Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Dawa yao hawa wapuuzi ni mfumo unaopendekezwa na Chadema tu. Yaani hela za jimbo husika zifanye maendeleo kwenye jimbo husika. Ndo mana wanabwabwaja ujinga tu humu Eti mbunge atoke kwa sababu Kuna barabara mbovu wakati mbunge wala hajengi barabara na wanakusanya fedha za walipa kodi wanaenda kujenga viwanja vya kimataifa vijijini kwao Chato huko!Kheri James na mjomba wake wamesema hadharani kuwa usipochagua CCM maendeleo
Hawa letu na la kuwafanya hatuna.
Mwaka huu tunawajibu kuwa Rais, Mbunge na Diwani watatoka upinzani na maendeleo yatakua kwa wote.
Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.Gwajima huyu-huyu muigizaji wa sinema za ngono?
Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.Kheri James na mjomba wake wamesema hadharani kuwa usipochagua CCM maendeleo hawaleti na la kuwafanya hatuna.
Mwaka huu tunawajibu kuwa Rais, Mbunge na Diwani watatoka upinzani na maendeleo yatakua kwa wote.
Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Nanatumaini unaakili zaidi ya hizi unazozitumia hapa. Haya ni matokeo ya kula kande ulizopewa na Gwajima umfanyie kampeni.Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.
Ni kujidanganya kuwa ukichagua upinzani maendeleo yatakuja.
Kawe ni mfano dhahiri.
Halima yupo pale kama picha, hanyanyui mdomo kutetea maendeleo ya barabara kwa miaka 10 sasa.
Tutaanza na boga lako!Usisahau kumwekea boga Askofu Mzee wa mivutu ,
Tutaanza na boga lako!
Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.Maendeleo huletwa na serikali inayokusanya kodi , hayaletwi na pesa za mbunge .
Kwani boga lako ni la kuliwa na CHADEMA?Mimi si mfuasi wa Askofu mla mivutu ππππππ
Kwani boga lako ni la kuliwa na CHADEMA?
Imelala fofofo,sasa tunampa Lissu ili Halima akipeleka kero basi zishughulikiwe!Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.
Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.
kazi ya mbunge ni kujenga barabara?Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Lakini wana sera unazozipigia capuo za kula maboga au siyo?Chadema hawana kanisa la ufufuo linaloongozwa na Askofu Gwajima mla mivutu