Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

kwanz sijasema ni mimi ila jamaa amenikwaza kunichimba biti... mimi hawezi nichimba biti hata siku moja.. afanye analotaka kufanya na kama haamini kuwa mimi ni mentali basi ndo ataniona maana kuchimbana biti si issues za karne hii alitakiwa tu aseme kistaraabu na lakini mi nadhani alipaswa amuonye huyo demu wake.... mi nlishasema humu ndani nina maadui wengi sana na wengine ndo hawa. badala ya wao ku deal na watu wao wanachagua kudeal na mimi. mimi sibaki na sijawah baka mwanamke hata siku moja maana sioni kama kubaka kuna raha.. mwanamke ANATAKIWA ALOANE NDO MFANYE NAYE KITENDO SIYO KUBAKA.............

tukisema tupige kura nina uhakika huyo jamaa atakuwa ni GuDume maana huyu jamaa kwa sounds za mitaa namkubali sana. ila kama anafanya hivyo aache tu amwachie jamaa mchumba wake katoka naye mbali. bro gudume nakuomba mwache tu tu huyo dada... kwa asilimia 98 nahisi ni wewe na kama si wewe atakuwa general galadudu au genty.... maana nyie ndo watu wa stories za mikasi sana. hasa ukianza simulia stories zako za kuwachanja dada zetu.... kuna wanawake kweli wanapenda wanaume wahuni kama wewe... wapo. nami nafaham hilo.ila kama jamaa anakuomba usimnanii mwanamke wake mwachie tu bro. we unaweza pata mwingine. au wengine.
 
Mkuu kwanza wewe mwizi harafu unaibiwa ulichoiba unaunguruma ndio nini sasa

Kwa sababu hujaoa unafanya umalaya mwiezi 5 sasa umalaya tu harafu unalalamika!!!

Ungekuwa umemwoa ningekupa mbinu lakini hata kukaa naye kwako unafanya umalaya naye tu

Basi mwache apigwe si sio mkeo? Kama inakuuma mwoe kwanza harafu ulete malalamiko tukupe mbinu ya kumtuliza si vinginevyo
 
Kwa jinsi nilivyosoma Huyo mchumba wako pia hajatulia
 
Kwenye maelezo yako yooote nimegundua we ni mwoga sana kama m..bwa koko, nilifikili ni Mke wako kumbe mchumba tu! Na inaonekana huyo mchumba wako naye ni maalage ya mbeya kama ameweza kutekwa na MTU tu kutoka jf.
Kazana kupiga kazi badala ya kuuja humu kulia lia na kwatabia hii ya kutoa vitisho utachapiwa sana na wanaume machine, Jamaa anayemtaka huyo demu akiona hii atakucheka na kukudharau sana na atamchukua moja Kwa moja. Wanaume halisi huwa hawako hivyo Bro.
 
Dah ebhana nimesoma thread ya jamaa ni nouma kweli. Hawa viumbe ili uendane nao kwenye mstari you must be very complex and undefined man. Otherwise utaishia kulia tu. Mimi wanawake wote niliowahi kuwanao kwenye mahusiano walishindwa kunielewa ni mtu wa aina gani

Kuna mengi sana hapo katikati lakini nataka nikwambie kitu kimoja, kamwe usiwe mpole na mtu wa maneno machache kwa mwanamke, okay unaweza kupata m1 ukaendana nae lakini wengi hautaendana nao

Kuwa flexible, Usije ukamwona kama ndio Oxygen yako. Sometimes mkazie na stick kwenye maamuzi yako

Keep in mind : kumhudumia sana dem is not guarantee. They are emotional and not logical.... Watch out!
 
Mkuu analowana kabisa? uwe makini Chizi Maarifa... analiwa huyo...
 
Pole mleta mada , hakika inauma, ukweli usiopingika usitende kosa mara mbili kumuadhibu mwanaume mwenzio kisa mke wako, mwenye makosa yote ni mke wako kwani km angejua an mme basi asingeruhusu hali ya kuwa na mahusiano na mtu mwingine, ila huyo kijana hana makosa na uenda alisema yuko single...
 
Cc wapuuzi ndo tunamtekenya chini anacheka juu....[HASHTAG]#Jokes[/HASHTAG].

USHAUR.
ONGEA NA MKE WAKO,SIO UNAKUJA JIABISHA JF,


KAMA VIPI,NENDA INSTA,FB,WHASAP GROUPS ZAKE,JITANGAZE UTAHIRA WAKO
 
Pole sana. kwa vile ni mchumba usiwe na hamaki sana, maaan mchumba bado mansomana tabia,. uchumba huvunjika , ila ndoa hapana. so tuliza munkari na unavyochelewa ndiyo ambavyo uchumba unaishilia!!!!! rudia kusoma ukinielewa barikiwa, kama hujanielewa basi pole. na ukiona mtu anakuwa wazi namna hiyo yuko vizuri, angekuwa hakupendi angeisha enda kimya kimya jamaa likagonga nahapo uchumba kwishnei!
 
Siku zote ukiona mjanja katendwa/kaachwa basi ujue kuna fala kapendwa na anapewa yote bila kipimo.

Kazi yake ni kuingiza dudu tu tena anaingiza yote break pumbu.
 
Hakika hakuna mapenzi hapo,nna naamini kama ni kwel huyu jamaa unamuelezea atamla huyo mchumba wako hata ufanyeje,sababu ni dhahiri anamkubali jamaa hatari,na wewe unaonekana kabisa unampenda mchumba wako,na mchumba wako hayupo nawe kivile kama udhaniavyo,kumhudumia mchumba wako kias hicho hata kufikia hatua ukamsomesha siyo sababu ya kutokuachana nawe,mtaachana tu na kuna uwezekano mkubwa ukaachwa wewe ipo siku utaamini hili,Wanawake hawaaminiki 'mkuu',Mwanamke huwa anakuwa mpole sababu ya shida na shida zikiisha kama yeye kamaliza chuo,sasa yupo huru na ndiyo maana unamuambia lakini anachukulia poa'baby nawe unamind vitu vidogo kwanza Mtu simjui',kutomjua siyo sababu ya kutoka naye,na akipata ajira au Mwanaume ampendaye kwa dhati ipo siku atakutamkia kama ni pesa zako ulizokuwa unamhudumia na kumsomesha yupo tayari kukurudishia hautaamini kauli hiyo,lakini ndiyo ukweli,mchumba wako kaishajua udhaifu wako kwa sasa(unampenda mno),na laiti angelikuwa anakupenda kwa dhati angekusikiliza baada ya kugundua mchezo na kumuonya ila yege hajali kujua kwako,sasa umeamua kuja kupiga mkwara upande wa pili na kitoa onyo,utapiga mkwara wangapi? mkuu.Kama siyo kujitafutia matatizo kisa Mwanamke eg kujeruhi/ au kujeruhiwa/kuawawa,nimeshuhudia na kusikia ndiyo maana nimeyasema haya,kwa hiyo tafakari kwa upana zaidi,ushauri wa mwisho mzalishe ili uje uambulie Mtoto/watoto,japo siombei muachane
 
Back
Top Bottom