Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Una akili timamu wewe???? Kuna mbunge anayesimamia vizuri maslahi ya watanzania bungeni kwa hoja makini na murua Kama Halima Mdee???Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.
Kazi ya serikali ni kujenga barabara lakini lazima iamshwe na mbunge husika.kazi ya mbunge ni kujenga barabara?
kazi ya mbunge ni kujenga barabara?
Unajuaje bangi nzuri kama wewe mwenyewe huvuti.Serikali hii ya mvuta bangi wa Chato anayezomewa barabarani kama mwendawazimu??
Alaumiwe john anayebagua watanzania kwa sababu ya vyama.Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Halima hajaiambia serikali ijenge barabara jimboni kwake???? Kweli wewe kilaza wa LumumbaKazi ya serikali ni kujenga barabara lakini lazima iamshwe na mbunge husika.
Jukumu hilo Halima kashindwa vibaya.
Time to change.
Ndio hawa ikiwa maji hayatoki Kariakoo wanamwendea Mbunge na kumwambia awachimbie kisima mjini. Na akishakuwachimbia wanaita hayo ni maendeleo. Huu ni msiba akili za ki Lumumba
Lakini wana sera unazozipigia capuo za kula maboga au siyo?
Stupid thinking infers stupid foresight.
Charity begins at home kama una akili nzuri.Una akili timamu wewe???? Kuna mbunge anayesimamia vizuri maslahi ya watanzania bungeni kwa hoja makini na murua Kama Halima Mdee???
Ukisema utaje wabunge wanaosimamia vizuri viapo vyao Bungeni kwa kuisimamia vizuri serikali Halima Mdee anakosekanaje kwenye 3 bora????
Rudi shule ukajifunze vizuri, sio kazi ya mbunge kujenga barabara, hilo ilaumu serikali ya Chama chako CCM kwa kukusanya kodi kutoka kwa watanzania na kupeleka chato kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa badala ya kujenga barabara kwenye majimbo.
Ndo mana Kichwa Tundu Lissu amekuja na Sera ya utawala wa majimbo kwamba rasilimali za jimbo husika na mapato yake yaendeleze kwanza jimbo husika
Moja ya sababu za nchi hii kuwa masikini ni kuongozwa na watu wenye akili mbovu na vilaza Kama watu wa CCM. We fuatilia michango yao humu na hoja zao humu utapata tu jibu Kwa nini hii nchi kila siku bora ya janaNdio hawa ikiwa maji hayatoki Kariakoo wanamwendea Mbunge na kumwambia awachimbie kisima mjini. Na akishakuwachimbia wanaita hayo ni maendeleo. Huu ni msiba akili za ki Lumumba
Hayo ni maendeleo ya boga lako!Maendeleo unayoyapigania Kawe kutoka kwa Askofu wako mla mivutu ndio haya ???
Gwajima haiwezi kukuletea barabara nenda darasani kasome kazi ya mbunge Ni niniHuyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.
Unatatua matatizo ya Kawe kwa kujenga uwanja wa kimataifa Chato sio???Charity begins at home kama una akili nzuri.
Tunatatua matatizo ya Kawe KWANZA.
Kazi ambayo Halima Mdee ameshindwa.Gwajima haiwezi kukuletea barabara nenda darasani kasome kazi ya mbunge Ni nini
Hayo ni maendeleo ya boga lako!
nyie mtaenda bermigam marekani hio mitaro kule hapoKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Mkuu unaota nini?Unatatua matatizo ya Kawe kwa kujenga uwanja wa kimataifa Chato sio???
Hujui kuwa pesa za walipakodi wa Tanzania ikiwemo wana Kawe kwa uwingi (maana kwa Dar es Salaam , matajiri wengi wanakaa jimbo la kawe) ndo zimeenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato tena hata bila kufuata taratibu????Mkuu unaota nini?
Ni dhahiri mizania ya kufikiri ina matatizo.
Uwanja wa Chato unauhusiano upi na nia yetu ya barabara Kawe.