Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028.
Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025.
Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW, power 360 hp hadi 580 hp, na zipo za FWD au AWD.
Kwa ndani hii sedan imejaa full tech, kiasi kwamba unawaza ikiharibika unaipeleka kwa fundi simu au gereji?
Kwa kuanza, kuna 15 infotainment inch screen, na 8 inch digital instrument cluster pamoja na projected 87 inch AR-HUD ambayo wamedevelop na Huawei, powered by Snapdragon SoC na ikiwa na XPeng Turing AI.
Bei yake ni $30,000 hadi $35,000!