuwa Mungu kuwapangia cha kufanya watumishi wa Mungu?

Yohana alivyomlaumu Herode kwa kuchukua mke wa nduguye alikuwa anafanya kazi gani kama sio utumishi wa Mungu?

Nathan alivyokuwa anamuonya Mfalme Daudi alikuwa anafanya kazi gani kama sio utumishi wa Mungu

Ccm hamna tofauti yeyote na Shetani. Endeleeni kuwakebehi watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya Mungu na kiliwafikia cha kuwafikia tutakumbushana hapa.
Kazi alizofanya Yohana na Nathan ndio unazilinganisha na huyu nabii wako..? lakini soma background yao, kwa hiyo Yohana alianza kazi ya kuwa Mtumishi wa Mungu pale alipomkemea Herode..? kabla ya hapo alikuwa anafanya nini..? vile vile Nathan alianza kazi ya Mungu pale tu alikwenda kumuonya Mfalme Daudi? nimekwambia muulize huyu nabii wako background yake..mbona unaleta vitu vingine kabisa..MUULIZE AU TAFUTA BACKGROUND YAKE YA UTUMISHI ALIANZIA WAPI..labda niandike hivyo utaelewa!
 
Kwa nini zisilinganishwe?

Kutafuta background ndo nini? Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote wakati wowote anaopenda yeye.

Mlivyo na kiburi cha kishetani kazi yenu ndo hiyo! Kuwakebehi na kuwadharau Watumishi wa Mungu mkidhani Dunia yote ni yenu na mmemaliza kila kitu.

Nyie ni mashetani kabisa.
 
Mtumishi huyu ya Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.
Anatumika kwa kusudi lake ila hatakuwepo hilo kusudi likitimia maana huyo farasi mweupe hatakua na mtu wa kumpanda, ndo hio kitu jamaa yupo ndani, ila akaendelea kwamba atakuja mtu mwengine kupambana na farasi wa kijani ila nae.............jamaa tabiri zake zote nilifatiliia zinadondokea kwenye ccm kubaki
 
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.

Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.

Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇

Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.

Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.

Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.

Mtumishi huyu wa Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.

Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.

Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.

Muwe na usiku mwema

View attachment 3303384
Wacha tuone👿
 
Kwa nini zisilinganishwe?

Kutafuta background ndo nini? Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote wakati wowote anaopenda yeye.

Mlivyo na kiburi cha kishetani kazi yenu ndo hiyo! Kuwakebehi na kuwadharau Watumishi wa Mungu mkidhani Dunia yote ni yenu na mmemaliza kila kitu.

Nyie ni mashetani kabisa.
Wewe ni mpumbavu huna unalojua..endelea na maigizo na hicho unachoamini.
 
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.

Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.

Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇

Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.

Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.

Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.

Mtumishi huyu wa Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.

Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.

Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.

Muwe na usiku mwema

View attachment 3303384
..ni mpumbavu mwenye mtindio wa ubongo ndio anaweza amini huu ujinga, ...eti tukimpoteza Lissu..watanzania ndio wamemtuma Lissu? kama yupo aliyemtuma kwani hawezi kumlinda na hao wadhalimu? yaani eti unabii Mungu anawalalamikia binadamu kwamba tukimpoteza Lissu tutajuta..logically hii statement ina-connect vzr na ujumbe wake..? kwa mtu anayejua nguvu za Mungu zilivyo..utaamini hii statement..? upi ni wajibu wa Mungu na wajibu wa binadamu katika kumlinda Lissu..? upumbavu mtupu! vitoto vitoto vinahongwa hela ya maandazi kuyumbisha watu eti unabii..!
 
Kwa sababu akili yako na moyo wako vimejaa ushetani kamwe hutaelewa maswala mazito haya ya kiroho. Endeleeni kumtesa Lissu kama mnaweza muueni ila hakika nawaambia matokeo yake mtajuta na kusaga meno nyie na vizazi vyenu vyote. Mungu hanaga masihara na wapumbavu.
 
...endelea na maigizo, limbukeni wewe unajifanya kumtetea lissu huku unalamba matako ya waliokutuma.
 
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo.

Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao.

Mimi Lord denning wa JF sio Nabii ila kwa kumjua kwangu Mungu kidogo sana niliweza kulinganisha mateso aliyokuwa anayapata Yesu kuelekea kuhukumiwwa kwake kwa Makosa ya Uongo, Kuuwawa na Kufufuka na matukio yanayompata hivi karibuni Tundu Lissu. Uzi wenyewe huu hapa chini👇

Kwenye uzi huu, nilielezea vizuri vitu ambavyo nimeviona na mambo niliyoona yanaashiriwa na matukio haya.

Leo kwenye pitapita zangu za YouTube nimekutana na ujumbe mzito alioutoa mtumishi wa Mungu anayejulikana kwa Jina la Prophet Edmund Mystic.

Kilichonishangaza, ujumbe alioutoa mtumishi huyu hautofautiani sana na mambo niliyoona yanahusiana na Tundu Lissu hivi sasa.

Mtumishi huyu wa Mungu amerejea Unabii alioutoa mwaka jana kuhusu farasi wawili kuwa kwenye mashindano na amesema Watanzania tusimchukulie poa Tundu Lissu maana Mungu amemwambia ni Mtumishi wake na yupo kwa ajili ya kusudi lake.

Mwisho Mtumishi kamaliza kwa kusema Tukimpoteza Lissu tutajuta sana.

Rai yangu kwa Watanzania ambao at least mnaamini kuwa Mungu yupo, tumuombee sana Tundu Lissu kusudi la Mungu kwake katika kuikomboa Tanzania likapate timia.

Muwe na usiku mwema

View attachment 3303384
Hii niliona jana. Aisee asiye sikia la Mkuu akavunjike guu tu
 
Back
Top Bottom