Huku kwetu sawa, ila nje zinanunuliwa sana.Kama za Europe zinaogopwa basi hizi za china hakuna ataezigusa
China is the largest producer and market for electric vehicles (EVs) in the world, accounting for over 58% of global EV production in 2023 and achieving significant sales growth. The country has also surpassed Japan to become the world's largest vehicle exporter, with a rapidly expanding domestic market for EVs.Kama za Europe zinaogopwa basi hizi za china hakuna ataezigusa
Namaanisha sisi wa huku bongoChina is the largest producer and market for electric vehicles (EVs) in the world, accounting for over 58% of global EV production in 2023 and achieving significant sales growth. The country has also surpassed Japan to become the world's largest vehicle exporter, with a rapidly expanding domestic market for EVs.
Hadi Ulaya iliogopa sana kazi hii ya China hadi kutaka kuanza kuwapiga Tariffs zisizo na mbele wala nyuma
Uzuri sasa hivi ya mchina ni cheaper kuliko Tesla na yana ufanisi vilevile; Tesla anapigwa tafu na propaganda as well as backup kubwa ya Serikali kumpa pesa (Obama alimpa grants za kutosha)Namaanisha sisi wa huku bongo
Hahaha dah hao Cherry wana iyo Omoda C5 version ya umeme zinafanana maumbo.Bei nzuri na gari limetulia
Mwanangu kanunua OmodaC5 ni nzuri sana kwa kweli ila ni petrol sio EV.
Ndani dashboard ina mengi sana, mpaka camera zinakungalia yaani ukiangalia mda kidogo pembeni inakuambia angalia mbele
Pia Ina camera mbele na nyuma kuana mpaka pembeni mwa barabara
Sasa kwa hii Mkuu acha nikaione naweza kuilipia bila mkopo 😂👍🏽
Kweli kabisa ila wameona bora wachukue ya petrolHahaha dah hao Cherry wana iyo Omoda C5 version ya umeme zinafanana maumbo. View attachment 3493973
Hii kweli kabisaNadhani bado tunaogopa durability. Kama watu wanaweza kununua range za Mil 50+ hawashindwi ila wanaogopa itaweza kudumu 5 years. Na vile sisi wazee wa kununua used.
Na kama ukifika dodoma wakati wa kula ukaamua kuchaji basi unatoboa mpaka bukoba, kigoma, musoma bila tabu!! Ama ukiamua kuichajia singida ama tabora kwenyewe ndio kabisaa,Chuma imetulia. Km 820 unatoka Dar hadi Tabora bila kuchaji
Bajaji hazitakuacha salama barabarani, watakuchomekea hatariKutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028.
View attachment 3493586
Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025.
View attachment 3493587
Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW, power 360 hp hadi 580 hp, na zipo za FWD au AWD.
Kwa ndani hii sedan imejaa full tech, kiasi kwamba unawaza ikiharibika unaipeleka kwa fundi simu au gereji?
View attachment 3493588
Kwa kuanza, kuna 15 infotainment inch screen, na 8 inch digital instrument cluster pamoja na projected 87 inch AR-HUD ambayo wamedevelop na Huawei, powered by Snapdragon SoC na ikiwa na XPeng Turing AI.
Bei yake ni $30,000 hadi $35,000!
Hivi kuchaji hizi EV inaweza kutumia muda gani hadi kujaa ?Na kama ukifika dodoma wakati wa kula ukaamua kuchaji basi unatoboa mpaka bukoba, kigoma, musoma bila tabu!! Ama ukiamua kuichajia singida ama tabora kwenyewe ndio kabisaa,
Kuna nyingine ni mpaka 80% ndani ya dk 30Hivi kuchaji hizi EV inaweza kutumia muda gani hadi kujaa ?