Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mkuu unapiga mkwara namna hii na wakati bado mchumba,ukifunga nae ndoa si utatumaliza mkuu!

Kingine kuanzia leo tambua ya kwamba mchumba hasomeshwi,kwa mambo yanavyoenda kuna siku huyu mchumba wako atakuja kukutema,utakuja kufa bure mzee
Kwel kbisa mkuu,hawa viumbe siyo wa kuamini hivyo
 
leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu.its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect.
Pole mkuu. Naomba nikusikilizishe wimbo wa Wasi wasi wa mapenzi mwenzangu waua ulioimbwa na Stara Thomas!
 
ndo tatizo la kumsomesha mchumba siku zote hasomeshwi kaka na utakuta una ndugu kibao hawajaenda shule kutokana kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…